USA kuishambulia Iran karibuni

USA kuishambulia Iran karibuni

Mimi ni mkristo. Sina udini wala u race. To me i always see humans regardless of their religion,color of their skin,where they come from.
Kwani kuwa mkristo ndiyo umekuwa malaika???Chuki tu imekujaa ndiyo maana umekariri sana Middle-East utafikiri kwenu hakuna humans!!Pole sana kwa hilo maana litakutesa sana maishani mwako wakati huohuo unaowachukia ndo watakuwa juu tu mawinguni!!!!
 
Mbona kama ume panic ndugu?
 
Marekani hawezi kuingia kwenye vita na Iran kirahisi kwa sababu anajua uwezo wa Iran kivita na ndio maana Iran inajiamini. Kule North Korea aliitisha kwa kupeleka warships na hakufanya lolote, Iran wameshusha drone yake mpaka sasa umesikia response yoyote kutoka US? Marekani labda aunganike na NATO ndio aende vitani ila mwenyewe sijui anakwama wapi
Unatarajia USA atampapasapapasa na vibom vya kuteleza?! Atamtandika mpaka dunia imuombee poh!
Shock and owe! Ndicho kinafuata.
 
Kwani kuwa mkristo ndiyo umekuwa malaika???Chuki tu imekujaa ndiyo maana umekariri sana Middle-East utafikiri kwenu hakuna humans!!Pole sana kwa hilo maana litakutesa sana maishani mwako wakati huohuo unaowachukia ndo watakuwa juu tu mawinguni!!!!
Nonsense.
 
Marekani hawezi kuingia kwenye vita na Iran kirahisi kwa sababu anajua uwezo wa Iran kivita na ndio maana Iran inajiamini. Kule North Korea aliitisha kwa kupeleka warships na hakufanya lolote, Iran wameshusha drone yake mpaka sasa umesikia response yoyote kutoka US? Marekani labda aunganike na NATO ndio aende vitani ila mwenyewe sijui anakwama wapi
Safi sana. Wewe unajua haya mataifa. Hawajui kama ile drone ilienda kule Iran kwa kujificha na walijua kabisa Iran wasingeiona. Iran wamewaaibisha sana USA. Halafu watu wanaamini US kaahirisha kupiga sababu ya watu 150.US kaogopa ukizingatia wapambe wake wa Nato hakuna hata mmoja anaemuunga mkono kwa sasa.USA kamwe hawezi pigana vita peke yake akashinda.
 
Trump anaogopa nn kuichakaza iran???...angelikua george w bush saa hizi tungekua tunaongea mengine
 
Huyu kapanic kweli,alijua mimi ni muislam ndo maana naitetea Iran.
Huo ni ujinga wako tu unataka kuaminisha watu kuwa waislamu wote wanaitetea Iran??? Huo ndiyo ujinga wa kiwango cha Standard-gauge ulio nao!!!!
 
Marekani hawezi kuingia kwenye vita na Iran kirahisi kwa sababu anajua uwezo wa Iran kivita na ndio maana Iran inajiamini. Kule North Korea aliitisha kwa kupeleka warships na hakufanya lolote, Iran wameshusha drone yake mpaka sasa umesikia response yoyote kutoka US? Marekani labda aunganike na NATO ndio aende vitani ila mwenyewe sijui anakwama wapi
Analaumiwa Trump kwa kukataza vita isianze, wamarekani wote walikuwa tayari kwa vita.
Iran hata iwe na uwezo mkubwa vipi kwa sasa, njiti ya kiberiti inawaka tartiiiiiibu.

Naona mnapenda apigwe.
 
Hiyo ni siasa tu hata kipindi cha vita ya Vietnam walisema kwamba wananchi wanataka wanajeshi wao wasiendelee na vita warudi marekani ili kiuhalisia nini kilitokea?

Trump anajua nini kipo mbele wakiingia kwenye vita na Iran, uhalisia wa kijeshi wa US usiuangalie kwenye movies zao.

US hawezi kupigana na Iran kwa sasa labda kwa badae sana.
 
Yesu aliwaombea ya kwamba Mungu awasamehe kwa kuwa hawajui walitendalo.
Kwa usongo ilionao iran wa kuifuta israel kama angekuwa kaubavu kiduchu kuisadifu fikra yako angekuwa ameshafanya yake kitaaambo.
 
Back
Top Bottom