USAHIHI: Kuhusu uvumi wa John Mnyika

USAHIHI: Kuhusu uvumi wa John Mnyika

hahahaha aliahidiwa ukatibu mkuu,Mnyika kanyang'anywa tonge mdomoni,Mnyika kanuna kisa ukatibu mkuu
Victoire, kulikuwa na makosa makubwa kumpa Mashinji , anafanya nini sasa, hopeless. Yupo yupo tu kama kiazi
 
Nyie mnajiita ulipo tupo hamuwezi kuujua uzuri wa Mnyika ndani ya Chadema
Nyerere alikuwepo akaondoka Tanzania ipo (ingawa inakwenda kuzimu in terms of democracy) na itaendelea kuwepo hata kama ya Idd Amini, lakini ipo!
 
Nyerere alikuwepo akaondoka Tanzania ipo (ingawa inakwenda kuzimu in terms of democracy) na itaendelea kuwepo hata kama ya Idd Amini, lakini ipo!
Kwa huu mfano wako ina maana Chadema inaelekea kuzimu?na wewe unachekelea!
 
Victoire, kulikuwa na makosa makubwa kumpa Mashinji , anafanya nini sasa, hopeless. Yupo yupo tu kama kiazi
lengo lilikuwa kuteka wasukuma ,wamesahau kwamba wasukuma hawana ukabila.Wao wanataka sera tu
 
Hahahaaaaa mapambo yanaendelea team lumumba v/s team ufipa
 
lengo lilikuwa kuteka wasukuma ,wamesahau kwamba wasukuma hawana ukabila.Wao wanataka sera tu
Huwezi kubahatisha kiasi hicho ku-risk integrity ya chama kikubwa kama hicho. Wasukuma ni viazi hawana cha sera! Ni majirani zangu nawajua sana! ENZI HIZO ZA UHURU: Anakwenda dukani anasema nipe shati ya elfu hamsini unampa ya elfu mbili anashangilia! Umewahi kwenda interior!
 
Huu uwongo, ni hatari...!! Mods msipokuwa makini, mpuuzi mmoja anapost vitu vya ajabu na kuiharibu kabisa JF..

Watu wanamzushia sana Mnyika, juzi kakanusha vitu kibao, na hili sasa JF wanaliacha watu wachangie upuuzi humu..!!
Alikanusha wapi? Au yale yaliyoandikwa na Ben Sanane? Kwani saanane ni msemaji wa Mnyika tulieni dawa iingie
 
Jamani who is Mnyika? Kama chama kinasimama kwa ajili ya Mnyika, then this is a rubbish chama! Sioni pengo for example kuondoka Lipumba CUF

Ebana sasa hivi wanatembelea rimu waulize wenyewe CUF wakwambia hizo kauli za kishujaa ni wakati huu tu!
 
Ingawa sio lazima kujibu kila kitu nadhani kuna umuhimu mnyika atoe sentensi mmoja tu inatosha kuondoa hizi tetesi za kila siku.
 
Huyo mnyika atoke tu mana kuondoka kwake hakufanyi chama kuyumba, ni wengi tena viongozi wamewahi kukihama chama akiwemo slaa kwan Leo yuko wapi? Kakimbilia abroad kuchoma mishikaki, ivo kutoka kwa mnyika ni kama kutoa kijiko kimoja cha maji baharini, let him go in peace
 
Tunaitaka Chadema yetu turudishe imani kwa umma. Hatuwezi kuwa pango la makapi ya CCM ....badala ya kupokea watu kama Warioba, Magufuli n.k tunapokea watu waliojaa makando kando tena wengine tuliwakimbiza na masanduku ya kura za wizi!
 
Pamoja na juhudi kubwa iliyofanywa na Mbowe na Lowassa kuwatuma mapadri wawili moja toka Songea na Mwingine toka Bukoba kumshawishi Mnyika bado Mambo si shwari Mnyika awaambia mapadri Lowassa atimize ahadi yake aliyomhaidi.
Usitutoe kwenye reli,macho na masikio ya watanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla yameelekezwa Dodoma ambapo Bavicha watazuia mkutano haramu wa CCM taeahe 23 Julai.Policcm wameshaanza kuweweseka baada ya kikosi cha awali cha Bavicha kutua Dodoma kwa ajili ya maandalizi.
 
Ebana sasa hivi wanatembelea rimu waulize wenyewe CUF wakwambia hizo kauli za kishujaa ni wakati huu tu!
Mtu mwenye kujielewa huwezi kuweka msingi wa chama kwa mtu mmoja. Kwa siasa za Tanzania ambapo polisi na dola wanakandamiza upinzani, it can make sense kuwa na mtu asiyeogopa vitisho ikibidi hata kufa. By that token naweza nikakubali mfano wa rimu yako to some extent, LAKINI ikibidi ....., short of that chama hakisimami kwa ajili ya Mnyika japo anaweza kuwa na mchango mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom