Siku
Unaposema Urusi ni failure nyingine duniani ina maana unaiweka pamoja na nchi kama Somalia, nchi ambayo imeshindwa kujiendesha yenyewe kutokana na vita vya ndani vilivyodumu kwa kipindi kirefu. Jambo ambalo si la kweli, Urusi ni nchi iliyokuwa ikiamini mifumo isiyowazi
"closed system" katika sera za mambo ya nje. Wao walikuwa wakiamini ni bora kuliko mataifa mengine kutokana na uwezo wa kisayansi na kimalighafi waliokuwa nao katika kipindi cha ukuaji wa viwanda
"industrial revolution". Sio siri, hii imewagharimu.!!!
Lakini Putin ameibadilisha Urusi kwa kiasi chake kwa kulegeza falsafa za Lenin miongoni mwa jamii za kirusi. Na kuweza kutambau uwepo na umuhimu wa mataifa mengine duniani, kitu ambacho kilikuwa ni nadra sana kwa jamii za kirusi kwa wakati huo. Tofauti na hapo awali, leo warusi wanachangamana na watu wa kutoka mataifa mengine hadi Afrika, Tanzania wanaenda kufanya kazi na kufundisha taasisi za elimu ya juu ili kuweza kubadilisha uelewa katika mambo ya kisayansi na kiuchumi.
- Kuhusu Ukraine, kama unafuatilia siasa za ukanda "geopolitics" kati ya Ukraine na Urusi, ni dhahili kabisa unafahamu chanzo cha migogoro ni masilahi kutokana na usafirishaji wa mafuta na umiliki wa ghuba ya bahari nyeusi. Tunafahamu ni nani aliye nyuma ya mzozo huu hadi kusababisha vita kutokea, ni Amerika na washirika wake.!!
- Kuhusu uhusiano wa Uchina na Urusi ni "win-win situation" hakuna atakaepoteza wala kufaidi zaidi ya mwingine. Ni pigo kwa serikali ya Amerika kiuchumi na kijeshi, kwani Uchina ni dola kuu ya kiuchumi upande wa mashariki na ya pili duniani baada Amerika "China has the highest GDP in the world, but the lowest GDP per capital compared to US on PPP valuation". Vile vile Urusi imeendelea sana katika uzalizashaji wa malighafi kwa ajili ya viwanda, teknolojia ya kijeshi na dhana za kivita na kuwa na uhakika katika sekta ya ulinzi na usalama.
Urusi bado itaendelea kuwa ni kikwazo kwa Amerika kuanzia kijeshi na kiuchumi. Kwa sababu, Amerika anatumia nchi washirika kujinufaisha, kuanzisha vita na kuuza silaha katika sehemu husika na kukushanya mapato kupitia uwekezaji katika nchi masikini kama riba kwa misaada anayoitoa kusaidia nchi za ulimwengu wa tatu. Tofauti na hapo, hana sehemu nyingine ya kushika kwani China ni nchi ya kwanza kwa uzalishaji wa bidhaa duniani na Urusi ni nchi inayotengeza dhana bora kabisa za kijeshi ukilinganisha na Amerika na nchi nyingine za ulaya.
USA ni venturesome just like China.
Wanapambana kusimamisha uchumi, japan nayo Imerudi kwenye race.
Japokuwa hali ya hewa ya China ni polluted like no other.
Russia ni kopi n pesti.
Hitler aliwahi kusema kujilinganisha na MTU aliyekuzidi ni Sawa na kujitukana wewe mwenyewe. Russia iliyokuwa bosi wa USSR iikilinganishwa na USA iliyobosi wa NATO mpaka hivi sasa .. At least that's is a fair comparison.
Kila MTU anajua kwenye cold war nani aliibuka mshindi.
Russia iliwekeza kwenye kuunda makombora mengi ya kijeshi na kuwekeza kwenye vita na kusahahu welfare za wananchi.
Hatimaye makombora hawajayatumia ipasavyo na wameishiwa pesa.
Tena wamshukuru Mikhail Gorbachev kwa kuliona hilo mapema.
Kwahiyo utaona russia wanajaribu kurudi ili kushindana kiuchumi. Nani ambaye hajui USA ilikuwa inawalipa posho wa Russia baada ya vita baridi?na haikuathiri uchumi wa USA.
China baada ya kuona madharau ya Russia under USSR ilijitenga nao rasmi. Ingawa Russia waliomba radhi lakini China ilikataa kurudi kwenye USSR. China ikasimama yenyewe. Na Leo inaheshimika. Kwakuwa imeweza kuibiti Japan kiuchumi na nchi za ulaya. Though wazungu Bado wanakula bata duniani. Hii haina shaka. Wana enjoy freedom, siasa safi, na utulivu. China is very much controlling kind of government. But at least wao kile walicho kipigania kimewabeba wakapiga hatua. Wakati Russia kila taifa ilikuwa linaikimbia kujitenga nao. Sita wasahau waislamu wa Chechnyia,
Na utaona kuwa USSR has died 2decades ago. NATO is still running the world wild.
Russia iliyopo Leo imemegwamegwa. Na sababu ya wenyewe kulazimisha uhusiano na Ukraine ni kwasababu Ukraine imehamishia majeshi yake ulaya magharibi. Hii ni kama aibu kwa Russia. Nani ambaye hajui kuwa jiografia ya Russia haikuwa hii.?! Tena juzi wamepora Crimea kibabe.
Russia inajua kabisa pesa ya ulaya magharibi INA nguvu. Ndio maana kuhusu gesi wanasita kutumia kama kikwazo, japo wamepata soko China. Qatar imeweka wazi utayari wake wa kuuza gesi yake ulaya magharibi ikiwa Russia itatumia gesi yake kama vikwazo dhidi ya west. So ulaya bado wana replacable source of energy ambayo ni reliable from Qatar. Unazingumza kuhusu GDP China inanguvu serikalini tu. lakini
Wananchi wake tuko nao hata huku bongo kitaani wanauza Karanga na kutaabika mitaani kama sisi walami. Wachina mfanyakazi mmoja hana marupururupu na mshahara mkubwa kama mmarekani.
Kwahiyo USA ni higher spender kuliko wachina.
Wa Russia wanakimbilia kufanya ukahaba ulaya magharibi, kwenye Neema.
Kuna chuo Fulani watu weusi walikuwa wanauwawa sana na warussia. Kinaitwa Lumumba. Na hii ni umaskini wa hawa wa Russia ukawapelekea wawe wabaguzi kama kule kwa madiba.
Russia vs somali. Kimsingi itakuwa unfair kumlinganisha samaki na nyani katika uwezo wa kupanda/kukwea mti.
Like I said earlier, Russia is a failure state na Somali is a dead state.
Somali ilikufa tangu zamani. Sina cha kuisemea. Hii ni nchi ya ashashababu. Kenya wanajaribu kuifufua but I don't think they can make it.. I still have a doubt l... Cancer haitibiki