USA are not able to overcome S-300 air defense system

USA are not able to overcome S-300 air defense system

How on hell nilikosa huu mjadala? Naomba unipe link mkuu. Yaani mkuu Kiranga alisanda? Hii itakuwa ilikuwa ni kubwa kuliko.
pole sana mkuu kwa kupitwa na huo mnakasha,uzuri wa JF huwa hakifutwi kitu,labda kiwe kimeenda/kilienda kinyume na sheria/kanuni za forums.mnakasha huu HAPA. upitie post kwa post.utaelimika pia.
 
Kwa hiyo na BBC World Service TV ni wajinga wajinga? ... maana na wao wanaripoti ninachosema mimi na wameenda mpaka kwenye makumbusho ya Serikali ya Serbia ambapo wanaonyesha mabaki ya hiyo ndege na kuwahoji wahusika tena kwa Video Clips ambazo ti taarifa ya TV imetazamwa Dunia nzima!

Sasa "wajinga wajinga" ni BBC au wale ambao wanakataa ripoti ya BBC?!

Mkuu si hilo tu, NATO(Merikani) walikuwa na shahuku kubwa ya kuwahoji wa SERB mbinu walizo tumia to bring down Stealth Bombers zao - mwanzoni Waserb walikataa kutoa siri nisijue kama wa Serb wamekwisha mellow down na kueleza kila kitu au la?
 
Jamaa alie-modify ile Rada ameshawaambia .. ndio maana walifanyia marekebisho ya mifumo ya Stealth katika ndege zao,

Si unajua tena waliwaambia Waserb kuwa wameshaingia kwenye European Union kupitia association Agreements sasa wakaja watu wa NATO wakawarubuni na Wamarekani wakajifanya wanatengeneza Documentary ya tukio zaima!

Wakaenda mpaka kwenye command center yao wakaziangalia zile rada za zamani za mrusi na jamaa akawaonyesha jinsi alivyoiona ile ndege na baada ya kufika Kilometer nadhani 15 ndipo alipotoa amri ipigwe. Sasa Documentary yenyewe inaonyesha kila kitu kuna Trailer yake kupitia Journeyman Pictures - icheki hapa

​

cc: .Bukyanagandi.
 
Last edited by a moderator:
Unaona ilivyo shida kujadiliana na huyo dotworld?

Nimemsihi abadilishe staili ya uandishi wake ili twende naye sambamba lakini naona kagoma.
Ukipitwa hoja unang'ang'ania vitu vya ajabu ajabu,unamtaka abadilishe style ya uandishi kwani unasoma peke yako hapa...we do like that period
 
Hata nikiwaambia ni kazi bure maana tayari mshaamua misimamo.

Tuendeleeni tu na ligi na unazi.

Sijali anakoyatoa hayo mapicha. Kwangu ni vurugu tu.

Kwa kweli tutaclick viunganishi vyote hivyo,no ni bora kuziweka moja kwa moja,mwanaume kukubali ni ngumu sana ila najua umeshindwa
Walau angekuwa hata anaweka viunganishi tu basi, ingetosha.

Ewalaa,kutokana na point na arguments zisizo na mashaka,mkileta nanyi kama anavyofanya na kuonekana dhahiri mnamshinda then upepo utahamia kwenu,sasa mnataka tuwasaport kwa evidence gani hapa,naona mnajaza server tu hapa.
Na nyie mmebaki kuwa cheerleaders wa dotworld tu.

Shameful.
Umeacha kutoa hoja na arguments zenye kushiba mnaanza personal attack
 
Ewalaa,kutokana na point na arguments zisizo na mashaka,mkileta nanyi kama anavyofanya na kuonekana dhahiri mnamshinda then upepo utahamia kwenu,sasa mnataka tuwasaport kwa evidence gani hapa,naona mnajaza server tu hapa.

Umeacha kutoa hoja na arguments zenye kushiba mnaanza personal attack

Personal attacks ziko wapi?
 
Jamaa alie-modify ile Rada ameshawaambia .. ndio maana walifanyia marekebisho ya mifumo ya Stealth katika ndege zao,

Si unajua tena waliwaambia Waserb kuwa wameshaingia kwenye European Union kupitia association Agreements sasa wakaja watu wa NATO wakawarubuni na Wamarekani wakajifanya wanatengeneza Documentary ya tukio zaima!

