USA are not able to overcome S-300 air defense system

The downfall was long in the making but this speech right here was the watershed moment, in my opinion.

It was June 12, 1987 at the Brandenburg Gate.

Then on Nov. 9 and 10, 1989 the Berlin Wall came tumbling down and East Germans were finally free to enjoy the luxuries of western lifestyle.

Then the man credited with the dismantling of the USSR had this to say.

And that fall of the Berlin Wall was a prelude to even bigger things to come down the pike as on the 25th day of December 1991 came the official downfall of the Soviet Union and Mikhail Gorbachev had this to say.

And with that, poor little 'ol Vladimir Putin was left butthurt for the rest of his life. The West, led by The Unites States of America:usa2::usa2::usa2: had won the Cold War.

USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
 
Last edited by a moderator:
mkuu DotWorld hebu tupe darasa kuhusu hawa jamaa wa spetsnazi
ikiwezekana tupe utofauti wao na SEAL's ili kuuchangamsha mjadala zaidi.
 
Hao Spesho Nazi hamna kitu kabisa.

Operesheni gani kali washaifanya?
 
Hao Spesho Nazi hamna kitu kabisa.

Operesheni gani kali washaifanya?

mkuu Nyani Ngabu , ndio tunataka kuelewa hilo kutoka kwa Mkuu DotWorld (Ze Expert) wewe si kama kawaida yako Mzee wa kuponda bila evidence! (kumbe unakubali kiaina&#128540😉

hata kwenye video ya 'Crimea back home' si ni hawa jamaa ndio waliotumwa na Putin kwenda kumuokoa yule Rais wa Ukraine aliekuwa anawindwa auwawe na U.S

ile ishu ya mateka na Chechnya rebels si ni hawa jamaa walikuwa front japo iliishia kwa style ile ya poison gas ikaondoka na baadhi ya mateka
 
Hao Spesho Nazi hamna kitu kabisa.

Operesheni gani kali washaifanya?
mkuu Nyani Ngabu , ndio tunataka kuelewa hilo kutoka kwa Mkuu DotWorld (Ze Expert) wewe si kama kawaida yako Mzee wa kuponda bila evidence! (kumbe unakubali kiaina&#63004😉

hata kwenye video ya 'Crimea back home' si ni hawa jamaa ndio waliotumwa na Putin kwenda kumuokoa yule Rais wa Ukraine aliekuwa anawindwa auwawe na U.S

ile ishu ya mateka na Chechnya rebels si ni hawa jamaa walikuwa front japo iliishia kwa style ile ya poison gas ikaondoka na baadhi ya mateka
Hivi Mkuu Nyani Ngabu ... unajua maana ya NAZI lakini?!

Kama hujui ni bora ungenyamaza tu! ... yaani nchi iliyopoteza watu zaidi ya millioni 20 kwa kupigana dhidi ya Manazi na kuiondoa dunia dhidi ya kitisho cha NAZI alafu wewe unawaita spesho NAZI!

Hii ni disrespect kubwa sasa for those 20 Million souls!

Alafu hao Spetsnazi (wakati wa vita dhidi ya Nazism) ndio wa kwanza kuingia Ujerumani na kutengeneza mazingira ya ushindi dhidi ya Hitlwer kabla ya jeshi lote la Red Army halijafika!

Wewe Marais wenyewe wa Marekani hiyo unayoisifia walishukuru mchango wa Spetznazi katika kuikomboa dunia dhidi ya NAZI wa Ujerumani!

Unamfahamu huhu hapa chini?!

pavlichenko1.jpg
​

Yeye ni Spetznazi Mwanamke anaitwa Lyudmila Mikhailovna Pavlichenko

Yeye alikuwa ni Sniper - ambapo yeye peke yake aliwaua NAZI zaidi ya 340 (confirmed!) - na wakati huo alikuwa na umri wa miaka 24 tu!

3551798460_91d343de1d_b.jpg
​

Mpaka leo hakuna Sniper mwingine yeyote duniani ambae amefikia record yake kwa umahiri na Snipers! - The most successfully Sniper in History!

