Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Hahahaahahahah!
Hii ya kujifurahisha wenyewe
Hahahaahahahah!
Na katika hili pia ataufyataUS ana nyuklia na Iran ana nyuklia na wote wana technology ya kurusha na kuzuia makombora. Drone ya US yenye technology ya juu imeshushwa na Iran na hiyo siyo ya kwanza, miaka iliyopita walishawahi kushusha nyingine ila US hakufanya lolote.
Anaona kila mtu kapuku humuKwa mtogole???Jifariji.
Mimi hapo sijatoa uchambuzi wangu bali tu nilikuwa najibu baadhi ya maoni ya watu kulingana na hali halisi on the Ground.Maana kuna wengine kuangusha ndege au Drones za adui wanaona ni ushindi kijeshi lakini kiukweli Ushindi ni kukalia nchi ya adui ndiyo ushindi mnono!!!Mkuu nlikuwa nakuelewa saana..
Kuna ile story yako ya vita ya Uganda uliizungumza sehem ya kwanza na ya pili niliielewa saana,
Kwa mtu ambaye umepitia kwenye vita na una experience ya migogoro nlitegemea utakuja na uchambuzi ambao hauko bias..
Naamin vita na Irani na Marekani sio sawa na ile Israel anavyoenda kupiga ndani ya Syria na kuondoka..
Lakin ww ni mnazi wa Israel unasahau hata Israel yenyewe inafanya siasa.. Taifa teule ni siasa kutupumbaza sisi waswahili..
Hushangai wazungu na waarabu kututawala kikubwa walichotuachia ni Biblia na Quran iliyotafsliwa kwa kila lugha ya Africa lakini sio vitabu vya Physics,Mechanics, na masomo mengine.. Sababu kubwa ni kututawala kifkra..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣trump si huyo kichaa tayar mbona dunia inakalika
Mkuu umekuja na mambo mengi sana nashindwa nifunguke kwa lipi!!Funguka vizuri!!!Mkuu nlikuwa nakuelewa saana..
Kuna ile story yako ya vita ya Uganda uliizungumza sehem ya kwanza na ya pili niliielewa saana,
Kwa mtu ambaye umepitia kwenye vita na una experience ya migogoro nlitegemea utakuja na uchambuzi ambao hauko bias..
Naamin vita na Irani na Marekani sio sawa na ile Israel anavyoenda kupiga ndani ya Syria na kuondoka..
Lakin ww ni mnazi wa Israel unasahau hata Israel yenyewe inafanya siasa.. Taifa teule ni siasa kutupumbaza sisi waswahili..
Hushangai wazungu na waarabu kututawala kikubwa walichotuachia ni Biblia na Quran iliyotafsliwa kwa kila lugha ya Africa lakini sio vitabu vya Physics,Mechanics, na masomo mengine.. Sababu kubwa ni kututawala kifkra..
Achana na Pro-Christian lete fact!!!!Wewe kwanza ulikuwa na prejudgement uliamini mimi ni Muislam kutokana na hoja zangu kwenye huu uzi. Nilipokujibu mimi sio muislam. Kwanza una udini nimeenda kukusoma unavyochangia miaka nenda rudi. Upo prochristian. Unaongonzwa na Udini. Hivyo basi nimeshakusoma. Nitakupa fact juu ya fact. Again Iran ni moto wa kuotea mbali. US kama US peke yake hawaiwezi Iran. Si unaona walivyowavua nguo kwa kuitungungua Drone ambayo iliaminika haitaonekana kwa recent technology walotumia US.
Iran alipigana vita na Iraq bila kusaidiwa na taifa lolote lile.Unaposema wewe ni Mkristo labda mfuasi wa Nabii Tito,Unaposema US peke yake yake haiwezi Iran lete fact zako ni nchi ipi inaweza kupigana na nchi nyingine bila msaada toka nchi nyingine??Lete fact zako tuzione!!!
