fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,915
Mbona kasitisha, ajaribu aone ndio utakuwa mwisho wa ubabe wake.Hana hizo nguvu.
Mbona kasitisha, ajaribu aone ndio utakuwa mwisho wa ubabe wake.Hana hizo nguvu.
Iraq sio Iran ndugu..Alipigwa Iraq mzalishaji wa mafuta sembuse Iran?
Iran alivyojipanga anaweza sumbua huo upande wa pili kupitia vikundi vyake anavyo support vilivyopo Yemen ndio maana Saudi Arabia huwa anamshutumu Iran meli zake zikipigwa upande wa pili na Suez Canal mafuta yanafika kupitia pipe ambalo mara kadhaa watu washalipasua.
Asante ndugu na unisamehe nilifahamu vingine.Hujanielewa,nimesema wewe umetuletea habari na ku-acknoledge source zako za habari.
Ila jana mpuuzi Mkuu na Kiongozi maqawama alileta taarifa hizi na kudai "eti kwa taarifa alizonazo ni kuwa...."
Hahahaha
Asante ndugu na unisamehe nilifahamu vingine.
😁 😀 👍Kweli,ungesoma btn the line ungeelewa.Lakini ulisoma haraka haraka kama mkata gogo wa asubuhi kwenye nyumba yenye zaidi ya wapangaji 10.
Tupo pamoja Mkuu,wasalimie wa hapo kwenu Kwa Mtogole.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwarabu koko dhibitisha ujinga wako!!!!Tanzania ina mahusiano mazuri tu ya kijeshi na Iran
Kamulize Natanyahau drone yake iluangusha au haikuangushwa alipo enda anga la Iran, au Natanyahu kasahau.
Hebu tazama aibu hij sijui Trump ataificha wapi.
Siri ya Trump kuzia leo mashambuli ni sababu Pilot aliye kuwa kiongozi wa zike fleet za F16 kuona Raddar Jamming system inamuonyesha kuwa Radar ya Iran kashindwa kuijam. Naonagopo kusogeza pua missile ikamripua.
Ni kweli maneno yako mstaafu wa JWTZ, USA ni super power lakini mara nyingi sana si kila super power wanashinda vita wako wapi ma super power wazamini.
Ukweli USA anaweza mpiga Iran lakini hasara ngapi watazipata, afu lazima ufahamu wa Iran ni Mashia nakatika kamusi yao wanajiita wajukuu wa Mtu wale Hassan na Hussein na wao wanasema ni wafuasi wa Hussein, yani wao kumwaga damu wanaona ni sifa na kufa ni sherehe kama sikukuu za Eid vile.
Kwa hio Mshia huwa haogopi kufa na hapo USA anajua wazi kabisa.
We mdada eti siwapendi U.S walikufanyia niniIran,wakapige pale Newyork kabisa. Siwapendi Marekani.



Labda niseme sipendi utawala wa Marekani maana wamesababisha Iraq isikalike,libya isikalike. In short siwapendi wanavyosababisha vita middle east. Kwa kugombanisha majirani. Angalia Saudi Arabia hapatani na Iran.We mdada eti siwapendi U.S walikufanyia nini![]()
Hakika na muisraeli pia,wamefanya dunia isiwe sehemu salama.Ila anguko lao ata vitabu vitakatifu vimeandika nadhani ndo umeanzaLabda niseme sipendi utawala wa Marekani maana wamesababisha Iraq isikalike,libya isikalike. In short siwapendi wanavyosababisha vita middle east. Kwa kugombanisha majirani. Angalia Saudi Arabia hapatani na Iran.
Endelea kuta ndoto za mchana!!!!Hakika na muisraeli pia,wamefanya dunia isiwe sehemu salama.Ila anguko lao ata vitabu vitakatifu vimeandika nadhani ndo umeanza
Kwa mbali naanza kuona kwa nini unasema hupendi Marekani na huipendi kwa sababu ya mambo inayofanya Middle -East hasa kwa ndugu zangu waarabu wakati huohuo huoni chochote kinachofanyika kwa waafrika wenzako,Kwa haraka haraka chuki zako zimegubikwa na UDINI pole sana kwa hilo!!!!Labda niseme sipendi utawala wa Marekani maana wamesababisha Iraq isikalike,libya isikalike. In short siwapendi wanavyosababisha vita middle east. Kwa kugombanisha majirani. Angalia Saudi Arabia hapatani na Iran.
Bado namalizia kuota nikimaliza ntakutag.mana unaonekana mchambuzi mzuri ila hoja umeona ni kuota.asante piaEndelea kuta ndoto za mchana!!!!
Mimi ni mkristo. Sina udini wala u race. To me i always see humans regardless of their religion,color of their skin,where they come from.Kwa mbali naanza kuona kwa nini unasema hupendi Marekani na huipendi kwa sababu ya mambo inayofanya Middle -East hasa kwa ndugu zangu waarabu wakati huohuo huoni chochote kinachofanyika kwa waafrika wenzako,Kwa haraka haraka chuki zako zimegubikwa na UDINI pole sana kwa hilo!!!!
Hakuna chambuzi hapo zaidi ya simulizi za vijiweni.Ni uchambuzi na sio simulizi mkuu.