Mchango wake ulikuwa ni mkubwa sana kiasi kwamba nchi za Canada na US zilimwalika.

pavil2-500x413.jpg

Justice Robert Jackson, Lyudmila Pavlichenko and Eleanor Roosevelt in 1942. Photo: Library of Congress.
​

Rais wa United States wakati huoFranklin Roosevelt welcomed her to the White House, and became the first Soviet citizen to be received by a US President.

She was later invited by Eleanor Roosevelt to tour America relating her experiences.

In one of the battles, Pavlichenko replaced the batallion commander killed during the fight and was later wounded but refused to leave the battlefield.

​

Lieutenant Pavlichenko participated in battles in Moldavia and Odessa.

When the Germans gained control of Odessa, her unit was pulled to be sent to Sevastopol on the Crimean Peninsula, where she fought for more than 8 months.

Her total confirmed kills during World War II was 309,including 36 enemy snipers. Besides, she became an instructor and trained Soviet snipers until the war's end.

article-2594762-1CBE8F0700000578-325_634x418.jpg

Pavlichenko would "go hunting" either alone or with Leonid Kutsenko - who joined the division together with her - everyday at dawn lying still for hours or days waiting for an enemy. She often emerged the victor fighting a duel with German snipers.

02

Soviet snipers Lyudmila Pavlichenko and Vladimir Pchelintsev meet First Lady Eleanor Roosevelt in the U.S. 1942, They were invited to England,America,and Canada to tell about their feats which were highly publicized​

Once the two snipers were spotted by German officers who opened mortar fire. Leonid was badly wounded and Pavlichenko managed to evacuate him from the battlefield but he still didn't survive.

8fc0c936bb.jpg

Since then, she would fight even more courageously taking vengeance on the enemy for her late friend.

In June 1942, Pavlichenko was wounded by mortar fire. Because of her growing status, she was pulled from combat less than a month after recovering from her wound.

Pavlichenko was sent to Canada and the United States for a publicity visit and became the first Soviet citizen to be received by a U.S. President when Franklin Roosevelt welcomed her at the White House.

Later, Pavlichenko was invited by Eleanor Roosevelt to tour America relating her experiences.

Pavlichenko appeared before the International Student Assembly being held in Washington, D.C., and later attended CIO meetings and made appearances and speeches in New York City.

​

49c71383b3.jpg

​

During a meeting in Chicago, making her speech Pavlichenko said, "Gentlemen, I am 25 years old and I have killed 309 fascist occupants by now. Don't you think, gentlemen, that you have been hiding behind my back for too long?!" After a short pause, the crowd met her statement with great approval.

Mkuu sasa huyo ni Spetznaz wa Kike ambae ali-fight against Fascism & Nazism ambapo watu wa nchi yake zaidi ya 20 Million walikufa! ...

Alafu hao Navy Seals .. unaowasifia hakuna hata mmoja ambae amefanikiwa kama Sniper kufikia Record ya huyu Mwanamke Spetsnaz kuwaua maadai zake 309 including fellow snipers kama yeye!.

Sasa wewe leo hii unawaita Spetznatz NAZI?!! ... show some respect kwa 20 Million dead souls! (victims wa NAZISM - Russia alone ni 20,000,000)! ... la! kama hujui basi Rudi darasani tena ukajifunze Historia!!

-Read More:

. Lyudmila Pavlichenko - Wikipedia, the free encyclopedia
. Badass of the Week: Lyudmila Pavlichenko
. Best Soviet Female Snipers Of WWII | English Russia

--
cc:

.Bukyanagandi.Elungata mng'ato Extraterrestrial Gagnija JustDoItNow Bongolander TanzaniaLaw 2013 sodoliki mnyikungu MALCOM LUMUMBA Maziku Masunga Jr. Consigliere Chasha Poultry Farm Red Giant Kimweri Aleyn kui Ngongo mnyikungu Viva89 GAUTAMA PTER Mag3 RealMan FaizaFoxy SirChief Maswala 1954 Nyani Ngabu PHILE1879 kui 2013 The mountain lion Phillemon Mikael Mr ceragem Ndahani Kimweri Red Giant yonga Bill Cosby Aleyn Bulldog MBULAMATALI Mr. President ze kokuyo Chasha Poultry Farm Ngaramtoni Pianist gwijimimi Dragoon Noel 2014 Mdau retroviridae kadoda11 idawa TUJITEGEMEE . lee van cliff .1954 .Tyta .Mr ceragem .
.
 
