USAHIHI: Kuhusu uvumi wa John Mnyika

USAHIHI: Kuhusu uvumi wa John Mnyika

Nadhani usahihi ni vijana wa ccm.
wewe tulia huko Chadema ulisombwa na mafuriko ya mamvi sasa ngoja wenye chama asilia wenyewe wachukue chama chao sijui utakuwa unashinda kijiwe cha wapi na kupiga soga
 
Aliyekwambia mimi ni Chadema ni nani? Mpuuzi mkubwa wewe.
 
Hapo sawa naona kitengo cha propaganda kwa upande wa CDM wanataka kuharibu mambo...source haikuwa nzuri wajua makundi ya wassap na yenyewe. Nadhani atafika hapa Mnyika akanushe au kina Makene nk...
Amekanusha au bado huamini?
 
chademA na maisha bora mbona mmepanga ofisi hayo maendeleo anzen kujenga ofis i mafisi nyie
 
Mwendawazimu wewe, nani mwenye maamuzi ya mwisho kwenye baraza la mawaziri? Ni Waziri mkuu au rais? Mwaka 2006 kama ulikuwa una akili JK alivyorudi kutoka USA alisema amekutana na richmond na wameahidi kuja kuwekeza kwenye umeme, mgao soon utakuwa historia, ni RICHMOND ipi aliyozungumza nao? Hadi Lowassa anaondoka madarakani RICHMOND ilikuwa haijalipwa hata senti tano, bali mkataba wa kifisadi Waziri mkuu akiwa Pinda na Rais JK wakauhamishia DOWANS na kuanza kuwalipa, je Lowassa alikuwa na mamlaka ya kuwalazimisha waliobaki madarakani wauhamishie mkataba DOWANS? Wajinga mko wengi mnafikiri na sisi pia ni wajinga kama nyinyi wa lumumba
Unamfahamu mwendawazimu wewe??
Ni baba yako aliyekuzaa!! Huwezi kuandika vizuri hadi utukane??
 
TAARIFA KWA UMMA

Ipo hoja nyepesi mno iliyopikwa na Vijana wa Lumumba juu ya Mbunge wa Kibamba na Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika kuwa alimkataa Lowassa

Hoja hiyo ni ya kupuuzwa kwa kuwa haina ukweli wowote ule, na nitalishangaa Jeshi la Polisi kuendelea kukaa kimya,na kumuacha aliepotosha Umma kwa kiwango kikubwa kiasi hicho,jambo ambalo limempa Usumbufu mkubwa Naibu Katibu mkuu kwa chama na Wananchi wake katika jimbo lake.

Nataka kuona nguvu ya Cyber Crime kama kweli sheria hiyo ni dhahiri ni msumeno au huwa inakata upande mmoja tu!.Mnyika ni Kiongozi mkubwa na katika Taasisi kubwa sana nchini CHADEMA,hapaswi kunenewa uongo kwa nia ya kuupotosha Umma naliomba jeshi la Polisi liingie kazini Mara moja kutimiza majukumu yake.

Imetolewa July 03

Edward Simbeye
Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa
Ahsante sana kwa taarifa japo, nikweli alimkataa au hakumkataa sio kitu nachokizungumizia hapa.

Najitokeza hapa kukushauri Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa na Watanzania wote tuache kuwa watu wa maneno matupu bila vitendo vya kisheria, nazungumza hivi kwa kurejea kauli yako "na nitalishangaa Jeshi la Polisi kuendelea kukaa kimya,na kumuacha aliepotosha Umma kwa kiwango kikubwa kiasi hicho..... Nataka kuona nguvu ya Cyber Crime kama kweli sheria hiyo ni dhahiri ni msumeno au huwa inakata upande mmoja tu". Kwa mujibu wa kauli hii, wewe Katibu na watu wako mnalalamika bila kuchukua hatua zozote za kisheria dhidi ya mnaemtuhumu kutenda kosa la kisheria.

Kulalamikia katika mitandao ya Kijamii sio njia sahihi ya kumshaki mtu alietenda kosa kisheria, yawezekana kweli katenda kosa na akaachwa sababu hakuna alieenda kumshtaki kwa kosa hilo licha ya kuwa Polisi wapo na Ciber Crime ipo. Wale ambao huwa mnawaona wepatwa na makosa na kupelekwa polini na kisha Mahakani huwa wameshtakiwa kisheria na sio katika mitandao ya kijamii.

Kwa hurka hii ya kufanya kazi zaidi katika mitandao ya kijamii itatugharimu sana, yatupaswa kubadilika kwa kuwashtaki wale wote tunaona wamefanya kosa kisheria katika vyombo husika (polisi) na sio tutegemee miujiza. Pia polisi wanaitaji sana ushurikiano toka kwetu (Raia) ili kutekeleza majukumu yao vyema.

Naipenda CHADEMA ndio maana natoa ushauri wa kisheria bure, ushauri huu kwa wanasheria unapatikana kwa pesa.. Ila sina imani na uwezo wa baadhi ya viongozi wa CHADEMA ambao wanashindwa kufanya siasa ya kisheria wanabaki kuwa watu wa mihemko.
 
TAARIFA KWA UMMA

Ipo hoja nyepesi mno iliyopikwa na Vijana wa Lumumba juu ya Mbunge wa Kibamba na Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika kuwa alimkataa Lowassa

Hoja hiyo ni ya kupuuzwa kwa kuwa haina ukweli wowote ule, na nitalishangaa Jeshi la Polisi kuendelea kukaa kimya,na kumuacha aliepotosha Umma kwa kiwango kikubwa kiasi hicho,jambo ambalo limempa Usumbufu mkubwa Naibu Katibu mkuu kwa chama na Wananchi wake katika jimbo lake.

Nataka kuona nguvu ya Cyber Crime kama kweli sheria hiyo ni dhahiri ni msumeno au huwa inakata upande mmoja tu!.Mnyika ni Kiongozi mkubwa na katika Taasisi kubwa sana nchini CHADEMA,hapaswi kunenewa uongo kwa nia ya kuupotosha Umma naliomba jeshi la Polisi liingie kazini Mara moja kutimiza majukumu yake.

Imetolewa July 03

Edward Simbeye
Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa
Mi niliona na kung'amua kuwa, ule ulikuwa ni uongo ulotungwa, kwakuwa, mwandishi ajitajaye km mh. Mnyika, ati anajitaja km mbunge wa Ubungo Leo hii. Nikapuuzilia mbali!!!
 
Labda ilikuwa ni ndoto... Kuna ile kauli ya wahenga isemayo

Lisemwalo laja... Kama halipo basi lipo njiani..

Tusubirini tu
 
TAARIFA KWA UMMA

Ipo hoja nyepesi mno iliyopikwa na Vijana wa Lumumba juu ya Mbunge wa Kibamba na Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika kuwa alimkataa Lowassa

Hoja hiyo ni ya kupuuzwa kwa kuwa haina ukweli wowote ule, na nitalishangaa Jeshi la Polisi kuendelea kukaa kimya,na kumuacha aliepotosha Umma kwa kiwango kikubwa kiasi hicho,jambo ambalo limempa Usumbufu mkubwa Naibu Katibu mkuu kwa chama na Wananchi wake katika jimbo lake.

Nataka kuona nguvu ya Cyber Crime kama kweli sheria hiyo ni dhahiri ni msumeno au huwa inakata upande mmoja tu!.Mnyika ni Kiongozi mkubwa na katika Taasisi kubwa sana nchini CHADEMA,hapaswi kunenewa uongo kwa nia ya kuupotosha Umma naliomba jeshi la Polisi liingie kazini Mara moja kutimiza majukumu yake.

Imetolewa July 03

Edward Simbeye
Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa
Wewe ni John Mnyika? Tumsikie mwenyewe akikanusha hapa!! Wewe hata kuandika kwenyewe shida tupu halafu unapewa Ukatibu BAVICHA!! Huko kuna shida kweli ya watu makini!!
 
TAARIFA KWA UMMA

Ipo hoja nyepesi mno iliyopikwa na Vijana wa Lumumba juu ya Mbunge wa Kibamba na Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika kuwa alimkataa Lowassa

Hoja hiyo ni ya kupuuzwa kwa kuwa haina ukweli wowote ule, na nitalishangaa Jeshi la Polisi kuendelea kukaa kimya,na kumuacha aliepotosha Umma kwa kiwango kikubwa kiasi hicho,jambo ambalo limempa Usumbufu mkubwa Naibu Katibu mkuu kwa chama na Wananchi wake katika jimbo lake.

Nataka kuona nguvu ya Cyber Crime kama kweli sheria hiyo ni dhahiri ni msumeno au huwa inakata upande mmoja tu!.Mnyika ni Kiongozi mkubwa na katika Taasisi kubwa sana nchini CHADEMA,hapaswi kunenewa uongo kwa nia ya kuupotosha Umma naliomba jeshi la Polisi liingie kazini Mara moja kutimiza majukumu yake.

Imetolewa July 03

Edward Simbeye
Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa
Ni jambo jema kama Mnyika atatoka hadharani kukanusha tuhuma hizo na kuliomba jeshi lichukue hatua dhidi ya aliyezusha habari hii.
Lakini kama Mnyika yupo kimya means Kuna ukweli ndani yake.
 
Matola matola chadema wamekuwa wapole Kwa matusi yenu Leo ukishtakiwa Kwa makosa ya mtandao utalaumu? Acha lugha za kitoto
 
sio statement ya mnyika.....ila ndio mtazamo wa cdm wengi
ha ha ha
 
Back
Top Bottom