Mkuu Navy Seals ni vijana wa leo, na Spetsnazi ni ni vijana wa miaka ya 47. Lakini unatakiwa kujua at that time the guys were a top brass. Jaribu kufuatilia battles walizopigana...jamaa ndio walioteka Holland kwa siku moja, na ndio waliowashikisha adabu wafaransa.
Tatizo ni kuwa baadhi ya waty hapa JF wanaangalia dunia kwa kutumia CNN na sio vitabu.
The Americans knew that German machine was not gonna be easily beaten, hasa ukizingatia kuwa jamaa wengine waliodefect na kukimbilia Marekani ndio waliowaambia kwa Europe combined can not even come close to match half of German military might, even Americans could not dare to fight in Europe and win easily. Wenye akili waliwaambia better let Soviets go.
Pamoja na kuwa USSR ndio ilishinda vita ya pili, watu huwa hawataki kutaja ukweli mchungu. The cost was very very high for soviets. Warusi milioni 25 waliuawa, kati ya hao karibu wanajeshi zaidi ya milioni 10, and almost all got killed by Spetsnazi. Hii inaweza kukwambia kitu. Kwa hiyo Germany machine was not a small machines....ukiangalia military "inventions" nyingi za Marekani wakati ule (including Atomic bomb), zilipelekwa US na wanasayansi wa ujerumani waliokimbia vita.