Last edited by a moderator:
mkuu Nyani Ngabu , ndio tunataka kuelewa hilo kutoka kwa Mkuu DotWorld (Ze Expert) wewe si kama kawaida yako Mzee wa kuponda bila evidence! (kumbe unakubali kiaina&#63004😉

Sina haja ya kujaza server wakati wakati mnaweza ku google wenyewe na kusoma karibu chochote mtakacho.

Hivi mnadhani huyo Dotworld hayo madudu anayoweka humu anayo kwenye makabrasha yake yeye peke yake?

Mnaonyesha jinsi mlivyo wajinga (ujinga si tusi, hivyo usidhani kwamba nimekutukana).

Na hakuna ninachokubali kiaina. Kama kuna ninachokubali huwa nasema wazi kabisa na nasema bila kusita.
 
..nakuelewa sana mkuu Nyani Ngabu..
Unanikumbusha miaka hiyo pale UDSM kulikuwa na jamaa mmoja ilikuwa hata uwe na uwezo wa kukata nyanga kiasi gani ... yy ilikuwa hawezi kukubali hata uweje!!!
pepa zikija yy average wenzake haooo misonge ya kufa mtu

at the end yy kakomba PAS yake watu haoooo na UPPER...zao!!!

(ni mfano tu lakini Mkuu .. haumaanishi chochote)
 
Teh teh teh....sasa unatoa mfano ambao haumaanishi chochote kwa minajili gani?

Umenifanya nicheke hadi mbwa wangu kanishangaa.
 
Hivi Mkuu Nyani Ngabu ... unajua maana ya NAZI lakini?!

Kama hujui ni bora ungenyamaza tu! ... yaani nchi iliyopoteza watu zaidi ya millioni 20 kwa kupigana dhidi ya Manazi na kuiondoa dunia dhidi ya kitisho cha NAZI alafu wewe unawaita spesho NAZI!

Hii ni disrespect kubwa sasa for those 20 Million souls!

Alafu hao Spetsnazi (wakati wa vita dhidi ya Nazism) ndio wa kwanza kuingia Ujerumani na kutengeneza mazingira ya ushindi dhidi ya Hitlwer kabla ya jeshi lote la Red Army halijafika!

Wewe Marais wenyewe wa Marekani hiyo unayoisifia walishukuru mchango wa Spetznazi katika kuikomboa dunia dhidi ya NAZI wa Ujerumani!

Unamfahamu huhu hapa chini?!

pavlichenko1.jpg
​

Yeye ni Spetznazi Mwanamke anaitwa Lyudmila Mikhailovna Pavlichenko

Yeye alikuwa ni Sniper - ambapo yeye peke yake aliwaua NAZI zaidi ya 340 (confirmed!) - na wakati huo alikuwa na umri wa miaka 24 tu!

3551798460_91d343de1d_b.jpg
​

Mpaka leo hakuna Sniper mwingine yeyote duniani ambae amefikia record yake kwa umahiri na Snipers! - The most successfully Sniper in History!

Mchango wake ulikuwa ni mkubwa sana kiasi kwamba nchi za Canada na US zilimwalika.

pavil2-500x413.jpg

Justice Robert Jackson, Lyudmila Pavlichenko and Eleanor Roosevelt in 1942. Photo: Library of Congress.
​

Rais wa United States wakati huoFranklin Roosevelt welcomed her to the White House, and became the first Soviet citizen to be received by a US President.

She was later invited by Eleanor Roosevelt to tour America relating her experiences.

