Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,220
Mdharau mwiba...........Usiwaunderestmate wairani. Wairan wanaongoza kwa Sayansi ya nuclear. Wewe unafikiri wangekuwa hohe hahe America ingekosa usingizi kwa ajili yao? Nilishakutana na wairan wachache wapo vere vere intelligent.
Unajua kuna baadhi ya watu wanafikiri Iran ni waarabu. Lakini Trump amekuwa na akili sana baada ya Intel kumwambia Irana wana macho ya kuona stealth planes, ingekuwa aibu sana kwenye utawala wake kuambiwa kuwa ndege stealth zimetunguliwa na Iran.
