USAHIHI: Kuhusu uvumi wa John Mnyika

USAHIHI: Kuhusu uvumi wa John Mnyika

Juzi kulikuwa na uvumi ulioenezwa kwa kasi kuhusu Mnyika kwenye mitandao ya kijamii lakini pia gazeti moja la kila siku likajitwika kichwa cha habari kikubwa cha habari kuaminisha watanzania upuuzi huu. Uzuri ni kwamba gazeti hili na majina ya waliokuwa wanasambaza uvumi huu wanajulikana sana kwa upotoshaji na si mara ya kwanza kufanya upotoshaji wa makusudi.

Taarifa tunazoendelea kuzifanyia kazi ni kwamba KITENGO cha Lumumba kilivurugwa sana na matamko ya BAVICHA mikoa mbali mbali kuunga mkono azimio la BAVICHA Taifa kwenda Dodoma kusaidiana na polisi kuzuia mkutano wa CCM. "Jamaa walidhani Bavicha wanatisha tu lakini walikuja kupata uhakika wamedhamiria wakatakiwa kuokoa hali na ilibidi kutafuta njia ya haraka ya kubadili mjadala wa Dodoma au kukatisha tamaa vijana wanaoenelea na maandalizi" ilisema taarifa iliyotumwa kwa kiongozi mmoja mwandamizi wa chama.

"Unajua mnali-handle vibaya suala Mnyika kiasi kwamba upande wetu tumeanza kulitumia kuwatia hofu wafuasi wenu" Angalieni namna ya kutoa taarifa kwa umma juu ya hali (afya) ya huyo kijana" aliongeza. Taarifa zaidi zinasema Lumumba wanasubiri uthibitisho toka kwa vyombo vyao kwamba vijana wameanza kuingia Dodoma au chama kina nia ya dhati kufanya mkutano wa Jangwani ili kuongeza nguvu kwenye propaganda hii.
 
Lowassa atarudi tu CCM...nadhani wabunge vijana wa Chadema wamevumilia vya kutosha sasa hawaoni faida yoyote ya kuwa naye tena..Biashara ya uchaguzi imeisha...kila mtu atarudi alipotoka..Juzi kati Lipumba alianza kijirudisha..
Lowassa ni mwanachama halali wa ccm kwa mujibu wa katiba ya ccm ana kadi amelipia hadi 2025 ngoja siku ifike
 
Changia ulicho na uhakika nacho siyo mapovu!
 
Pamoja na juhudi kubwa iliyofanywa na Mbowe na Lowassa kuwatuma mapadri wawili moja toka Songea na Mwingine toka Bukoba kumshawishi Mnyika bado Mambo si shwari Mnyika awaambia mapadri Lowassa atimize ahadi yake aliyomhaidi.
Kumhaidi ndio nini?
 
Na nani alithibitisha kuwa hao kweli walikuwa Mapadiri?......huyu young nae awe careful.
 
Nikafikiri kuna la maana kumbe pumba tu! Mmekosa kazi lumumba? Kofia zimeisha?
 
No, ile ahadi ya kwenda kuchunga Ng'ombe.
Watu bhana!!sasa kama kuna MTU kamwajiri achunge...mnataka amwachishe kazi ili ongezeko LA wasio na kazi mitaani lizidi kuongezeka???!!!!!
 
hahahaha aliahidiwa ukatibu mkuu,Mnyika kanyang'anywa tonge mdomoni,Mnyika kanuna kisa ukatibu mkuu
 
Pamoja na juhudi kubwa iliyofanywa na Mbowe na Lowassa kuwatuma mapadri wawili moja toka Songea na Mwingine toka Bukoba kumshawishi Mnyika bado Mambo si shwari Mnyika awaambia mapadri Lowassa atimize ahadi yake aliyomhaidi.
Jamani who is Mnyika? Kama chama kinasimama kwa ajili ya Mnyika, then this is a rubbish chama! Sioni pengo for example kuondoka Lipumba CUF
 
Back
Top Bottom