In one of the battles, Pavlichenko replaced the batallion commander killed during the fight and was later wounded but refused to leave the battlefield.

​

Lieutenant Pavlichenko participated in battles in Moldavia and Odessa.

When the Germans gained control of Odessa, her unit was pulled to be sent to Sevastopol on the Crimean Peninsula, where she fought for more than 8 months.

Her total confirmed kills during World War II was 309,including 36 enemy snipers. Besides, she became an instructor and trained Soviet snipers until the war's end.

article-2594762-1CBE8F0700000578-325_634x418.jpg

Pavlichenko would "go hunting" either alone or with Leonid Kutsenko - who joined the division together with her - everyday at dawn lying still for hours or days waiting for an enemy. She often emerged the victor fighting a duel with German snipers.

02

Soviet snipers Lyudmila Pavlichenko and Vladimir Pchelintsev meet First Lady Eleanor Roosevelt in the U.S. 1942, They were invited to England,America,and Canada to tell about their feats which were highly publicized​

Once the two snipers were spotted by German officers who opened mortar fire. Leonid was badly wounded and Pavlichenko managed to evacuate him from the battlefield but he still didn't survive.

8fc0c936bb.jpg

Since then, she would fight even more courageously taking vengeance on the enemy for her late friend.

In June 1942, Pavlichenko was wounded by mortar fire. Because of her growing status, she was pulled from combat less than a month after recovering from her wound.

Pavlichenko was sent to Canada and the United States for a publicity visit and became the first Soviet citizen to be received by a U.S. President when Franklin Roosevelt welcomed her at the White House.

Later, Pavlichenko was invited by Eleanor Roosevelt to tour America relating her experiences.

Pavlichenko appeared before the International Student Assembly being held in Washington, D.C., and later attended CIO meetings and made appearances and speeches in New York City.

​

49c71383b3.jpg

​

During a meeting in Chicago, making her speech Pavlichenko said, "Gentlemen, I am 25 years old and I have killed 309 fascist occupants by now. Don't you think, gentlemen, that you have been hiding behind my back for too long?!" After a short pause, the crowd met her statement with great approval.

Mkuu sasa huyo ni Spetznaz wa Kike ambae ali-fight against Fascism & Nazism ambapo watu wa nchi yake zaidi ya 20 Million walikufa! ...

Alafu hao Navy Seals .. unaowasifia hakuna hata mmoja ambae amefanikiwa kama Sniper kufikia Record ya huyu Mwanamke Spetsnaz kuwaua maadai zake 309 including fellow snipers kama yeye!.

Sasa wewe leo hii unawaita Spetznatz NAZI?!! ... show some respect kwa 20 Million dead souls! (victims wa NAZISM - Russia alone ni 20,000,000)! ... la! kama hujui basi Rudi darasani tena ukajifunze Historia!!

-Read More:

. Lyudmila Pavlichenko - Wikipedia, the free encyclopedia
. Badass of the Week: Lyudmila Pavlichenko
. Best Soviet Female Snipers Of WWII | English Russia

--
cc:

.Bukyanagandi.Elungata mng'ato Extraterrestrial Gagnija JustDoItNow Bongolander TanzaniaLaw 2013 sodoliki mnyikungu MALCOM LUMUMBA Maziku Masunga Jr. Consigliere Chasha Poultry Farm Red Giant Kimweri Aleyn kui Ngongo mnyikungu Viva89 GAUTAMA PTER Mag3 RealMan FaizaFoxy SirChief Maswala 1954 Nyani Ngabu PHILE1879 kui 2013 The mountain lion Phillemon Mikael Mr ceragem Ndahani Kimweri Red Giant yonga Bill Cosby Aleyn Bulldog MBULAMATALI Mr. President ze kokuyo Chasha Poultry Farm Ngaramtoni Pianist gwijimimi Dragoon Noel 2014 Mdau retroviridae kadoda11 idawa TUJITEGEMEE . lee van cliff .1954 .Tyta .Mr ceragem .
.