Wakaenda mpaka kwenye command center yao wakaziangalia zile rada za zamani za mrusi na jamaa akawaonyesha jinsi alivyoiona ile ndege na baada ya kufika Kilometer nadhani 15 ndipo alipotoa amri ipigwe. Sasa Documentary yenyewe inaonyesha kila kitu kuna Trailer yake kupitia Journeyman Pictures - icheki hapa

​

cc: .Bukyanagandi.

Mkuu nilijua fika watafanya hivyo, hapa nilikuwa natoa changa moto tu - I knew kwamba hata hili la kusema eti sijui Mserb kamkaribisha rubani wa F-117 nyumbani kwake nilijua ni STUNT za jamaa hawa kuhadaa Dunia - Waserb wote ambao walikuwa ni the brains behind ya ku-modify system nzima nilijua watatafutwa na CIA kwa hudi na uvumba na kuwa compromised ili wawaonyeshe kila kitu - the question is: Hivi kweli Waserb wanaweza kuwa wajinga kiasi hicho wakasahau Taifa lao na raia wao walivyo kufa kijinga kutokana na mabom yaliyo kuwa yana dondoshwa na ndege za NATO? Binafsi siamini kama Waserb waliwaeleza Wamerikani kila kitu - sio wajinga/wasahulifu kiasi hicho.

Mimi kinacho nishangaza zaidi, hivi Wamerikani walikuwa hawajui kwamba ndege zao zote za mfumo wa Stealth i.e B-2 na F-117 zilikuwa zinaonekana wazi wazi kwenye rada za kizamani zinazo tumia longwaves, kuna Designer Engineer mahili wa Kimerikani aliye husika ku-design ndege za aina ya A-10 Warthog TANK Buster alihusika vile vile ku-design F-14 fighter kama nakumbuka vizuri - huyu jamaa wa makamo alisema wataalam wengi walijua weakness hiyo labda hawakutaka Bunge la Merikani lijuwe tatizo hilo kutokana na madege hayo kugharimu ma trillion za walipa kodi, niliwahi vile vile kueleza kisa kimoja hapa Uingereza ambacho Jenerali wa Kemerikani aliwajia juu waongoza ndege walipo mwambia kwamba B-2 imeonekana kwenye RADA ikivuka kutoka Ireland kuja England - Jenerali huyo hakutana kitu hicho kijulikane, waongoza ndege nao walikuwa wanatumia RADA za miaka ya 50 (again longwave), hii inadhilisha kwamba Wamerikani walijua weakness hiyo all along - labda walifikiri Warusi siku hizi wanatumia RADA za mfumo wa Very high frequency (i.e shorter wavelengths).

Nimecheka sana nilipo msikia Rubani akitoa visingizio eti "alijua angeweza kutunguliwa usiku huo kwa kuwa hakusindikizwa na F-16 za ku-jam RADA za Waserb" Jamaa hawa hawakosi lame excuses!!! Mh - stealth BOMBERS zisindikizwe na F-16 tena! What does this tell US? Ni hivi: Wamerikani walikuwa wanajua kwamba ndege hizo siyo mahili kama wanavyo zipigia debe kwenye Bunge lao. Ngoja sasa niangalie video clip.
 
Last edited by a moderator:
U make alot of FUNNY of urself and POOREST IQs who u can lie & follow u...!!!

First, UNATA KUNIJIBU VITU ULIVYOKUWA HUVIJUI...!!? Ur so crook..!!! Ulisha hata sikia AIPAC au baada ya mm kuandika...sasa UNAMJIBU NANI..."!? UNAINGIA Google unasoma uje unijibu mm..!!? Funny enough, UNAANZA ETI BY THE WAY Wasioijua AIPAC sijui nn....!!? ww ulikuwa unajua..!!? Ur cheating ur own MEDULLA...& those of Mental hysteria...!!!

Did u know STEALTH WARPLANES kabla mm SIJASEMA MWANZO HUMU...!!? Bado still hata hujui ni nn, naona unaelezea KUZIDI MM MTAALAMU WA AVIATION...uko 50% from truth...!!? Unaongelea mambo ya ndege kama ww EXPERT while ur out of point...!!? big joke..!!

