Usagaji sasa basi!

Usagaji sasa basi!

Ni wazo zuri la kibiashara ana huenda labda pia umeshauriwa kibiashara. (Maamuzi yote yapo kwako)

Nadhani idea ingekuwa hivi, kwa kuanzia na hawa WanaJF ungeshare kile ambacho unaona kitatusaidia pamoja na familia zetu, Then kwa wale wengi wasiofikia hizi social networks, njia nyinginezo kama za CD na Filamu zitumike. naamini na sisi kama wadau wa jamii bora tutasupport hio kazi.

Ningependa kujua namna ulivyoingia, namna unavyopata wadada wengine, ushawishi unaotumika (ni kuhonga au kuna wadada wengi nao wanahitaji hii huduma, madhara uliyaexperience, mtandao wa hii huduma ukoje, ilikuwa kuwaje ukafikiria kuacha, ulishawishiwa na wengine uache au uliamua mwenyewe, na kwa nini uamue sasa etc. majibu kwa maswali kama haya na mengine yanatusaidia namna bora ya ku-deal na vyanzo vy haya makitu na kuwasaidia wadogo zetu kuepukana na haya.

Blessings!
Haya nimekuelewa nitajitaidi kufanya hivyo ingawa najua kwa kuelezea tu hapa JF inaweza kuchukua hata miaka mitatu kwa sababu sintakuwa na muda wa kuwa nakuja hapa kila siku. Vinginevyo kama kuna mwandishi wa habari hapa JF ani pm naweza kufanya naye mahojiano kuhusu historia yangu then yakawa published hapa JF na kwenye blogs zingine.
 
kama ni KWELI umecha, hongera, hakikisha hurudii tena Maana Mungu hataniwi
 
Lete hiyo ripoti na utudadavulie na hao wa humu jamvini ni wakinani? Labda nao wataacha huo mchezo.
 
100% hao wanaojisema sijui walikuwa ma lesbian ,mara sijui wanaenda leo kufumaniwa HAWAPO hivyo wanatuchezea tu akili na wala haitakiwi uwe na elimu ya rocket science kujua haya!

Jokingly I posted my tete-a-tete after comprehensive research!Ilikuwa kunogesha genge kama ambavyo wao huwa wananogesga genge kwa mabandiko yao ya uongo!

Sorry for any inconv kwenye utani wangu!

respect mkuu... thanks kwa kuniondoa wasiwasi

ila tunachangia mada inavyokuja, 90% ya mada humu ni za kutunga lakini zina shule yake
 
Konsolatha NDIYO yangu naamini ni ya arobaini (40), sasa fungukaa dada, jishebedue uwanja ni wako
 
Last edited by a moderator:
ulikuwa unasaga mahindi au nafaka ya aina gani ati
 
asilani siwezi kusagana! m.b.o.o ilivyo tamu nikasagane??? halafu umpate mwanaume mwenye li-base, sauti ya kiume, akuongeleshe masikioni kuwa k.u.m.a yako tamu na maneno mengine ya mahaba! hata al-shabab wakiingia kwa rum, wala hamtaogopa kufa! acheni kusagana! wazima humu ndani??

Hahahaaaa..... Ni kweli kabisaaa..!
 
Siamini na wewe umeingizwa mkenge na Kons. Na ujanja wako wote umeshindwa kukonekt dots ukajua abc za huyu binadamu?

Wajanja tulishastuka siku nyingi sana. Kusoma hatujui ila picha na miandiko haitushindi.
KonS nae !
af we supirini hv unavokaa kimya hiv bila kumtaka hali mwalimu manake nini?
 
Nimechoka kutibia magonjwa ya zinaa ambayo nimekuwa nikiambukizwa na wanawake wenzangu! Nimechoka kupoteza hela zangu ! Nimechoka kumkufuru Mungu nimechoka kuishi maisha ya siri, nimechokwa kuishi maisha ya kutengwa ! Sasa nimeamua kumrudia Mungu. Kwa wote nilio wakwaza, samahani. Nipo tayari kutoa somo la bure kwa wanawake wenzangu ambao bado wanaendekeza usagaji. Usagaji sio ishu kabisa jamani!~ Ni kufuru na laana kubwa mbele za Mungu

Update...

kwa mungu yote yanawezekana as Jesus say if you as anything in my name,i will do it John 14:14
 
Back
Top Bottom