Huyu mwanamke ni hatari kwakweli. Hao spetsnazi hadi leo wapo? Mission zao ni nini? Naomba mission wanazofanya currently na wakafanikiwa.
 
Last edited by a moderator:
Huyu mwanamke ni hatari kwakweli. Hao spetsnazi hadi leo wapo? Mission zao ni nini? Naomba mission wanazofanya currently na wakafanikiwa.
Mkuu Bulldog ... nimeona post zako kadhaa ulizokuwa unataka kujua zaidi kuhusu hawa Spetsnatz.

Hawa wapo mpaka leo na ni best Special Forces in the world

Ntajitahidi kukueleza ingawa kuna aina ya Spetsnatz ambao hawajulikani mpaka leo as bado ni siri (hawajawa de-classified).

Kwanin russia waliwasaidia wamarekani kuend WW2? Wakati walikuwa maadui?
 
Ili kuifanya german superior race,Target kubwa ya hitler ilikuwa kuitawala Russia.

Kama ambavyo Britain ilikuwa ikitawala India.
Lakini Britain walikataa kushirikiana naye.

Tena Dotworld anapuuza tu. Ukisoma story ilivyo German ilikuwa very muscle kuliko hata hiyo Russia . Russia walianza kunufaika kwasababu ujermani walipigana vita kila direction.na
Baridi Kali ya urusi iliyopunguza kasi majeshi yao ikawafanya warusia waka -recover Na kurudi. Na nguvu dhidi ya wajerumani.
 
Mkuu Bulldog ungeuliza kinyume chake! - Kwanini Wamarekani waliwasaidia Russia?! ... Kwa sababu ni kweli US waliwasaidia Russia kwa Vifaa na chakula wakati wa vita yake na Hitler.

Na ingawa Marekani hakupigana na Hitler mwanzoni ila msaada aliowapa Russia kwa kiasi fulani ulisaidia kurahisisha ushindi dhidi ya Hitler.

Mkuu 2013 .. mimi sina akili mgando .. kwenye ukweli naukubali ...

Na ukweli ni kuwa Hitler alikuwa na jeshi imara na lenye vifaa bora na alikuwa amejiandaa muda mrefu kwa ajili ya vita kuliko Russia! ... ila fighing spirit ya Russia ndio iliyowasaidia kumshinda Hitler

Najua kuna Mkuu mmoja humu ndani atafurahi sana akisikia nakubali haya!

cc: Nyani Ngabu @Mag3
 
Ila wale ambao wanapendelea kusikia ukiisigina USA, na wanakutumia kama encyclopedia kutamba, hawata kuwa Amusing na hoja hii. Manake sio kilichowafanya wakakukubali
 
teh teh teh kuukubali ukweli ni kufanya nafsi yako kuwa huru. Mimi binafsi namkubali sana Dotworld katika uchambuzi wa masuala ya kijeshi na sera za kimataifa. Hata wewe pia inawezekana kabisa siku moja nitakuja kuukubali uwezo wako katika kitu fulani, ukiacha udini. Inabidi Moderator aanzishe nafasi ya JF International Correspondent Member maana hii ya JF Senior Expert Member imekuwa ya kawaida sana.

Kuna mabingwa wa udini jf. Hao nawaogopa kama ukoma.
 
Last edited by a moderator:
Ili kuifanya german superior race,Target kubwa ya hitler ilikuwa kuitawala Russia.

Kama ambavyo Britain ilikuwa ikitawala India.
Lakini Britain walikataa kushirikiana naye.

Tena Dotworld anapuuza tu. Ukisoma story ilivyo German ilikuwa very muscle kuliko hata hiyo Russia . Russia walianza kunufaika kwasababu ujermani walipigana vita kila direction.na
Baridi Kali ya urusi iliyopunguza kasi majeshi yao ikawafanya warusia waka -recover Na kurudi. Na nguvu dhidi ya wajerumani.

