USA are not able to overcome S-300 air defense system

USA are not able to overcome S-300 air defense system

USA kachemsha Somalia ,na ameapa harudi tena kwa Conventional Warfare,etc.amewapa wakenya pesa,sasa wanakiona cha moto.
Tofauti ya USA na Russia ni sawa na Tigo na TTCL.
Tigo (USA)wanajua marketing ,kupiga domo, ila call quality is zoo poor,they drop calls etc.
.

Kwa maneno mengine unahitimisha kuwa Somalia ina uwezo zaidi ya US, sio?
 
Mkuu Bulldog ... nimeona post zako kadhaa ulizokuwa unataka kujua zaidi kuhusu hawa Spetsnatz.

Hawa wapo mpaka leo na ni best Special Forces in the world

Ntajitahidi kukueleza ingawa kuna aina ya Spetsnatz ambao hawajulikani mpaka leo as bado ni siri (hawajawa de-classified).
Inawezekana, kwa criteria zipi?
 
Jamani RUSSIA are not noise makers but they are far smart in actions, niliangalia kinachotokea donteski kwa wanajeshi wa yukrain ni sheedah..achana na wale jamaa
 
Mkuu this combination is very deadly, tatizo ni kuwa hadi sasa watu hawataki kukubali kuwa Russia is best in air defense. Having said that i agree with those who say that it can be beatable, in deed it can be penetrated unconventionally. Kama mnaweza kukumbuka jinsi waisrael walivyoweza kuiba radar za Misri. Lakini ukiangalia S 300 inatafuta target iliyo mbali, na Tor M1 inatafuta targets za karibu. Ndio maana wenye akili wanasema at best a surgical strike can delay Iran's nuclear ambition (only to speed it up)

Nakubaliana nawe Bongolander, kama nilivyo wahi kueleza siku za nyuma kitendo cha makomando wa Israel kufanikiwa kuwanyanganya kirahisi Waarabu SAM-6 Air Defence System tukio hilo liliwahudhi sana sana Warusi – walihapa kutofanya makosa hayo tena siku za usoni, ndio maana siku hizi wanahakikisha export version ya silaha zao kali wanazi watered down kidogo ili specs zake zisifanane 100% na zile zinazo tumiwa na Jeshi la Urusi, hata ndege zao MiGs, Sukhoi, Yak nk export version za ndege hizo ni tofauti kabisa na zinazotumiwa na majeshi yao, siku hizi Warusi kidogo wana amini Wahindi wamewapatia kibali Hindustan Aeronautics Ltd kuhunda Sukhoi-MK30 na MiG-29 under license (Airframe na Engines), walishirikiana vile vile kwenye uhundaji wa a deadly and fastest Anti Ship Missile aina ya BrahMos - as I said BrahMo missile uses high speed, stealthy design, and sea-skimming capability to evade enemy air defenses system.

Baada ya Wamerikani kutishika na uwezo mkubwa wa S-300 hivi sasa wapo mbioni kudesign mfumo unaoweza kushambulia na kuharibu an Intergrated Air Defence System ya Kirusi aina ya S-300 - Wamerika bwana!! Yaani unaweza kufikiri hawajui maana ya Intergrated Air Defence System - wamefanya presentation ya DARPA project wakidai "This is How USA Could Destroy Russian S-300 in The Future"(afadhali wameongezea neno (could) maanake wanajua hiyo bado ni ndoto) Ukichunguza kwa umakini Project nzima ya DARPA inaonekana hiko highly flawed, wanafikiri eti wakitumia Swarm za Drones basi wanaweza ku-disable S-300!!! Yaani hawana habari kwamba S-300 inalindwa na Pantsir wakati mwingine na Tungusta zote hizo zina range tofauti – sio kwamba S-300 inavurumisha missiles tu bila ya kutafakari hali alisi kwanza system ikiona vipi inapasisha information kwa the nearest Pantsir au Tungusta zi-deal na targets husika kwanza.

Swarms za Vi DRONES ambavyo Wamerika wana imani kwamba vinaweza ku wreak havock to I.A.D.S ya S-300, binafsi naziona hizo ni kama ndoto za mchana – kwa nini nasema hivyo? Makombora ya Urusi niliyo taja hapo juu yana uwezo mkubwa wa ku-vacuum cleaned(sweep) viji Drones vya Kimerikani from the Sky by using a formidable and highly mobile Russian Pantsir or Tungusta au wanaweza kuvi-jam vikakosa mwelekeo na vikatunguliwa kirahisi.

