mmmmh! gfsonwin huyu hatu enjoy kweli? mbona kama anacheka vile!
itakuwa yule wa mito ya baraka.Hongera sana kwa kumrudia Mungu. Ni Mungu yupi sasa uliyemrudia? Jehova au mwingine? Ubarikiwe!
consulty my wife! shansarie, she can help you..
Hongera sana kwa kumrudia Mungu. Ni Mungu yupi sasa uliyemrudia? Jehova au mwingine? Ubarikiwe!
Hii ni habari njema!
Kwa kuwa maamuzi umeyafanya wewe, basi uwe na msimamo na moyo wa kushinda majaribu!
Pata tiba ya magonjwa ya zinaa, pata ushauri wa kisaikolojia - jichanganye humu jf, na pia katika shughuli zako za kukupatia kipato!
Pia uje utupatie kwa kirefu experince yako, maana utasaidia kuokoa wengi!
Cc Heaven on earth