USAHIHI: Kuhusu uvumi wa John Mnyika

USAHIHI: Kuhusu uvumi wa John Mnyika

Kwani kule Dodoma hukumuona alivyokuwa amefunga mdomo kwa plasta?
 
Mnyika ni mwanasiasa anaejielewa,
Kashaona aliyoyataka enzi hizo ndiyoyanafanyika sasa. Hana haja ya kuumiza kichwa tena, cha msingi amekaa kimya ili asijeongea kwa kukurupika kama wenzake wanavyofanya, ambao huongea kwa kutumia hisia badala ya uhalisia
 
mdee naye yupo kimya sana hata ule ushawishi wa akina mama aliokuwa akiufanya awamu iliyo pita haupo tena.

ILA SIO HAO TU TULIZOEA KUONA MAKAMANDA KAMA BEN SAANANE
MAKENE
YERICO
CHADEMAKWANZA

na wengine weeengi makamanda mpo wapiii?
 
mdee naye yupo kimya sana hata ule ushawishi wa akina mama aliokuwa akiufanya awamu iliyo pita haupo tena.

ILA SIO HAO TU TULIZOEA KUONA MAKAMANDA KAMA BEN SAANANE
MAKENE
YERICO
CHADEMAKWANZA

na wengine weeengi makamanda mpo wapiii?
Asante Kamanda kwa kutuulizia tupo tunakuja namipango mipya kwa maendeleo ya wote. Stay tune

CHADEMAKWANZA
 
Mnyika akijitokeza na kuandika neno Lowasa basi mimi najitoa jf!
 
TAARIFA KWA UMMA

Ipo hoja nyepesi mno iliyopikwa na Vijana wa Lumumba juu ya Mbunge wa Kibamba na Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika kuwa alimkataa Lowassa

Hoja hiyo ni ya kupuuzwa kwa kuwa haina ukweli wowote ule, na nitalishangaa Jeshi la Polisi kuendelea kukaa kimya,na kumuacha aliepotosha Umma kwa kiwango kikubwa kiasi hicho,jambo ambalo limempa Usumbufu mkubwa Naibu Katibu mkuu kwa chama na Wananchi wake katika jimbo lake.

Nataka kuona nguvu ya Cyber Crime kama kweli sheria hiyo ni dhahiri ni msumeno au huwa inakata upande mmoja tu!.Mnyika ni Kiongozi mkubwa na katika Taasisi kubwa sana nchini CHADEMA,hapaswi kunenewa uongo kwa nia ya kuupotosha Umma naliomba jeshi la Polisi liingie kazini Mara moja kutimiza majukumu yake.

Imetolewa July 03

Edward Simbeye
Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa
Mnyika, Mnyika, Mnyika,
Hakanushi wala hajibu!!!!

Sasa kuna jambo inapaswa ulijue. anayeianzisha hiyo cybercrime ni mlalamikaji aliyekosewa.

Hakuna hatua itakayochukuliwa hadi Mnyika atoke hadharani na kukanusha.
Juhudi hizi zihamishie kwenye kumtafuta Mnyika na mambo yatakuwa sawa.

Sijui kapotelea wapi huyu jamaa?
 
Ukiangalia unaona muhusika yupo kimya wanaokanusha wengine ata page ya twitter ni zingine, hizo ni tuhuma personal hivyo hatutegemea reaction kutoka kwa viongozi wa chama, mtuletee article yake mwenyewe, au tumsikie wenyewe akikanusha kupitia media
 
Hivi mnawashwa na ninI? Si tumewaachia nchi mtawale mnavyopenda. Dola mnayo, hazina mnayo, matrillion mliyoyaficha uswis na kwingineko bado yapo salama na matrillion ya maden mliyosababisha kwa kuiba tunawalipa na hata tukifa watoto na vizazi vijavyo watawalipia. Licha ya yote hayo badoo tuu. MNABOA
Wewe kama mmeacha nchi mbona mnahangaika kila kukicha?, mara mgome mara mnataka kuvamia mkutano wa ccm, si mtulie basi.
 
wewe tulia huko Chadema ulisombwa na mafuriko ya mamvi sasa ngoja wenye chama asilia wenyewe wachukue chama chao sijui utakuwa unashinda kijiwe cha wapi na kupiga soga
We ni punguani hakuna mwenye chama,chama ni cha watanzania
 
Back
Top Bottom