Mtu ungetegemea kisanga cha Russian Sukhoi SU-24 with the newest jamming complex (Khibiny) kuweza ku-paralyse the most modern American combat management system "AEGIS" iliyofungwa ndani ya destroyer USS Donald Cook - kisa hicho kingefanya Wamerikani warudi tena kwenye Drawing Board ku-redesign kitu chenye uhakika na sio kuleta vitu ambavyo viko half cooked!! Mifano tunayo ya kuthibitisha maoni yangu - Chukulia OS za William Gates, kila siku kuna patches na updates - huwa najiuliza: hivi awa watu kama walijua System Software zao hazijakamilika vizuri kwa nini walizikimbiza sokoni, je kama lingekuwa ni gari kwa mfano - mteja anaweza kununua gari ambalo kesho yake unambiwa badirisha viti, siku nyingine badirisha seat belts, hujakaa vizuri badirisha steering wheel mara badirisha rangi ya gari, nani anaweza kununua gari lenye usumbufu wa updates na patches kibao - kibaya zaidi gari ambalo ukitaka kushika brake ya ghafla ili usigonge linakuhuliza "are you sure you want kushika breki ili usife!!" Hapa naleta utani tu, lakini ukweli wa mambo hayo ndio tunakumbana nayo kwenye Computers zenye OS za Bill Gates i.e updates, patches na hakuna mteja anaye lalamika kwamba ameuziwa half cooked stuff – Bill Gates ana bahati sana wateja kutomshtaki kuhusu bidhaa zake ambazo uletwa sokoni kabla hazijakamilika vizuri!! His Operating Systems goes "Are you sure you want to switch off .."





Tazama video tatu hapo chini, inaonyesha Warusi walivyo jitayarisha kukabiriana na threat yoyote kutoka NATO specifically the USA - wao wanazungumzia mbinu za kushambulia S-300 wakati Warusi wamesha kwenda mbele zaidi kufikia S-500, alafu kwa kawaida S-3,4 na 500 zinakaa sambamba na PANTSIR na TUNGUSTA, wana vile vile decoy RADARS za kudanganya maadui zinatuma mawimbi angani bila ya kupokea echo, hivyo makombora ya adui hayawezi ku-distinquish baina ya real na decoy!! Mkuu unaweza kuchangia kuhusu wababe hawa wawili.


<a href="https://www.youtube.com/watch?v=DlTwsw1N7cA"><span style="mso-spacerun:yes">

Video Clip: US DARBA PROJECT"This is How USA Could Destroy Russian S-300 in The Future"

<a href="https://www.youtube.com/watch?v=TjsUCQ_nH80" target="_blank">
Video: Russian PANTSIR

<a href="https://www.youtube.com/watch?v=keK8lsoE1y8" target="_blank">
Video: Russian TUNGUSTA

CC: DotWorld Nyani Ngabu MALCOM LUMUMBA Red Giant
 
Last edited by a moderator:
Watu wengi wanadhani USA amelala. Yeye anatengenexa vingine kwa siri hata hakuna anaejua. Ukute wanawaacha Russia watambe kuwa wana hiki ili wajue uwezo wao wao watengeneze kitu kingine kupitia black budget zao ila hawasemi ni kipi. Siku ikitokea vita ndo mtaamini kuwa USA ana nguvu kuliko Russia.
USA haijaanza leo imeanza zamani na inajua michezo yote na inajua threat kwake ni zipi na jinsi gani itazekabili nyie ongeeni tuuu ila ombeni hiyo siku isitokeee
 
Watu wengi wanadhani USA amelala. Yeye anatengenexa vingine kwa siri hata hakuna anaejua. Ukute wanawaacha Russia watambe kuwa wana hiki ili wajue uwezo wao wao watengeneze kitu kingine kupitia black budget zao ila hawasemi ni kipi. Siku ikitokea vita ndo mtaamini kuwa USA ana nguvu kuliko Russia.
USA haijaanza leo imeanza zamani na inajua michezo yote na inajua threat kwake ni zipi na jinsi gani itazekabili nyie ongeeni tuuu ila ombeni hiyo siku isitokeee

Nobody knows brother. Hata russians unafikiri wanatoa siri yao yote? hawa jamaa wanajuana tangu zamani. Kila mtu anajua weakness ya mwenzake. Hawawezi kuwa na vita ya moja kwa moja, lakini wanaweza kupigana kupitia nchi nyingine. Mfano sasa inasemekana russia anawasaidia ukraine pro russia na NATO na USA wanawasaidia ukraine....
 
syria wamechemsha, yemen mambo yana noga....! kama ni wanaume waijaribu IRAN...!!!

