Kweli mkuuWaisraeli huwa hawacheki na kima! Hapo ndio nnapowakubali
Iran akitaka mambo yawe mazuri arushe kakombora hata kamoja tu kaangukie ndani ya Israel, sijui Picha itakuwaje!Waisraeli huwa hawacheki na kima! Hapo ndio nnapowakubali
Marekani sidhani kama ataingia kwenye vita na Iran hizo zitakua mbwembwe tu ila anajua uwezo wa kijeshi wa Iran kwamba sio wa kubezwa. Nadhani pia atafikiria kuhusu kuyumba kiuchumi akiwa vitani wakati huo mshindani wake kiuchumi China atakua anazidi kupepea wakati yeye anapigana vita.
Mimi hata siamini Mkuu hebu nambie USAID au Global Fund wanapata maslahi gani kwenye kupambana na Malaria na Ukimwi Africa?? Tena wanaongeza ajira na wasomi.Hapana mkuu, maslahi wanayoyapata ni makubwa kuliko hzo huduma za Afya. USA hana, hajawahi kuwa na upendo nasi ni mkoloni tu
Katika utawala wa Saddam Hessein hakuna Nchi ilikuwa na sauti zaidi ya Iraq pale mashariki ya kati, hilo la kwanza.Kuna tofauti kwanza kupigwa kwa Iraq ujue Saudi Arabia kama ally wake na nchi zingine zenye Sunni leadership ziliridhia, pili Iran nae akuona shida Saddam kutolewa hawakuwa on good terms na Iraq aikuwa na uwezo wa kufanya proxy wars za kuilipua Middle East au kufanya sabotage ya mafuta.
Iran ina support za nchi kadhaa hapo hapo Middle East na ina uwezo wa kuanzisha proxy wars na kufanya mafuta yasitoke hapo. Ina maana kuivamia Iran nchi nyingi zijiandae kupambana na proxy wars ndani ya mipaka yao kitu ambacho kitaenda pelekea vita Middle East nzima na wana uwezo wa kuzuia straight of Hormuz.
Hizo ndio sababu unaona Saudi Arabia anashawishi watu wakubali kutandikwa kwa Iran in other words wachukue responsibility kwa lolote litakalofuata in terms of proxy.
Haha Pro US ndo mmepata kichaka cha kujifichia..Iran akitaka mambo yawe mazuri arushe kakombora hata kamoja tu kaangukie ndani ya Israel, sijui Picha itakuwaje!


Israeli don’t play. Wanajibu papo kwa hapo tena kwa moto mkali zaidiIran akitaka mambo yawe mazuri arushe kakombora hata kamoja tu kaangukie ndani ya Israel, sijui Picha itakuwaje!
Iran-Iraq wamepigana vita god knows for how long na mwisho Saddam akaishia kujihami na serikari yake kutokana influence za Iran political views ndani ya Iraq. Sasa sijui ni lini Iraq aliwahi kuogopewa ndani ya region.Katika utawala wa Saddam Hessein hakuna Nchi ilikuwa na sauti zaidi ya Iraq pale mashariki ya kati, hilo la kwanza.
La pili ni kwamba sio tu Iran bali Taifa lolote likiingia kwenye 18 za USA halitobaki salama zaidi ya kukubali terms & conditions, ndio maana ukaona Japan akaingilia kati kuwasihi Wairan watulize mshono mana wanajua madhara yake.
Tatu, waarabu ni wanafiki na wabaguzi wa kufa mtu....kama walimuacha Afganistan, Iraq, Quet, Syria na Libya unadhani watamtetea Iran ambaye si mwarabu mwezao?
Hilo sahau.
Mkuu trust me Iran watalipa price kivyovyote eidha hizi sanctions zilizokuwa imposed jana zitazidi kuuwa uchumi wao na hata kufikia umasikini wetu, au uhasama utafika mbali!Dripboy unaitwa huku
Ndo mana nikakwambia vita ni shughuli ya kibinadamu yenye faida ya kiuchumi kuliko shughuli yoyote uijuayo.Iran-Iraq wamepigana vita god knows for how long na mwisho Saddam akaishia kujihami na serikari yake kutokana influence za Iran political views ndani ya Iraq. Sasa sijui ni lini Iraq aliwahi kuogopewa ndani ya region.
Waarabu wana allies zao sio kila nchi zinamahusiano mazuri kwa ivyo inategemea anaevamiwa ana mahusiano gani na wenzake ukiwa rafiki na Saudi Arabia watatoa pressure kwa wengine ili utetewe na usipokuwa na mahusiano mazuri nao watatoa pressure kwa wengine wa support kichapo chako.
Hila linapokuja swala la Iran ni kesi nyingine geographically wao wana uwezo wa kuzuia meli za mafuta kukatiza na atakae umia sana kiuchumi ni nchi za Asia ambapo asilimia kubwa ya mafuta yanayotoka strait of Hormuz yanaenda kwao ndio maana unaona kwa wa Japan na Asia kwa ujumla it’s not in their interest hiyo region isiwe stable.
Ni hivi kuivamia Iran is a complicated matter not just for the regional politics but global economy.
Hahhaaa kwa simulizi hizi nahisi kuna baadhi ya wabongo huwa wanashirikishwa na USA kwenye vikao. Maana sio kwa kuwa deep kiasi hiki tena kwa kujiamini kabisaNdo mana nikakwambia vita ni shughuli ya kibinadamu yenye faida ya kiuchumi kuliko shughuli yoyote uijuayo.
Anachokiangalia US kwa sasa ni kumfyatua Iran na kutengeneza unstable security halafu anasecure the oil route to Asia region na watalazimika kumlipa kwa huduma hiyo mana hakuna wa kumzuia kufanya hivyo, na hiyo itampelekea US na makampuni yake kuwa major suplly wa bidhaa hiyo Asia kote.
Kwa hesabu za US ili kuishikilia na kuilinda biashara yao na Asia ni lazima Iran apigwe.
in the stack haouse....Winter is coming,..
Ni wakati wa Iran kutest makombora ya nyuklia katika ardhi ya Saudia.
Mkuu trust me Iran watalipa price kivyovyote eidha hizi sanctions zilizokuwa imposed jana zitazidi kuuwa uchumi wao na hata kufikia umasikini wetu, au uhasama utafika mbali!
Gharama za bidhaa na kuishi hivi sasa Iran ziko juu mno na viwanda vinazalisha bidhaa ambazo hazikidhi tena ku_export Iraq, kumbuka Iraq anamtegemea Iran kwa ajili ya goods.
Mimi yangu macho tu
Ni uchambuzi na sio simulizi mkuu.Hahhaaa kwa simulizi hizi nahisi kuna baadhi ya wabongo huwa wanashirikishwa na USA kwenye vikao. Maana sio kwa kuwa deep kiasi hiki tena kwa kujiamini kabisa
Ni uchambuzi na sio simulizi mkuu.
Mkuu hearly watu kama hawa hivi ni wakufanya nini?
Hahaaa mara nyingi chambuzi zinabebwa na hisia za mchambuaji ndo mana vitu kama hivyo hujitokeza.Aiseeh! Sawa mkuu, hizi chambuzi ukizisoma mpaka unajihisi kama upo Marekani. Tena mwingine anakwambia trust me, Iran atalipa price. As if anatoa tamko... dah