piga usitume smsVidio col elfu 8
Connection warembo wakali elfu 10 kama uniamini usitume
piga usitume smsVidio col elfu 8
Connection warembo wakali elfu 10 kama uniamini usitume
Hawezi kupata huo ujumbe. Telegram x ataingia fresh kabisa.Sio suluhisho Maana atapata ujumbe ule ule
Hanging bila kulipiaHawezi kupata huo ujumbe. Telegram x ataingia fresh kabisa.
Mwenyewe WhatsApp wananipiga ban kisa natumia Huawei, alafu kuhusu telegram, adownload kwanza telegram ya kawaida, then apakue deeproxy, alafu aende deeproxy aunganishe telegram watamletea code atakamilisha usajili, then adownload mods za premium telegram iliyolipiwa kabisa kwa jamaa anaitwa apcunk huko telegram then ajisajili kwenye io pia kwa utaratibu ule ule hapo itakua rahisi tu, alafu akishamaliza ataamua abaki na zote au afute moja, angalizo app zote mbili asajilie kwa namba mojaAlafu Telegram iko bomba sana sio kama hawa WhatsApp na Sheria zao za kiboya.
Wamenipiga ban Namba 4 tofauti wakianza na reviews then ban kuchunguza sana kumbe sababu natumia Huawei