Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,719
- 3,688
Nimechoka kutibia magonjwa ya zinaa ambayo nimekuwa nikiambukizwa na wanawake wenzangu! Nimechoka kupoteza hela zangu ! Nimechoka kumkufuru Mungu nimechoka kuishi maisha ya siri, nimechokwa kuishi maisha ya kutengwa ! Sasa nimeamua kumrudia Mungu. Kwa wote nilio wakwaza, samahani. Nipo tayari kutoa somo la bure kwa wanawake wenzangu ambao bado wanaendekeza usagaji. Usagaji sio ishu kabisa jamani!~ Ni kufuru na laana kubwa mbele za Mungu
wewe ni wakwendamotoni tu!
Tuwekee picha hapa zikionyesha ulivyokuwa unawasaga ndipo tuta amini kama umeacha bana!
Post ya kijinga kabisa
Heshimu mawazo ya mwenzako hasa kama hajavunja sheria yyt inayoongoza forum;kuona maandiko yako tu ndiyo bora dhidi ya wengine ni udikteta kaka!
Tuvumiliane na tusipende kusoma vitu vinavyotupendeza tu!
it was a rubbish post. akitaka kuona wasagaji acheki online kwa muda wake. JF sio porn siteHeshimu mawazo ya mwenzako hasa kama hajavunja sheria yyt inayoongoza forum;kuona maandiko yako tu ndiyo bora dhidi ya wengine ni udikteta kaka!
Tuvumiliane na tusipende kusoma vitu vinavyotupendeza tu!
wewe ni wakwendamotoni tu!
Nimechoka kutibia magonjwa ya zinaa ambayo nimekuwa nikiambukizwa na wanawake wenzangu! Nimechoka kupoteza hela zangu ! Nimechoka kumkufuru Mungu nimechoka kuishi maisha ya siri, nimechokwa kuishi maisha ya kutengwa ! Sasa nimeamua kumrudia Mungu. Kwa wote nilio wakwaza, samahani. Nipo tayari kutoa somo la bure kwa wanawake wenzangu ambao bado wanaendekeza usagaji. Usagaji sio ishu kabisa jamani!~ Ni kufuru na laana kubwa mbele za Mungu
wewe ni wakwendamotoni tu!
Lakin Janjaweed yuko sahihi eti unasema aweke Pic uone ukishaona halafu.......
na ye kazi yake ni kujipiga picha kila anapokuwa kwenye shughuli ya kudo!!!!!!!
DO You know how much it takes to write down and reveal the things you have been doing
Nakubaliana na Janjaweed post yako haikuwa na mantiki hata kidogo!!!!!!!!!!!!!
Konsolatha MI NAKUPONGEZA MWAYA.....
Yeah mkinipa nafasi nitaelezea hapa JF jinsi nilivyo ingia huko na matatizo niliyo kutana nayo huko.
Conso me I cant wait for yor Stori maana ile siku nilikufatilia mwanzo mwisho.....
na baadhi ya watu hum uliwatuhum kuwa wana tabia kama yako na ulikuwa very confident
so I just want to Know the details....was It REALLY au ulikuwa wanogesha JUKWAA
kitu gani hasa kimekumotivate kuacha........
Siamini na wewe umeingizwa mkenge na Kons. Na ujanja wako wote umeshindwa kukonekt dots ukajua abc za huyu binadamu?
Wajanja tulishastuka siku nyingi sana. Kusoma hatujui ila picha na miandiko haitushindi.
wewe ni wakwendamotoni tu!
Siku hizi nimekua mgeni hapa....
Huyu ndo nani mzee tablet?
Huyu ni mkoboaji kaka. Update ram yako unapitwa na mengi. Ana twin wake anaitwa Mpole sana