Usalama wa maji ya Chupa Uhai

Ladha mbovu kabisa, chumvi utadhania unakunywa maji ya kisima! Packaging haivutii pia na pengine hata microbiological quality ni ya kutilia shaka! Bidhaa bora hujiuza yenyewe sokoni!
 
Maji ya uhai aka ya tandale asili yake dar sijui ni wapi kuna chanzo cha maji dar. Maji ni kilimanjaro pure narural from the spring of mountain kilimananjaro
 
Uhai, Maisha, Masafi ni maji ya Low Class People wale ambao wao bora yaitwe maji na sio maji safi na bora.
Viwanda vya Tanzania vinashindwa fanya vizuri kimataifa sababu ya uhuni. Watu hawaangalii ubora wa kitu wao wanaangalia ameuza chupa ngapi.
Kilimanjaro yuko vizuri hata Branding yake imetulia sana....
Azam amefata chupa kama za Kilimanjaro.
Huyu Dasani atamuondoa Uhai maana maji yake mazuri na kopo imetulia inashikika vizuri sana.

Ukiacha maji kuna misoda ya Sayona, Mo, Azam na wengineo yaani kama yametiwa chimvi na sukari kwa pamoja...

Hayo magari hutumika kwa ajili ya kuswakia tu, hata kwenye radiator usiweke utaua radiator yako..

Na kuogea wakati wa shida ya maji ya Dawasco
 
Haya maji hata sina hamu nayo kabisa!!nilinunua yale ya litre 12,kila nikinywa najiskia kichefu chefu,kichwa kinauma,moyo unaenda mbio,na najiskia kama kutapika,mwanzo nilidhani naumwa na nilipata tabu sana hadi nilipogundua hiyo hali ni kila ninapoyanywa hayo maji,wakati huo nimeshayanywa hadi nusu!ili maji yaitwe pure inabidi yawe na pH 7,zaidi ya hapo yanaanza kuwa na ladha ya alkaline.
Utupe hali uliyokuwa nayo wakati huo.
Uisje kuwa mjamzito ukasingizia maji,maana dalili zote umezotaja ni zakuwa Mimbanized
 
Mbona mnakunywa vitu vingine vichungu lakini hamlalamiki? Viroba, bia, n.k hivyo vyote ni vinywaji vichungu na vina pH sijui ya 4 lakini bado mnavishangilia? Nasema sipendi ushambenga!
umenchekesha sana
unapokunywa pombe akili ilishakubali kupata raha ya uchungu
mimi maji yeyote yakishakuwa kuwa kwenye chupa siyapendi na hayakidhi haja yangu
 
Maji ya dasani yana machumvi mpaka kero mana nikazani yatakua kama kilimanjaro. Kuna maji rungwa nanaishia iringa tu ni mazuri xana
 
Ladha mbovu kabisa, chumvi utadhania unakunywa maji ya kisima! Packaging haivutii pia na pengine hata microbiological quality ni ya kutilia shaka! Bidhaa bora hujiuza yenyewe sokoni!

mimi stumii pombe huwa kwenye sherehe za harusi natumiaga maji na soda na sjawahi kuta maji ya UHAI kwenye harusi
 
Maji ya uhai yamezidi chumvi aisee hafu hayana ladha machungu na hayatoi kiu. Hebu wayarekebisha chumvi utafikiri ya kisima.

unasema hayana ladha, tena unaongezea machungu. uchungu wa hayo maji sio ladha. Kisayansi maji safi na salama hayatakiwi kuwa na ladha wala rangi (colourless, tasteless). ukiona maji yana ladha basi hayo hayafai
 
Mie nadhani kutokana na p.H balance yake..
mostly yanakua na more alkaline cjui ..hayaja balance kwenye 7
mengi ni 7.9 n.k
ukakasi kwaa mbaali utausikia...
 
Unapotengeneza bidhaa yako, ni mhimu kujua wapi watakuwa wateja wako. Kwa kuangalia hasa uchumi wao ukoje. Uhai na wenzake wengine wamelenga middle class na lower classes. We tazama hata wanywaji wake wakoje. Understand that lower prices is equal to lower quality, japo si kwa bidhaa zote ila hiyo theory huwa inamaanisha mara nyingi.
 
Back
Top Bottom