Kwani Iran ki2gani broh mbona Saudi Arabia inawatoa iran jasho... Juzi juzi tu, Saudis wamezuia ndege za Iran kutoa msaada Yemen ,, Iran wakabaki wanabwabwaja

Na nikapata nyingine kwamba Iran costal guards walitaka kuikamata meli moja ya mizigo within international waters,, captain akaomba msaada Saudi ,, Iran wakanywea baada ya Saudis kuingilia kati

Xa Ka wananywea kwa wasaudi's kwa marekani wataweza kweli?
 
Watu wengi wanadhani USA amelala. Yeye anatengenexa vingine kwa siri hata hakuna anaejua. Ukute wanawaacha Russia watambe kuwa wana hiki ili wajue uwezo wao wao watengeneze kitu kingine kupitia black budget zao ila hawasemi ni kipi. Siku ikitokea vita ndo mtaamini kuwa USA ana nguvu kuliko Russia.
USA haijaanza leo imeanza zamani na inajua michezo yote na inajua threat kwake ni zipi na jinsi gani itazekabili nyie ongeeni tuuu ila ombeni hiyo siku isitokeee

Mi nataka niulize ...
Ivi kipindi cha WW2 kuna nchi yeyote ilikua inatambua ka USA ana atomic bombs?...
 
Kwani Iran ki2gani broh mbona Saudi Arabia inawatoa iran jasho... Juzi juzi tu, Saudis wamezuia ndege za Iran kutoa msaada Yemen ,, Iran wakabaki wanabwabwaja

Na nikapata nyingine kwamba Iran costal guards walitaka kuikamata meli moja ya mizigo within international waters,, captain akaomba msaada Saudi ,, Iran wakanywea baada ya Saudis kuingilia kati

Xa Ka wananywea kwa wasaudi's kwa marekani wataweza kweli?

wajua napata ugumu kubishana na washabiki wa CNN na BBC
 
wajua napata ugumu kubishana na washabiki wa CNN na BBC

Am not a BBC or CNN supporter ... Io habari ya kwanza niliangalia press TV.. Ambayo most of tymz wanaponda Saudi Arabia, Israel ,na USA...

Io yapili nilichek kwenye app ya RT- english news...
 
Everyone Calm Down, No Threat of Nuclear War - US State Department Official.

1022111011.jpg

Photo:Rose Gottenmoeller.

There is no reason to fear the use of nuclear weapons amid the current reset of US-Russia relations caused by the crisis in Ukraine, assured Rose Gottenmoeller, the Under Secretary of State for Arms Control and International Security for the US State Department.

The White House does not believe the Ukrainian conflict will lead to a nuclear war, said Rose Gottenmoeller, the Under Secretary of State for Arms Control and International Security for the US State Department.

"We don't think the Ukrainian conflict is a nuclear crisis," Gottenmoeller told Russian daily Kommersant in an interview.She also added that Russia and the United States have a stable relationship when it comes to nuclear issues. Despite differences of opinion regarding the Ukrainian conflict, the two countries have no desire to use their nuclear arsenals to back up their arguments, Gottenmoeller said.

The pragmatic implementation of the Strategic Arms Reduction Treaty (START) continues. Over the last 50 years, the United States and Russia have taken numerous steps aimed at the reduction of nuclear weapons and building stable relationships in nuclear affairs, the high-ranking US official said.

Gottenmoeller's words come less than two weeks after Bryan Bender, a US journalist who specializes in security affairs, warned that Russia and the United States faced a serious risk of a nuclear exchange.

1015653260.jpg

US Media Fears Ukrainian Crisis May Lead to Nuclear War!!!!

Certain individuals, such as Ukraine's Prime Minister
Arseniy Yatsenyuk, keep spreading the fear of a nuclear crisis by building tension between the two super powers. Earlier on Wednesday while visiting France, Yatsenyuk said that Ukraine and Russia were on the verge of a nuclear war.