Kwa mimi nadhani mada hapa ni mgogoro wa Irani na Marekan...Mkuu umekuja na mambo mengi sana nashindwa nifunguke kwa lipi!!Funguka vizuri!!!
Hapa si pahala pa kuulizana dini tunataka facts siyo kubwabwaja ovyo ovyo tu.Nani alikudanganya Iran alipigana na Iraq miaka nane bila kusaidiwa na nchi yoyote???Iran alipigana vita na Iraq bila kusaidiwa na taifa lolote lile.
Iraq alisaidiwa na Saud Arabia, UAE, Kuwait, Qatar, Yemen, Jordan, USA, Misri, Sudan.
Karibu nchi zote za kiarabu hata Muingereza alikuwa anamsaidia Iraq.
Kuhusu kumtukana mwenzako na kumuita mkristo wa nabii tito we ni nani haswa, kumkosoa mwenzako vile.
Hebu nieleze wewe ukristo ni nini?Kosa lake liko wapi mpaa ukasema c mkristo.
Nipe nchi ilio msaidia.Hapa si pahala pa kuulizana dini tunataka facts siyo kubwabwaja ovyo ovyo tu.Nani alikudanganya Iran alipigana na Iraq miaka nane bila kusaidiwa na nchi yoyote???
Kwanza ajiulize ile drone iliyolipuliwa ina kila aina ya tech ya kujilinda na ina uwezo wa kupita kwenye anga la mtu bila kuonekana kwenye rada za adui lakini wairani wameiona na kuishusha,,,tusiwachukulie poa Marekani hana ubavu wa kupambana na hata akipambana na akashinda basi baada ya vita itakua haina yofauti na underdog kitu ambacho trump na wamarekani hawatataka kitokeeMdharau mwiba...........Usiwaunderestmate wairani. Wairan wanaongoza kwa Sayansi ya nuclear. Wewe unafikiri wangekuwa hohe hahe America ingekosa usingizi kwa ajili yao? Nilishakutana na wairan wachache wapo vere vere intelligent.
Hizo ndizo hoja na zinatakiwa kujibiwa.Lengo la Marekani huko mashariki ya kati ni kiuchumi zaidi na hawa Iran wanaonekana kumkera sana huyu Kiranja wa dunia kwa sababu ya misimamo yao ya kutaka na kutishia kufunga mlango bahari wa Hormuz(Strait of Hormuz)Kitu ambacho hakitaiumiza Marekani peke yake bali dunia nzima maana kwa njia hiyo karibu mafuta yote kama si mengi yanapitia hapo na pili kushambuliwa kwa tanker za mafuta yanayopita hapo na Iran ndiyo kuliko sababisha sekeseke hili linaloendelea.Marekani wanachofanya hapo ni SHOW OF FORCE tu wala hawawezi kuingia vitani kihasara namna hiyo,Nijuavyo mimi vita si lelemama inapaswa kujipanga hasa.chukulia vita vya Iraq vita hiyo iliandaliwa na BUSH Baba na alipoingia BUSH Mtoto alimaliza hiyo kazi kwa ushindi.Ukija hapa kwetu vita vya Kagera maandalizi yake yalianza 1977 waliokuwa jeshini wanajua hili lakini vita vilipiganwa kuanzia oct-1978 na kumalizika 1979 kwa ushindi mnono.Hapo nilikuwa naelezea tu umhimu wa kujipanga kabla ya kuingia vitani na nchi yoyote ile haijalishi ni dhaifu namna gani au ina nguvu kiasi gani.Hivyo kwa maoni yangu hakuna vita hapo maana Marekani hawezi kuingia vitani kichwakichwa hivyo lazima afanye maandalizi.Kuhusu Ground invasion anaweza sana tu kama atapata Proxy huko Iran Ukubwa wa eneo siyo tija pia ukubwa huo inaweza kuwa faida kwa adui!!!!.Kwa mimi nadhani mada hapa ni mgogoro wa Irani na Marekan...
Ndo tungestick na uchambuz huo..
