Saddam angemshinda USA tatizo Saddam alikuwa na matatizo na majirani zake na warabu walikuwa upande wa USA.
Nchi zilizo pigana na Saddam ni 45.
Jiran zake wote walishiriki vita isipokuwa Jordan tu, na Jordan asinge msaidia sababu ni puppet wa USA.
Iran story ingine, Iran ya sasa ina nguvu kuliko Iraq wakati wa Saddam.
Warabu ma sunni hawana umoja kama mashia awe Muajemi au Mwarabu, yani hakuna hata shia anaweza kukubali Iran ipigwe, awe shia Muiran, Mpakistan, Mwarabu au Mhindi na USA analijua hilo.
Iran wanajiita wajukuu wa Hussein ambaye alikuwa ni mjukuu wa Mtume Muhammad, ushujaa kwao mbele hakuna cha kuwarudisha nyuma.
Nani anakuambia dini haisaidii vita, Iran wanamini kufa ni kwenda peponi, wakati USA anamini kufa ni kwenda motoni.