USA are not able to overcome S-300 air defense system

USA are not able to overcome S-300 air defense system

Najua ume Google advisory opinion of international court of justice, umepata majibu mazuri tu
 
Ya sifa nzuri sana hiyo,nitumie IP address yako nita kuthibithishia
 
Toka hii thread sijaona sehemu uliyotoa ushahidi zaidi ya kumshutumu dotworld,jitahidi kujenga hoja kijana
Mkuu ... yonga.

Mkuu nakushauri tu achana kujibizana na huyo Nyani Ngabu ... huyo unaweza mkaendelea kubishana hata siku mbili ... baadae atakukasirisha mwishoni utaishia na Ban ...

Yeye ni critic mzuri na mara chache sana kwake kuchangia constructive post zaidi ya ku-criticize tu ... tunaweza kuharibu thread as watu wenye mawazo mazuri wakaikimbia na kutochangia kutokana na majibizano ambayo hayana maana.

Mkuu yonga... wewe uchana nae huyo Nyani Ngabu ... tuendelee kujadili mambo ya msingi yanayohusiana na hii mada yetu kwenye thread!
 
Mkuu ... yonga.

Mkuu nakushauri tu achana kujibizana na huyo Nyani Ngabu ... huyo unaweza mkaendelea kubishana hata siku mbili ... baadae atakukasirisha mwishoni utaishia na Ban ...

Yeye ni critic mzuri na mara chache sana kwake kuchangia constructive post zaidi ya ku-criticize tu ... tunaweza kuharibu thread as watu wenye mawazo mazuri wakaikimbia na kutochangia kutokana na majibizano ambayo hayana maana.

Mkuu yonga... wewe uchana nae huyo Nyani Ngabu ... tuendelee kujadili mambo ya msingi yanayohusiana na hii mada yetu kwenye thread!

Hivi kwa nini una tabia ya kubandika mabandiko ya wengine na kuyaacha tu yaonekane kama ni yako wakati si yako?

Kinachokufanya usiwe vyanzo ni nini?

Acha wizi wa kazi za watu bana.
 
....Na ukweli ni kuwa Hitler alikuwa na jeshi imara na lenye vifaa bora na alikuwa amejiandaa muda mrefu kwa ajili ya vita kuliko Russia! ... ila fighing spirit ya Russia ndio iliyowasaidia kumshinda Hitler...


Dotworld .....their fighting spirit was one thing but also, it will be worth mentioning the notorious Russian winter which played a huge role defeating Hitler and the Nazi, I don't think they'd won if the war occurred in summer, this's the historical quote...

"By mid-October, forward German units had advanced to within 40 miles of Moscow. Only 90,000 Russian soldiers stood between the German armies and the Soviet capital.The entire government, including Stalin himself prepared to evacuate...But then the weather turned.

It began with weeks of unending autumn rain, creating battlefields of deep, sticky mud that immobilized anything on wheels and robbed German armored units of their tactical advantage. The non-stop rain drenched foot soldiers, soaking them to the bone in mud up to their knees. And things only got worse. In November, autumn rains abruptly gave way to snow squalls with frigid winds and sub-zero temperatures, causing frostbite and other cold-related sickness.

The German Army had counted on a quick summertime victory in Russia and had therefore neglected to prepare for the brutal winter warfare it now faced. German medical officer Heinrich Haape recalled: "The cold relentlessly crept into our bodies, our blood, our brains. Even the sun seemed to radiate a steely cold and at night the blood red skies above the burning villages merely hinted a mockery of warmth."
Heavy boots, overcoats, blankets and thick socks were desperately needed but were unavailable. As a result, thousands of frostbitten soldiers dropped out of their frontline units. Some divisions fell to fifty-percent of their fighting strength. Food supplies also ran low and the troops became malnourished. Mechanical failures worsened as tank and truck engines cracked from the cold while iced-up artillery and machine-guns jammed.
The once-mighty German military machine had now ground to a halt in Russia.
Frontline Russians noticed the change. A Soviet commander in the 19th Rifle Brigade recalled: "I remember very well the Germans in July 1941. They were confident, strong tall guys. They marched ahead with their sleeves rolled up and carrying their machine-guns. But later on they became miserable, crooked, snotty guys wrapped in woolen kerchiefs stolen from old women in villages...Of course, they were still firing and defending themselves, but they weren't the Germans we knew earlier in 1941." ~~~ [The defeat of Hitler, Attack on Russia]

Cc MALCOM LUMUMBA
 
Last edited by a moderator:
MKUU DOTWORLD
.Siku walipokua wakiishusha sasa hapa Putin akiwa Rais waliweka BIMA ya mamilioni ya fedha ili ikidondoka na kusababisha maafa na uhalibifu kwa nchi na watu wa nchi itakapodondokea mfano kama Australia ile bima iweze ku cover lakini kwa teknolojia na sayansi ya hali ya juu sana waliweza kuishusha bila hata kuvunjika na hivyo hakuna hata seti moja ya bima iliyolipwa.Nikweli ilipandishwa na USSR lakini ilishushwa na Russia.Mkuu DOTWORLD napenda kukushauri kwa sasa usijibizane tena na wapinzani wako kwa sasababu hawatoi usahidi wowote wamebakia na bla bla bla tu.
Acha kamba zako na wewe, so Mir ilishushwa nzima nzima bila kuvunjika? Mbona na wewe hutoi ushahidi? http://en.m.wikipedia.org/wiki/Mir
 
USA kachemsha Somalia ,na ameapa harudi tena kwa Conventional Warfare,etc.amewapa wakenya pesa,sasa wanakiona cha moto.
Tofauti ya USA na Russia ni sawa na Tigo na TTCL.
Tigo (USA)wanajua marketing ,kupiga domo, ila call quality is zoo poor,they drop calls etc.
TTCL(RUSSIA) marketing is poor,hawapigi domo,call Quality Superb,technology superb.
 
USA kachemsha Somalia ,na ameapa harudi tena kwa Conventional Warfare,etc.amewapa wakenya pesa,sasa wanakiona cha moto.
Tofauti ya USA na Russia ni sawa na Tigo na TTCL.
Tigo (USA)wanajua marketing ,kupiga domo, ila call quality is zoo poor,they drop calls etc.
TTCL(RUSSIA) marketing is poor,hawapigi domo,call Quality Superb,technology superb.

Kwa taarifa yako. We unasoma Gossip.

The truth is... .In Somalia land. US mission were accomplished.
Hakukua na sababu ya kuendelea kubaki wakati kazi ya makomando walikwisha ikamilisha.

Read between the lines.
 
Mkuu dotworld ngoja niachane nae, utoto kwake umezidi
 
2013,USA alisema hatorudi somalia baada ya helicopter zake kuangushwa na pia makomandoo wake kuburuzwa barabarani kwenye mji mkuu wa somalia, waliburuzwa wakiwa wamefungwa nyuma ya gari
 
Mkuu 2013,mission accomplished???! una maanisha mission ya restore hope ya 1992-1994,kama ilifanikiwa who control the horn of Africa?
 
Back
Top Bottom