USAJILI TELEGRAM TATIZO, NAOMBA MSAADA.

USAJILI TELEGRAM TATIZO, NAOMBA MSAADA.

Simeone

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
1,169
Reaction score
1,346
Kwema wakuu, hivi hapa nifanyeje ili niweze kujisajili bila kulipia?

Screenshot_20261014-084954.png
 
Mobile network zote Tz wamepiga ban Telegram na Twitter-X kwa maelekeo ya SERIKALI kuregister au kulogin ni mtiti iwapo ulilogout device zako zote.
Ukitumia VPN code haziji Maana IP inaonyesha upo nchi nyingine so utaambiwa uweke email then watakutaka ulipie........
Tafuta fiber wifi iwe source of network yako Telegram itasoma bila VPN na IP address ya Tz itakuwa confirmed so jiregister au Jaribu line ya Halotel kuungia net kama alivyoshauri mdau hapo juu
 
Alafu Telegram iko bomba sana sio kama hawa WhatsApp na Sheria zao za kiboya.
Wamenipiga ban Namba 4 tofauti wakianza na reviews then ban kuchunguza sana kumbe sababu natumia Huawei
 
Download “Telegram X” badala ya Telegram ya kawaida, hiyo Telegram X nembo yake ina rangi nyeusi hiviiii

Hiyo unaweza ingia Telegram fresh na kila kitu kikawa kama vile real telegram.
 
Download “Telegram X” badala ya Telegram ya kawaida, hiyo Telegram X nembo yake ina rangi nyeusi hiviiii

Hiyo unaweza ingia Telegram fresh na kila kitu kikawa kama vile real telegram.
Sio suluhisho Maana atapata ujumbe ule ule
 
Back
Top Bottom