Usalama wa maji ya Chupa Uhai

Haya maji hata sina hamu nayo kabisa!!nilinunua yale ya litre 12,kila nikinywa najiskia kichefu chefu,kichwa kinauma,moyo unaenda mbio,na najiskia kama kutapika,mwanzo nilidhani naumwa na nilipata tabu sana hadi nilipogundua hiyo hali ni kila ninapoyanywa hayo maji,wakati huo nimeshayanywa hadi nusu!ili maji yaitwe pure inabidi yawe na pH 7,zaidi ya hapo yanaanza kuwa na ladha ya alkaline.
 
Nadhani sababu Mi ni MTU wa bata ndefu ambazo wewe huziwezi hata kwa dawa. Mi mtoto wangu wa chekechea anapiga Shule Aberdeen kwa Raha zake, we wa kwako Leo Ana miaka kumi na Tisa na hajui kusoma wala kuandika, namba pekee anayoijua vizuri ni sifuri kwa Kuwa kila siku ndio anayoimudu

Mkuu jamaa hapo alipo sema bata hajamanisha kwenda kula bata labla marekani anamaanisha ww ni bata maji aina ya kuku and not otherwise
 
Haya maji hata sina hamu nayo kabisa!!nilinunua yale ya litre 12,kila nikinywa najiskia kichefu chefu,kichwa kinauma,moyo unaenda mbio,na najiskia kama kutapika,mwanzo nilidhani naumwa na nilipata tabu sana hadi nilipogundua hiyo hali ni kila ninapoyanywa hayo maji,wakati huo nimeshayanywa hadi nusu!ili maji yaitwe pure inabidi yawe na pH 7,zaidi ya hapo yanaanza kuwa na ladha ya alkaline.

umesha toa dukuduku lako haya nenda kalale!!
 
Imefika wakati Watanzania tuwe na tabia ya kuthaminisha kwa makini bidhaa tunazouziwa kabla ya kuzinunua haswa haswa hizi za kula,haiwezekani mtu anauza maji yana chumvi na ladha mbaya kiasi hiki na bado kuna watu wanaendelea kuyanunua!!mbona kwenye vikao vyao wao hawayatumii??
 
Nadhani sababu Mi ni MTU wa bata ndefu ambazo wewe huziwezi hata kwa dawa. Mi mtoto wangu wa chekechea anapiga Shule Aberdeen kwa Raha zake, we wa kwako Leo Ana miaka kumi na Tisa na hajui kusoma wala kuandika, namba pekee anayoijua vizuri ni sifuri kwa Kuwa kila siku ndio anayoimudu

Kwa maneno hujambo
 
Kwenye vikao vya kimataifa utakuta ya Kilimanjaro tu.
Hata baadhi ya watu wanayatumia Maji ya uhai kwa ajiliya Kuoga na si kunywa

kwani ma manager wa conference halls wengi wa mkoa gani?maana hata baa utazijua tu no uhai
 
Hivi mnaangaika na maji ya chupa kwani ya Dawasco yana nini?

Mi nawashangaa hawa. Tena yale ya bomba ukiyaweka kwenye mtungi yanakuwa bariidi, swaafi kabisa kwa afya yako. Hayo maji ya viwandani, juice za viwandani zote ni hatari kwa afya zenu vijana.
 
Watu wamo kazini.
Niliwahi kusema humu kuna watu wanalipwa kuboost issues.

Namkumbusha mleta uzi kwamba Bakhressa mara ya mwanzo alivyoanza kuuza haya maji aliuza chupa kubwa sana kwa bei nafuu washindani wakalalamika sana,akawajibu kwamba mie siuzi maji nauza Chupa.Halafu aka set kidogo.

Mleta mada ukipewa pesa uambiwe na jinsi ya kuandika

Hajapewa pesa wala nn anasema ukweli...

Alikosea nimemsahihisha na amerekebisha heading

Ni vizur mtu akiambiwa ukweli ili.ajirekebishe
kipi bora kumkosoa bharesa arekebishe tatizo aendane na viwango vya kimataifa au kuacha kunywa maji ya uhai akose wateja
 
Haya maji hata sina hamu nayo kabisa!!nilinunua yale ya litre 12,kila nikinywa najiskia kichefu chefu,kichwa kinauma,moyo unaenda mbio,na najiskia kama kutapika,mwanzo nilidhani naumwa na nilipata tabu sana hadi nilipogundua hiyo hali ni kila ninapoyanywa hayo maji,wakati huo nimeshayanywa hadi nusu!ili maji yaitwe pure inabidi yawe na pH 7,zaidi ya hapo yanaanza kuwa na ladha ya alkaline.

Mkuu umejiangalia vyema lakini?isijekuwa ni mja mzito??maana ishara zote unazo.
 
Back
Top Bottom