I came here to SHOW U...Russia ni KITOTO kidogo kwa U.S sana tu...wala hukujua UCHUMI wa RUSSIA unazidiwa na MARA 2 NA CALIFORNIA STATE PEKEE...unazidiwa na TEXAS...unazidiwa na NEW YORK....umekurupuka toka wapi sijui, UNASEMA UNATAKA KUNIJIBU MM...WAKATI ULIKUWA HUJUI...UNANIJIBU NN SASA...!!? Ur too far away FROM TRUTH....only slogans...MATHEMATICS NEVER LIE.....i give datas, data za KISAYANSI ZIKO KILA MAHALI, unamjibu nani..!!? wajibu wengine NOT ME...👐👐 Ooohh..!!!

Wala hukuwa unajua U.S.A ndio INAONGOZA KWA MAFUTA NA GAS Duniani, tokea 2013 onwards...UTANIJIBU NN..!? Hao UNAOWADANGANYA SIO MM...ww huwezi nijibu...huna datas za kisayansi...U.S.A ndio DUNIA KWA SASA...hutaki utake...period..!!! We are WESTNIZED AUTOMATICALLY, uko una type na ku search na kuringa, HUJUI INTERNET ya nani...!!? na hiyo search engines, Google, Yahoo, HowStuffWorks za nani..!!? UR automatically westnized, NOT EVEN A BIT EASTNIZED...so KAJIBU WATU UNAOWADANGANYA...i am not here again...sbb hujui kitu....Ww unafuata u communist while PUTIN unaemuona kiongozi ni BEPARI MKUU...Rais Dictactor, muuaji na TAJIRI kuliko all Presidents...ndio U communist huo...!!? UNAFUATA na KUTETEA usicho kijua...Wadanganye wapuuzi tu..hujui kitu..
Never tag me...!!! Coz i don't follow this plz...!!!

Mkuu kwa kweli mimi haya masuala ya kutunguliwa ndege ya Stealth sitaendelea kujadili.

Nilimwahidi Mr President kuwa ntamjibu hoja yake ya Israel na Marekani na Israel Lobby ya Marekani. Sasa hii hoja imenichukulia muda mwingi.

Bythe way kwa wasiofahamu Israel lobby ni American Israel Public Affairs Committee (AIPAC) sasa hii lobby's influence on U.S. foreign policy pamoja na negative effect kwenye American interests

Ngoja nifanye mpango nimjibu Mr President maana hayo mambo ndio yapo Interesting zaidi & challenging na ntamjibu hapa hapa as yana connections karibu na kila political movements, war or peace duniani.
 
U make alot of FUNNY of urself and POOREST IQs who u can lie & follow u...!!!

First, UNATA KUNIJIBU VITU ULIVYOKUWA HUVIJUI...!!? Ur so crook..!!! Ulisha hata sikia AIPAC au baada ya mm kuandika...sasa UNAMJIBU NANI..."!? UNAINGIA Google unasoma uje unijibu mm..!!? Funny enough, UNAANZA ETI BY THE WAY Wasioijua AIPAC sijui nn....!!? ww ulikuwa unajua..!!? Ur cheating ur own MEDULLA...& those of Mental hysteria...!!!

Did u know STEALTH WARPLANES kabla mm SIJASEMA MWANZO HUMU...!!? Bado still hata hujui ni nn, naona unaelezea KUZIDI MM MTAALAMU WA AVIATION...uko 50% from truth...!!? Unaongelea mambo ya ndege kama ww EXPERT while ur out of point...!!? big joke..!!

Wala hukuwa unajua U.S.A ndio INAONGOZA KWA MAFUTA NA GAS Duniani, tokea 2013 onwards...UTANIJIBU NN..!? Hao UNAOWADANGANYA SIO MM...ww huwezi nijibu...huna datas za kisayansi...U.S.A ndio DUNIA KWA SASA...hutaki utake...period..!!! We are WESTNIZED AUTOMATICALLY, uko una type na ku search na kuringa, HUJUI INTERNET ya nani...!!? na hiyo search engines, Google, Yahoo, HowStuffWorks za nani..!!? UR automatically westnized, NOT EVEN A BIT EASTNIZED...so KAJIBU WATU UNAOWADANGANYA...i am not here again...sbb hujui kitu....Ww unafuata u communist while PUTIN unaemuona kiongozi ni BEPARI MKUU...Rais Dictactor, muuaji na TAJIRI kuliko all Presidents...ndio U communist huo...!!? UNAFUATA na KUTETEA usicho kijua...Wadanganye wapuuzi tu..hujui kitu..
Never tag me...!!! Coz i don't follow this plz...!!!
Yaani wewe nashindwa hata kukushangaa ... kwa kifupi usimdharau usiemjua.

