USAHIHI: Kuhusu uvumi wa John Mnyika

USAHIHI: Kuhusu uvumi wa John Mnyika

Pamoja na juhudi kubwa iliyofanywa na Mbowe na Lowassa kuwatuma mapadri wawili moja toka Songea na Mwingine toka Bukoba kumshawishi Mnyika bado Mambo si shwari Mnyika awaambia mapadri Lowassa atimize ahadi yake aliyomhaidi.
Wakati mwingine jitahidini kushirikisha ubongo kabla ya kufanya maamuzi ya kupost kitu
 
Pamoja na juhudi kubwa iliyofanywa na Mbowe na Lowassa kuwatuma mapadri wawili moja toka Songea na Mwingine toka Bukoba kumshawishi Mnyika bado Mambo si shwari Mnyika awaambia mapadri Lowassa atimize ahadi yake aliyomhaidi.
Mleta mada ni mmoja wa kundi la Lizaboni &Co. Ltd, just ignore!
 
Elimu inahitajika kwako...hapa umeonyesha ubwenyenye wa kiwango cha PhD

Kitwanga: Nikikwambia mm ni mume wa mama yako utakataa au utabishaa...? au nirudie.. don't quote me..!!
 
Elewa hiyo comment, lasivyo na ww kichwa chako ni kama cha kuku tu.
Naelewa ana maana kuwa kwa kuwa Mengi ana tv hafanyi kazi ya utangazaji kwa hiyo Lowasa ameweka wachungaji wa ng'ombe zake. Lkn usiwalinganishe hawa wawili kwani Mengi hakugombea urais na angeshindwa angerudi kwenye tv zake. Huyu Lowasa alikuja chadema ili awe rais. Sasa urais hakuna anafanya nini jijini?
 
Pamoja na juhudi kubwa iliyofanywa na Mbowe na Lowassa kuwatuma mapadri wawili moja toka Songea na Mwingine toka Bukoba kumshawishi Mnyika bado Mambo si shwari Mnyika awaambia mapadri Lowassa atimize ahadi yake aliyomhaidi.
Who is Mnyika infront of EL or CHADEMA in such?????Stomach thinkers & narrow minded u people.
Huku tulipo ni itikadi,falsafa na mrengo wa chama na si mtu kama huko.
You can lie some people at a Time but You can't lie all the people at the same Time.
 
Naona ccm mnahangaika, ila nawaambieni hata mnyika Leo akiondoka hakuna kitakacho athirika, kitu pekee ambacho kinaweza kuwabadili wanachama wa chadema na kuiamini ccm ni kuwapa maisha bora watz na siyo propaganda

Wala hamna issue yoyote kama hii, wadau tulieni tu, viccm vimeanza tena ***** ***** kubomoa upinzani, KUWENI MAKINI MSIPOTOSHWE
 
Naelewa ana maana kuwa kwa kuwa Mengi ana tv hafanyi kazi ya utangazaji kwa hiyo Lowasa ameweka wachungaji wa ng'ombe zake. Lkn usiwalinganishe hawa wawili kwani Mengi hakugombea urais na angeshindwa angerudi kwenye tv zake. Huyu Lowasa alikuja chadema ili awe rais. Sasa urais hakuna anafanya nini jijini?
Kachunge ng'ombe wake. Naona inakuuma sana yeye kukaa mjini.
 
Wala hamna issue yoyote kama hii, wadau tulieni tu, viccm vimeanza tena ***** ***** kubomoa upinzani, KUWENI MAKINI MSIPOTOSHWE

Aliyekaa kimya Ni CCM imemwambia akae kimya...?!! Kama siyo Kweli si ajitokeze akanushe.... Mnatoa tu povu NA muhusika yupo NA Ni Kiongozi Mkubwa wa chama Kikibwa... Nyie vipi...!!! Kwa mwendo huu Kuna siku mtu atanyimwa unyumba atakuja hapa jamvini NA story za CCM inavyotaka kuvunja ndoa yake....
 
Hahaahaa
 
Mtu mwenye kujielewa huwezi kuweka msingi wa chama kwa mtu mmoja. Kwa siasa za Tanzania ambapo polisi na dola wanakandamiza upinzani, it can make sense kuwa na mtu asiyeogopa vitisho ikibidi hata kufa. By that token naweza nikakubali mfano wa rimu yako to some extent, LAKINI ikibidi ....., short of that chama hakisimami kwa ajili ya Mnyika japo anaweza kuwa na mchango mkubwa sana.

Hata dini zimesimama na watu, kwa hiyo katika siasa watu au mtu nafasi yao ni kubwa kuliko taasisi, Uislam na Mtume A.W.S na Ukristo na Yehova/Yesu. Usidanganye watu hapa ANC inaye Mandela, CCM Nyerere, KANU Kenyata and etal. Lazima wafia vyama wapewe heshima stahiki CHADEMA hakiwezi futa ukweli wa nafasi ya Dr. Slaa, Zito, Mnyika, Mbowe, Lissu and etal chama chochote kikipuuza hawa watu mwisho wake wewe unaujua.
 
Kwa watu makini wenye kufikiri na kutafakari hili la Mnyika haliwezi kuwa Uzushi au Uvumi maana kwa jinsi Mnyika alivyo mwepesi wa kutoka na kutoa matamko mbalimbali mbele ta vyombo gya Habari asingeliweza kukalia taarifa hizi kimya muda wote,lazima zina ukweli kwa 95%.
Jambo La kujiuliza kujiuliza ni kwanini Mnyika ambaye ni N-KM Bara hakukaimu nafasi ya bosi wake alipojiuzulu na badala yake Salum Mwalim akafanya hvy wakati Mnyika ni mzoefu kuliko Salum!?
Na kwanini Mnyika hajajishughulisha na harakati za CDM tangu wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu ndani ya CDM!?
Kulikoji UFIPA!?
 
Back
Top Bottom