Nin unaona, kwa experience yako ya vita. Maana am sure unakubali kuwa na dhana sio ushindi... Na pia nin lengo la Marekan pale mashariki ya kati..
Unasema vita ni kumiliki ardhi ya adui.. Unadhani US anaweza fanya ground invasion .. Kumbuka Iran ni mara 4 ya Iraq.
Nina wasiwasi na kiwango chako cha ufikili.sorry for that labda una msongo wa mawazo.Tunawekana sawa tu kama ujinga wote tunao coz hii vita sio yetu ila tunajaribu kuleta mahusiano kwa reference tofauti.punguza jazbaHuo ni ujinga wako tu unataka kuaminisha watu kuwa waislamu wote wanaitetea Iran??? Huo ndiyo ujinga wa kiwango cha Standard-gauge ulio nao!!!!
Pilipili usiyo ila inakuwashia nini??Pia nina wasiwasi na ufikiri wako maana hujui hata chanzo acha kukurupuka!!Nina wasiwasi na kiwango chako cha ufikili.sorry for that labda una msongo wa mawazo.Tunawekana sawa tu kama ujinga wote tunao coz hii vita sio yetu ila tunajaribu kuleta mahusiano kwa reference tofauti.punguza jazba
Pilipili nisha iacha.uile ww jioni njemaPilipili usiyo ila inakuwashia nini??Pia nina wasiwasi na ufikiri wako maana hujui hata chanzo acha kukurupuka!!
Hizo pilipili nilimpa mtu mwingine kabisa azile na amezila nashangaa wewe sasa unawashwa-washwa sijui kwa nini!!!.Hata hivyo nina imani umeelewa hivyo uache kuzira tulia jamvini uelimike!!!!Pilipili nisha iacha.uile ww jioni njema
Mkuu unachojaribu kusema ni kuwa pengine hivi vikwazo ni sababu ya kumfanya Iran atepete kwa vikwazo ili kumchapa iwe rahisi...Hizo ndizo hoja na zinatakiwa kujibiwa.Lengo la Marekani huko mashariki ya kati ni kiuchumi zaidi na hawa Iran wanaonekana kumkera sana huyu Kiranja wa dunia kwa sababu ya misimamo yao ya kutaka na kutishia kufunga mlango bahari wa Hormuz(Strait of Hormuz)Kitu ambacho hakitaiumiza Marekani peke yake bali dunia nzima maana kwa njia hiyo karibu mafuta yote kama si mengi yanapitia hapo na pili kushambuliwa kwa tanker za mafuta yanayopita hapo na Iran ndiyo kuliko sababisha sekeseke hili linaloendelea.Marekani wanachofanya hapo ni SHOW OF FORCE tu wala hawawezi kuingia vitani kihasara namna hiyo,Nijuavyo mimi vita si lelemama inapaswa kujipanga hasa.chukulia vita vya Iraq vita hiyo iliandaliwa na BUSH Baba na alipoingia BUSH Mtoto alimaliza hiyo kazi kwa ushindi.Ukija hapa kwetu vita vya Kagera maandalizi yake yalianza 1977 waliokuwa jeshini wanajua hili lakini vita vilipiganwa kuanzia oct-1978 na kumalizika 1979 kwa ushindi mnono.Hapo nilikuwa naelezea tu umhimu wa kujipanga kabla ya kuingia vitani na nchi yoyote ile haijalishi ni dhaifu namna gani au ina nguvu kiasi gani.Hivyo kwa maoni yangu hakuna vita hapo maana Marekani hawezi kuingia vitani kichwakichwa hivyo lazima afanye maandalizi.Kuhusu Ground invasion anaweza sana tu kama atapata Proxy huko Iran Ukubwa wa eneo siyo tija pia ukubwa huo inaweza kuwa faida kwa adui!!!!.
Any way.Hizo pilipili nilimpa mtu mwingine kabisa azile na amezila nashangaa wewe sasa unawashwa-washwa sijui kwa nini!!!.Hata hivyo nina imani umeelewa hivyo uache kuzira tulia jamvini uelimike!!!!