mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,260
Kama mtu mmoja tu Myemen Bin laden aliweza kushambulia the highest trading center usiniambie chochote kuhusu ikulu ya TehranHana hizo nguvu.
Kama mtu mmoja tu Myemen Bin laden aliweza kushambulia the highest trading center usiniambie chochote kuhusu ikulu ya TehranHana hizo nguvu.
Inaonekana una ushabiki fulani, mimi sina ushabiki wa side yoyote ila niko upande wa madhara yatakayo weza kuzidi tokea kwa Raia wa Iran kiuchumi au kivita (wenyewe kwa wenyewe)Ni wa kudunguliwa kama drone. Ila aisee watu humu wanaijua mipango ya Marekan na Iran kuliko hata wenye nchi zao hizo
Hahahahaha mkuu ,jana kuna mpuzi mmoja anayejiita muqawama alileta uzi kama huu"eti kwa taarifa alizonazo ni kuwa.. ",tukamwambia wewe ni nani?Kakopi,kakati na kupaste halafu anajifanya mleta habari wa "insider"Mheshimiwa maarufu, "Mujtahid," katika Twitter yake vyanzo vya kunukuu vilivyoelezewa na Wizara ya Ulinzi ya Saudi, alisema kuwa Marekani sasa imewaomba Saud Arabia kuandaa maeneo ya kijeshi ya Saudi kutumikia Amerika katika mapambano ya karibu.
Inasemekana USA atashambulia Iran kama sehemu tatu hivi sababu Trump anaruhusiwa kutokana na sheria afanye mashambulizi kiasi kama hakuruhusiwa na congess kwenda vitani, na Iran akijibu hapo ndio itabidi congress wampe Trump green light aingie katika vita kamili na hicho ndio Trump, Natanyahu, MBZ na MBS wanakitaka.
Vita vinakuja katika hizi siku au hii week, kutokana na huyo Mheshimiwa maarufu Mujitahidi, na mara nyingi habari zake huwa za kweli haswa katika habari za Royal family za Saudia na inasemekana ni one of Saudi Royal Family.
Kwa taarifa yako Marekani huwa hapigi mahali ambapo jamaa wana uwezo wa kurudishia!!!!!! Ndege yao ya kijeshi isiyo na ruban " US Navy MQ-4C Triton drone" waliyoituma kufanya ujasusi juu ya Iran "haikurudi"!!!!! Na hii ni vresion mpya kabisa yenye dhana za kujificha isionekane na dhana za kijilinda isidunguliwe lakini saa hii imebaki majivu!!!!! Mtasubiri sana Marekani kujitutumua kwa Iran!!!!! Aendelee kumwonea Mchina kwa kukatisha kwenye bahari ya china na mimeli yake!!!! Wairan hawajui kubeep!!!! wao ni kupiga tu ukujichanganya kwenye anga zao!!!!! Tukio hili limemwogopesha sana Marekani!!!!! Hakutegemea kama Iran wangethubutu kufanya waliyofanya!!!!!!
Venezuela tu kataifa kadogo. .kamemtoa kamasi ndio atawaweza waajemi. ... wale Persian sio watu wa mchezo mchezo. .kama anaweza kweli atie maguu tuone
Trump amesitisha shambulizi baada ya kuambiwa kuwa watu 150 watakufa iran kwa shambulio hilo.
DONALD TRUMP NI ADUI MUUNGWANA.
Iran akitaka mambo yawe mazuri arushe kakombora hata kamoja tu kaangukie ndani ya Israel, sijui Picha itakuwaje!
Well kwa sisi tunafuwatilia siasa za duniani Iran must go. Nikitisho cha dunia sio dolla. Rafiki na Wala hawana rafiki nahili ndilo dunia imekubaliana kuliondoa hilo taifa ktk raman ikiwezekana ikiwa wananchi wake wameshindwa basi dunia lazima isimame kufuta huwo utawala. Siri nikubwa ila vita ipo na tusali vita hiyo isifanikiwe kwa Iran fanikiwa rusha japo kombora moja likafanikiwa piga Israel, Saud, marekan au taifa lolote rafiki Iran itakuwa vumbi kabisa vifo vitakuwa vyakutisha sanaMheshimiwa maarufu, "Mujtahid," katika Twitter yake vyanzo vya kunukuu vilivyoelezewa na Wizara ya Ulinzi ya Saudi, alisema kuwa Marekani sasa imewaomba Saud Arabia kuandaa maeneo ya kijeshi ya Saudi kutumikia Amerika katika mapambano ya karibu.
