Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,642
- 18,643
Maji ya uhai yamezidi chumvi aisee hafu hayana ladha machungu na hayatoi kiu. Hebu wayarekebisha chumvi utafikiri ya kisima.
Ona na hili! maji ya azam yana chumvi? ulisha wahi kunywa maji ya sayona?