Ndio akili yako ilipogota?Kizazi cha porn
Hakuna kingine unachoenda kuangalia telegram zaidi ya video za ngono
KhaaKizazi cha porn
Hakuna kingine unachoenda kuangalia telegram zaidi ya video za ngono
Unarudi tu unapoomba code unaunganisha inakubaliNdio ni bure ila ukilogout katika vifaa vyako vyote kurudi ni mtiti.
Logout alafu login uone.Unarudi tu unapoomba code unaunganisha inakubali
Mwenyewe nilikuwa naitumia kudownload movies miaka hiyo! Kumbe wameshapageuza danguro🫢Kuna group za movies unazishusha katika ubora wake na group za tech kama Xaomi usertz, group za software na kupeana maujanja mengine.
Kuhusu Malaya wapo kote whatsapp, X twitter nk
Unafahamu maana ya sanctions kwa bidhaa au huduma fulani?USA Bifu lao wameamishia kwa wateja wa whatsapp
Nishafanya hivo zaidi ya mara mojaLogout alafu login uone.
Hujamuelewa mtoa mada hapa ,hizo code haziji
Nimelog out sahivi na nimeingia tena ngoja nikuonesheLogout alafu login uone.
Hujamuelewa mtoa mada hapa ,hizo code haziji
Skia nakupa mbinu ambayo hutaipata popote kule mi ndo niligundua mwenyewe na huwa natumia.... Kwanza achana na hii telegram official...
Yes
Mkuu ngoja nijaribu hiyo.Skia nakupa mbinu ambayo hutaipata popote kule mi ndo niligundua mwenyewe na huwa natumia.... Kwanza achana na hii telegram official...
Tumia Plus Messenger tena ukipata mod uta enjoy zaidi..., Hii huitaji VPN wala nini may be ikitokea huoni code ndo utatumia vpn au proxy, kwanza badili display width ya simu yako iweke 360p au 480p alafu register telegram, hutaombwa kulipia ila utapata codes fresh utaingia na kuenjoy kama kawa, then rudisha display width kawaida ukivyokua unatumia..
Simple hivyo tu.. Remember kutumia Plus Messenger ni nzuri sana, unaweza tafuta mods zake hazina ads na zina options za premium zote..