Inasemekana USA atashambulia Iran kama sehemu tatu hivi sababu Trump anaruhusiwa kutokana na sheria afanye mashambulizi kiasi kama hakuruhusiwa na congess kwenda vitani, na Iran akijibu hapo ndio itabidi congress wampe Trump green light aingie katika vita kamili na hicho ndio Trump, Natanyahu, MBZ na MBS wanakitaka.
Vita vinakuja katika hizi siku au hii week, kutokana na huyo Mheshimiwa maarufu Mujitahidi, na mara nyingi habari zake huwa za kweli haswa katika habari za Royal family za Saudia na inasemekana ni one of Saudi Royal Family.
Ila unapenda NBA..Iran,wakapige pale Newyork kabisa. Siwapendi Marekani.
Sasa alitaka isitunguliwe? Yani uingize kindege chako kwenye nchi yangu alafu niangalie tu?
Teh teh teh eti aligairi baada ya kuambiwa watu kadhaa watakufa.Hivi nawewe kwa akili yako unashindwa kujua kwamba kaufyata?Marekani kila leo anasababisha mauaji ya raia wasio na hatia wala hajali halafu leo aje kuwajali maadui zake Waajemi?Kituko.
Teh teh teh eti aligairi baada ya kuambiwa watu kadhaa watakufa.Hivi nawewe kwa akili yako unashindwa kujua kwamba kaufyata?Marekani kila leo anasababisha mauaji ya raia wasio na hatia wala hajali halafu leo aje kuwajali maadui zake Waajemi?Kituko.
dogo unataka kusema habari nilio leta si kweli au nimetunga? Nilileta dalili na source mbili zinagongana.Hahahahaha mkuu ,jana kuna mpuzi mmoja anayejiita muqawama alileta uzi kama huu"eti kwa taarifa alizonazo ni kuwa.. ",tukamwambia wewe ni nani?Kakopi,kakati na kupaste halafu anajifanya mleta habari wa "insider"
Na wewe unaekekea huko huko au?
Hahahahha,kidogo naona walau ume-acknowledge source zako za habari.
Ndugu 1/3 of daily consumption ya mafuta duniani yanapita hapo Strait of Hormuz ni kiasi kikubwa sana in million barrels na asilimia kubwa ya oil and gas reserves zilizopo duniani zipo kwenye nchi ambazo zipo ndani ya gulf region and at the end of the bottle neck kuna Iran.Ndo mana nikakwambia vita ni shughuli ya kibinadamu yenye faida ya kiuchumi kuliko shughuli yoyote uijuayo.
Anachokiangalia US kwa sasa ni kumfyatua Iran na kutengeneza unstable security halafu anasecure the oil route to Asia region na watalazimika kumlipa kwa huduma hiyo mana hakuna wa kumzuia kufanya hivyo, na hiyo itampelekea US na makampuni yake kuwa major suplly wa bidhaa hiyo Asia kote.
Kwa hesabu za US ili kuishikilia na kuilinda biashara yao na Asia ni lazima Iran apigwe.
Hujanielewa,nimesema wewe umetuletea habari na ku-acknoledge source zako za habari.dogo unataka kusema habari nilio leta si kweli au nimetunga? Nilileta dalili sa kama unadhani Trump hakumpigia mfalme wa Oman wayamalize na Iran, haya basi Press Tv wanasema haya pia.
for Iran talks with no preconditions: Report
Fri Jun 21, 2019 11:07PM [Updated: Sat Jun 22, 2019 01:25AM ]
US President Donald Trump![]()
US President Donald Trump has reportedly said that he would be ready to negotiate with Iran without any preconditions.
According to an excerpt from an upcoming interview with NBC aired on Friday, Trump also said that the United States has no intention of going to war with Iran.
"I'm not looking for war," Trump said on the interview that will air Sunday on "Meet the Press."
The Islamic Republic shot down an intruding American spy drone in the country’s southern coastal province of Hormozgan in the early hours of Thursday.