Usalama wa maji ya Chupa Uhai

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,100
6,022
Haya maji ya chupa UHAI tusaidiane jamani, usalama wake upo vipi?? Kila maji ya chupa tunayonunua ukiangalia kwa chini utaona "superglue"..kumaanisha imedungwa sindano na kuzibwa tena. Siku moja nilishindwa kabisa kununua haya maji kwani maduka yote niliyopita chupa zake zimedungwa sindano, kuna usalama kweli kwenye maji haya ya UHAI??
 
haya maji ya chupa uhai tusaidiane jamani, usalama wake upo vipi?? Kila maji ya chupa tunayonunua ukiangalia kwa chini utaona "superglue"..kumaanisha imedungwa sindano na kuzibwa tena. Siku moja nilishindwa kabisa kununua haya maji kwani maduka yote niliyopita chupa zake zimedungwa sindano, kuna usalama kweli kwenye maji haya ya uhai??
niwahi kunywa hayo maji nikaendesha wala sina hamu na hayo maji tena!!
 
Tatizo siyo maji ya uhai, tatizo ni wajsilia mali wanaotaka fedah za chapchap.
 
Maji ya uhai nimeshaachana nayo toka nilipokutana na harufu ya ajabu achilia mbali rangi ya chupa na kuumwa tumbo juu. Ni hatari. Tunahitaji kuboresha maisha yetu kwa kuweka vipao mbele vitu mhimu kama maji, vyakula nk. Watu wengi wanaugua kwa sababu ya kutokunywa maji, na wanaokunywa maji nayo siyo salama, utakuta mtu yuko busy kutafuta hela lakini kuitumia kwa mambo mhimu kama maji hataki!! Anajidai "Drink beer save water" save water for what or for who?. Matokeo yake, lifespan yetu inazidi kuporomoka kila mwaka.
 
Mkuu hapo umenitouch sana!! Hembu check down my signatory
350nn82.gif
 
Kuna umuhimu members wa JF wenye access na laboratories kuchukua samples za hayo maji na kupima waje watupe feedback. Pasi na utafiti tutakuwa tunachafua biashara za watu bure
 
Maji ya uhai yamezidi chumvi aisee hafu hayana ladha machungu na hayatoi kiu. Hebu wayarekebisha chumvi utafikiri ya kisima.
 
Maji ya uhai yamezidi chumvi aisee hafu hayana ladha machungu na hayatoi kiu. Hebu wayarekebisha chumvi utafikiri ya kisima.

Ni ya kisima mkuu na hawatumii teknolojia nzuri ya kuwaweka safi na salama. Maji ya Kilimanjaro ni ya Chemichemi na Ph inayohitajika kwa viwango vya kimataifa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom