Usagaji sasa basi!

Usisahau kupima lile gonjwa kubwa lao.
 

Conso me I cant wait for yor Stori maana ile siku nilikufatilia mwanzo mwisho.....

na baadhi ya watu hum uliwatuhum kuwa wana tabia kama yako na ulikuwa very confident

so I just want to Know the details....was It REALLY au ulikuwa wanogesha JUKWAA

kitu gani hasa kimekumotivate kuacha........
 
Stori ni ndefu sana, naombeni mnipe kama walau siku mbili au tatu hivi ila ninaweza jibu maswali yenu.

Aisee nimekupenda sana. File langu linasoma 'zero' upande wa marafiki. I have'nt yet have friends in JF, nakupa mwaliko we ndo uwe rafiki yangu wa kwanza hapa JF.

Lakini pia, ninachosubiri kwa hamu, ni kujua ktk huo uhusiano we ulikuwa ke au me?

Nasubiri sana kujua ilikuwaje!? Ubarikiwe ndugu.
 
pongezi konsolatha...m/mungu akusamehe kwa uliyoyafanya,haikuwa tabia nzuri!!!
 
Where is a comfession?! Funguka basi tujifunze kwako?! Tupe ushuhuda wako?! Madhara yake n.k Kusema tu nimeacha haitoshi
 

wewe ni wakwendamotoni tu!
 
Yeah mkinipa nafasi nitaelezea hapa JF jinsi nilivyo ingia huko na matatizo niliyo kutana nayo huko.

Nashukuru Mungu kukuonesha njia njema na kuachana na usagaji.
Nafasi unayo kuwafundisha wengine juu ya madhara hayo ya usagaji.
 
Kumbe ulukwa UNASIAGWA .........!
POLE ....................!:rolleyez:
 
Kumbe ulikuwa UNASIAGWA .........!
POLE ....................!:rolleyez:
 
hongera mdada. usiangalie wala kulaumu ulipojikwaa siku za nyuma bali tengeneza njia kwa maisha mapya uyatakayo..,, Mungu mueza wa yote akusaidie kuitimiza nadhiri yako!
 
Ukifunguka ndo utakuwa umekamilisha ushuhuda wako na kuwafundisha,kuwafungua wengi kusema umeacha tu haitoshi ndugu.
MUNGU AKUONGOZE .
Soma BIBLIA kitabu cha kutoka 20;20-27
 
Kwa mungu hakuna dhambi kubwa wala ndogo zote ni dhambi tu binadamu wote hatujakamilika kila mtu ana mafurushi yake ya dhambi sema tu kwa sababu huwa haziandikwi usoni ukitubu kwa kumaanisha utasamehewa
 
Mi cjui tu inakuwaje. Nijibu hapa utamu huwa unapatikana hapo maanake na hamu kujua sjui nani anakuwaga mwnaunme. Au manachaguana ww leo uwemkaka na ileee mnapta wapi na ulojo uleee mnapata wapi ukifunguka naomba. Unijibiee maswali haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…