Nchi za dunia ya kwanza
nadhani Hapo utaelewa sababu una akili mgando kijana,
hatuhitaji vijana kama nyinyi mnakurupuka tu toa ushahidi weka hoja nzuri watu wataelewa mbona dotworld tunamuelewa sana humu,
you know nothing kwenye international affairs,
sepa na kiiingereza chako cha dictionary hicho una copy kwenye dictionary ndo unaleta hapa,
wenyewe wenye lugha yao wametulia, nyi mlioletewa kwa mashua ndio mnajifanya kimbele kimbele, yan kwa sababu dotworld ameandika ukaona wivu kwa kuwa sio English yako acha wivu kike wewe kama wa waimba taarabu,nyani we
Nyani Ngabu unaharibu hii thread kwa argument zako za kitoto. Jirekebishe.
Huna Sera
wewe tambaa mbele,
njoo nikuonyeshe udada wangu,
acha kuharibu thread,
tafuta ICJ iliamua nini kuhusu nuclear miaka ya 90
Ungengua
unajua vizuri international affairs usingeuliza nchi za dunia ya kwanza ni zipi na third world countries ni zipi,
wenye akili wamenielewa mbona term zipo sana hizo, kwa hiyo wewe hujawahi kusikia third world countries? hivi umeolewa lini wewe?
sasa kama unajua third world countries,utakosaje kujua nchi za dunia ya kwanza?huoni kama wewe ni punguani wa level ya juu!
sizijui,
unajiua international court of justice au advisory opinion of international court of justice kuanzia miaka ya 1950 kuhusu matumizi ya nuclear weapons kwenye vita na unajua waliamua nini baada ya un general assembly na WHO ku submitt opinion zao?
opinion pamoja na request zao? tafuta hiyo mahakama iliamua nini ndo utajua kwa nini malcom aliitaja ICJ na utajua yale maelezo dotworld kayatoa wapi, tatizo kimekushtua kiingereza waafrika ndo maana hatuendelei
Kama unazijua za dunia ya sita basi za dunia ya kwanza zipo nyingi tu, jenga hoja kapitie mitandao na vitabu ndo uje jukwaani, usisimulie na bibi ukaleta pumba humu
Najua ndio hakuna plagiarism pale,
na hapa hatupo kwenye vi assignment vyako vya darasani,
na yale maelezo yametoka ICJ na ndio maana Malcom aliitaja na ndio source yenyewe
ile ulitaka mpaka uwekewe link acha kupenda kutafuniwa wewe mtoto wa kiume wewe au unataka nikuchambe kama unavyonisifia najua kuchamba nitakuchamba kweli kisawasawa hakibaki kitu hapo nitakuchamba hata na gunzi