Labda niongezee: Watu wengi udhani Warusi walishtukizwa na Wajerumani kwenye operation BABAROSA ya kuivamia URUSI, ukweli wa mambo Warusi walijua fika mwezi watakao vamiwa na majeshi ya Ujerumani, Warusi walipata taarifa hizo kutoka kwa jasusi wake mahili (Richard Sorge) aliyekuwa anafanya kazi Japan na jasusi mwenzake Mjapan(nimesahau jina lake) hao ndio walikuwa wahusika wakuu wa kuwapatia Warusi taarifa zote za mipango ya Hitler dhidi ya Urusi - kumbuka Ujerumani, Italy na Japan walikuwa ni AXIS wa WW2 hivyo Japan ilikuwa inapewa taarifa na Ujerumani kuhusu mwenendo/siri wa vita - mjapan ambaye alikuwa mwandishi wa habari akipata taarifa yoyote anampelekea Richard Sorge ili azitume Moscow kwanjia ya a coded radio message to Moscow.

Kitu kingine Warusi walijua mapema (miaka miwili/mitatu) mipango ya Hitler ya kuvamia nchi yao lakini wakajitia kuwekeana mikakubaliano ya kutovamiana walifanya hivyo ku-buy time , Warusi walitumia muda huo kuhamisha viwanda vyao vya muhumi kwenda Ural Mountains - mbali kabisa na war theater, mbinu hizo ziliwasaidia sana kuendelea kuzalisha silaha, ndege, explosives na vifaru wakati vita inaendelea. Ni kweli baadhi ya silaha za Ujerumani zilikuwa formidable kwa muda tu lakini Warusi walibuni mbinu za kuzikabili, vile vile Warusi walikuwa na mori wa kupigana kukomboa Taifa lao na walikuwa very innovative si hilo tu hata Makamanda wao mahili mfano: Field Marshals Georgy Zhukov, Konstantin Rokossovsky, Ivan Konev etc. wote hao walitoa mchango mkubwa katika kupanga mbinu za kuwapa fundisho Wajerumani.

Kuhusu Winter kuwasaidia Warusi, binafsi huwa sikubaliana na dhana hii 100% majeshi ya wavamizi wakishindwa kui-defeat URUSI basi usingizia General Winter na dhana hiyo haijahanza leo mfano: Alexander the Great, Napoleon Bonaparte, Hitler -who knows may be na Wamerika(a joke) siku moja watatoa kisingizio kama hicho cha kulahumu kwamba General winter kuwazidi ketendio maana wameshindwa vita na Warusi.
 
Warusi walionyesha parade yao kwenye kuta za WhiteHOUSE?
 
mkuu DotWorld hebu tupe darasa kuhusu hawa jamaa wa spetsnazi
ikiwezekana tupe utofauti wao na SEAL's ili kuuchangamsha mjadala zaidi.

Mkuu Navy Seals ni vijana wa leo, na Spetsnazi ni ni vijana wa miaka ya 47. Lakini unatakiwa kujua at that time the guys were a top brass. Jaribu kufuatilia battles walizopigana...jamaa ndio walioteka Holland kwa siku moja, na ndio waliowashikisha adabu wafaransa.

Tatizo ni kuwa baadhi ya waty hapa JF wanaangalia dunia kwa kutumia CNN na sio vitabu.

The Americans knew that German machine was not gonna be easily beaten, hasa ukizingatia kuwa jamaa wengine waliodefect na kukimbilia Marekani ndio waliowaambia kwa Europe combined can not even come close to match half of German military might, even Americans could not dare to fight in Europe and win easily. Wenye akili waliwaambia better let Soviets go.

Pamoja na kuwa USSR ndio ilishinda vita ya pili, watu huwa hawataki kutaja ukweli mchungu. The cost was very very high for soviets. Warusi milioni 25 waliuawa, kati ya hao karibu wanajeshi zaidi ya milioni 10, and almost all got killed by Spetsnazi. Hii inaweza kukwambia kitu. Kwa hiyo Germany machine was not a small machines....ukiangalia military "inventions" nyingi za Marekani wakati ule (including Atomic bomb), zilipelekwa US na wanasayansi wa ujerumani waliokimbia vita.
 
Back
Top Bottom