Speaking about how the Ukrainian crisis could trigger a nuclear confrontation between Russia and the United States, Gottenmoeller reiterated that it is not going to happen. There are now plenty of crises in the world that involve the use of conventional weapons, but a nuclear crisis is a completely different situation, Gottenmoeller assured, adding that the world is still very far from a nuclear crisis.

source:sputniknews.

cc:DotWorld Nyani Ngabu






 
Mi nataka niulize ...
Ivi kipindi cha WW2 kuna nchi yeyote ilikua inatambua ka USA ana atomic bombs?...

Japan walionywa wasimamishe vita wakapuuza, wakapigwa. Watu zaidi ya 70,000 wakafa, Wakaonywa tena na USA wasimamishe vita. Lasivyo watashambuliwa tena. .zamu hii wajapan wakiwa wanajua.kuwa USA inamiliki atomic bombs.

Hata hivyo Hawakukubali, kwasababu ya Ego ya viongozi. Waliona ni aibu kujisalimisha bora kufa. wakapigwa Mara ya pili kwenye watu 40,000 wakafa . Ndipo wakasimamisha vita.

Pia.wajapan waliwahi kutumia ndege zao kama makombora ya kuzamisha meli za wamarekani. Baadabya juhudi za kawaida za kijeshi kutoonesha matunda. Hata hiyo ndege Zikaangamia zote. Kiongozi wao naye akiwa amepanic na kuvunjika moyo akaenda akatunguliwa na yeye. Ndipo.kikosi cha kamkaze kikafa rasmi.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Mti wenye matunda ndo hupopolewa mawe.

USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
 
Umeelewa swali alilouliza retroviridae ???

Yeah.mkuu.. Kujua nchi ina atomic bomb in jambo moja. Kufahamu impact yake kwenye conventional war, ndio kitu cha kusema hakikujulikana kwa kina.

Na pengine kingejulikana mapema kisinge ishawishi Japan kuja kuipiga USA.
So utaona swali lake halijakaa kuhitaji jibu la dry Bali uchanganuzi yakinifu.
Japan ilipigwa Bomu la kwanza lakini haikusalimu amri mpaka Bomu la pili linapigwa ndio Wakaona hawana jinsi Bali kusalimu amri manake hasara ya mushroom bomb si kitoto.
Na ndipo utaona pia USSR na USA wamekua kwenye vita inayoitwa baridi kwasababu wote walishajua impact ya hili Bomu ikiwa watapigana vita ya silaha. Mikataba ya MAD(Mutually Assured Destruction) kati ya USSR na uSa ilisainiwa ili kuepusha vita hii Kali ambayo ingeiharibu sayari yetu vibaya sana.

Ukisikiliza wataalamu wa kijeshi wa USA wanasema wako na nia ya kuivamia Pyongyang kijeshi, japo wana jua fika inamiliki nuclear. Kwao hawaogopi nuclear ya NK. Japo NK wanatamba wanamiliki ICBM zinazoweza kupiga USA moja kwa moja.

Jambo moja USA hawajajua. Ni nguvu ya nuclear waliyonayo
north Korea. Otherwise wangesha ivamia siku nyingi.

Kwahiyo kuwa na nuclear sio tiketi bali nguvu ya nuclear inaweza kuwa tiketi ya kutoshambuliwa kijeshi na mataifa Makubwa.

Utaona pia dunia ya Leo tunapozungumzia kuhusu nuclear, utaona kabisa case study yetu imejikita kule Nagasaki.na Hiroshima. Kwani ndipo historia inakumbuka fika madhara ya vile vibomu vya mushroom. Kitu kimoja kinajulikana Leo hii ni kuwa mabomu Yale sio mabaya na Makubwa kuliko yaliopo Leo hii. Na hii inaongeza hofu ya kupigana. Kwani uwezekano mkubwa unaonyesha panaweza pasitokee mshindi wa vita hiyo. Wote mkateketea. Mfano Russia iliwahi kusema kuwa ikitokea inapigana na USA. Haitapoteza muda kutumia silaha za kawaida. Itaanza na nuclear moja kwa moja.
Miaka ya baadaye Putin akaja na maji bosti kuwa USA inaiheshimu Russia kuliko nchi nyingine yoyote duniani kwasababu ndio nchi pekee inayoweza kupigana nayo na kuifuta kwenye dunia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom