msolopagaz 1
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 312
- 81
Idiot
Hiki Ndiyo kimekuingiza JF?.... Shame
Idiot
Sifa ya Mwanaume Ni kupambana na sio kujibwetesha hivyo, " eti kila kitu tumewachia" wewe sio mwanaume WA kweli, hujui ya kuwa ili mbegu iote lazima ife? IdiotHivi mnawashwa na ninI? Si tumewaachia nchi mtawale mnavyopenda. Dola mnayo, hazina mnayo, matrillion mliyoyaficha uswis na kwingineko bado yapo salama na matrillion ya maden mliyosababisha kwa kuiba tunawalipa na hata tukifa watoto na vizazi vijavyo watawalipia. Licha ya yote hayo badoo tuu. MNABOA
tulia wewe mpini uzame huo don't struggle.Sifa ya Mwanaume Ni kupambana na sio kujibwetesha hivyo, " eti kila kitu tumewachia" wewe sio mwanaume WA kweli, hujui ya kuwa ili mbegu iote lazima ife? Idiot
Basi hivyo si vyama!Hata dini zimesimama na watu, kwa hiyo katika siasa watu au mtu nafasi yao ni kubwa kuliko taasisi, Uislam na Mtume A.W.S na Ukristo na Yehova/Yesu. Usidanganye watu hapa ANC inaye Mandela, CCM Nyerere, KANU Kenyata and etal. Lazima wafia vyama wapewe heshima stahiki CHADEMA hakiwezi futa ukweli wa nafasi ya Dr. Slaa, Zito, Mnyika, Mbowe, Lissu and etal chama chochote kikipuuza hawa watu mwisho wake wewe unaujua.