ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 539
- 642
weka ushahidi wa yeye kuhusika na alshabab na kutengeneza cd hizo.
Noti mpya tz please nimeweka link hapo ya fb ya jamaa embu tembelea huoni anacho hubiri na hao marafiki zake huwaone, ni hatari huyu mtu.Duh! huyu MUTU ni NOMA https://www.facebook.com/rajabu.malombe
naona JIna alke halisi ni RAJABU MALOMBE kama inavyonekana kwenye FB.
Unajua wengi ni wajinga hawajuhi ukibadilisha jina FB lile original halibadili kirahisi hivyo unless ukabadilishe profile yote upya.
so huyu anayejiita KIONGOZI ni RAJABU MALOMBE.
Jukumu la ulinzi na kuangalia nyendo zinazotia shaka sidhani kama ni la vyombo vya ulinzi na usalama pekee...hata wewe mwananchi mchango wako ni mkubwa,unatakiwa kutoa taarifa badala ya kulalama!
Ficha Upoyoyo wako, atoe taarifa gani zaidi ya kuwa-alert wazi wazi kama alivyofanya humu. Siku hizi ukienda polisi physically kutoa taarifa, hata kama ni ya kuwasaidia wao, lazima wakutie misukosuko ili wakutoe hela.
Upo? Sikutegemea post ya aina hii kutoka kwako......hasa post kama hizi ....Kumuanzishia thread ni njia mojawapo ya kumuongezea wafuasi. UngeWATONYA watu wa usalama kimyakimya ungekuwa umefanya la maana zaidi.
By the way, uwepo wa askari kwenye followers/friends wa huyo mtu unaweza kuwa ni kwa assignment maalum...
Upo? Sikutegemea post ya aina hii kutoka kwako......hasa post kama hizi ....
weka ushahidi wa yeye kuhusika na alshabab na kutengeneza cd hizo.