Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,869
Nimechoka kutibia magonjwa ya zinaa ambayo nimekuwa nikiambukizwa na wanawake wenzangu! Nimechoka kupoteza hela zangu ! Nimechoka kumkufuru Mungu nimechoka kuishi maisha ya siri, nimechokwa kuishi maisha ya kutengwa ! Sasa nimeamua kumrudia Mungu. Kwa wote nilio wakwaza, samahani. Nipo tayari kutoa somo la bure kwa wanawake wenzangu ambao bado wanaendekeza usagaji. Usagaji sio ishu kabisa jamani!~ Ni kufuru na laana kubwa mbele za Mungu
Ujinga wa hizo imani zenu mlizoletewa na meli za wakoloni ni hapo tu...
Huyo utaeenda kutubu kwake nae ana uchafu wake...
Yaani kila mtu mchafu