Wadanganye wajinga wa lumumba, hivi ni nani mhusika mkuu wa vitendo vya ufisadi kama viongozi walioko madarakani? Kashfa zote ambazo umezisikia nchi hii zimefanywa na walioko madarakani. EPA, UDA, ESCROW, IPTL, RICHMOND, Lugumi, na zingine lukuki zina mkono wa high office. Nyerere aliwahi kusema mtu anayeuchukia ufisadi akisema unamtazama usoni unaona kabisa kuwa huyu haupendi ufisadi,lakini huyo ambaye anawahakikishia akina Kikwete na wenzake kuwa atawalinda wasiwe na wasi wasi, licha ya wizi wa pesa na rasilimali za taifa hili unakuja na kauli za kitaahira kuwa credibility ya Magufuli huwezi kui quesion?
Suala la Lugumi, tenda imetangazwa leo kesho yake mkataba unasainiwa, less than a week mtu analipwa almost pesa yote kabla ya kuanza kazi kinyume cha sheria ya tenda, kisha mteule wake Tulia anaenda kutetea bungeni ? Simply anatimiza ahadi yake ya kuwalinda majizi makuu.
Wako wapi wahusika waliokuwa wanapitisha makontena zaidi ya 2000 ambayo hadi orodha alikuwa nayo? Wako wapi waliotengeneza bomba la mchepuko la mafuta ku divert flow meters? Wako wapi waliotoa amri kufungwa kwa flow meters kwa zaidi ya miaka mitano?
Unafikiri wote humu tuna akili za kushikiwa nyumba sehemu prime zimeuzwa na kugawiwa kwa mahawara tena kwa bei za kutupwa kwa akili yako mbovu unatuambia ni propaganda, you are not serious or you are nut, aliyekuwa Waziri mdogo wa ujenzi Dk Charles Tizeba kakaa hotelini new African hotel kwa zaidi ya miaka 7 akilipiwa na serikali, unatuambia propaganda unaishi dunia gani wewe?
Kwa nini walizuia hotuba ya kambi ya upinzani ya Waziri kivuli wa mambo ya ndani isisomwe bungeni kama walikuwa na maelezo ya kweli na ya kujitosheleza? Tuorodheshee kashfa za Lowassa hapa na utuconvice kuwa yeye ni mhusika mkuu. Acheni upambe usio na maana wakati mwingine mjaribu kuwa wazalendo