Unapenda kujisifia vitu ambavyo na vyenyewe huvijui

Mimi sijakujibu hoja yako hata moja juu ya masuala ya Energy kwa sababu nimeziona hazina mashiko. Unaongea vitu usivyovijua. Nimeona tu unabishana na member mmoja hapa unamwambia sijui unajua Texas sijui nini sasa ili iweje?

Kama ni masuala ya Mafuta na gesi nayajua vilivyo! ... sikukujibu tu kwa sababu niliona utanipotezea muda. Tunajua hayo Mafuta na gesi na Geopolitical effects zake katika mabara yote ... wewe unaongelea Marekani tu!

Ukiona watu wamekaa kimya usione kuwa hawajui ... nyie ndio kama kina Macain ambao walienda kuwashawishi nchi ya Bulgaria waucheleweshe mradi wa gesi wa South Stream ili usipite Bulgaria kwenda Europe na matokeo yake ili kulazimisha ubakie Ukraine!

Wamewatisha viongozi wa Bulgaria wakakubali baada ya kununua hisa ya kampuni ya gesi ya Ukraine mkaona mradi ukihama mtakosa hela yenu! - then what happened? - mwenye gesi yake (Russia) akaamua ku-cancel mradi mzima sasa wakaanza kulia eti siyo fair! - hiyo ni kwa sababu hamjui hata geopolitics za gas! - ndio watu kama nyie. Nilipoona unaongea vitu usivyovijua nikaamua nikuache tu nisikujibu. Haya sasa South Stream imekufa na mtoto wa Biden hana kazi kwenye ile Kampuni aliekuwa anaiongoza - mambo yamehamia Turk Stream! alafu mmeanza tayari kumuita Rais wa Turkey eti Dictactor - kisa hatekelezi matakwa ya US! - enzi za nchi kutekeleza kila anachotaka Marekani blindly zinafikia mwisho!

Unajidai wewe sijui ni Pilot, ooh mara najua masuala ya ndege mara sijui nipo na-fly, punguza mbwembwe - mwenzio alikuwa anaendesha ndege yenye thamani ya almost 2 bil dollars - ndege ambayo wewe mpaka unakufa huwezi kuiendesha lakini jamaa alityunguliwa na akaenda kumuona aliemtungua na akampa heshima yake - hayo ndio maisha - sasa wewe mara ooh! najua sana, mara sijui nini, kama ungekuwa mtu makini ungetulia usikilize hoja, pinga constructive ujue zaidi!

Yaani ukitaja kitu unafikiri wewe ndio wa kwanza kujua huku duniani, eti AIPAC wewe ndio umeitaja - kwanza AIPAC yenyewe unaonekana umeijua juzi juzi tu - kama kweli unaijua AIPAC basi niambie ni nani / Institutions zipi zinazoi-control hata hiyo AIPAC yenyewe? au wewe unajua AIPAC tu? - ukinijibu hapo ndio ntaona kama kweli unaweza kujadiliana na mimi kama huwezi basi mimi ntahamia kwenye mada nyingine - wewe ndio hujui kitu alafu unakuwa na jazba
 
U make alot of FUNNY of urself and POOREST IQs who u can lie & follow u...!!!

First, UNATA KUNIJIBU VITU ULIVYOKUWA HUVIJUI...!!? Ur so crook..!!! Ulisha hata sikia AIPAC au baada ya mm kuandika...sasa UNAMJIBU NANI..."!? UNAINGIA Google unasoma uje unijibu mm..!!? Funny enough, UNAANZA ETI BY THE WAY Wasioijua AIPAC sijui nn....!!? ww ulikuwa unajua..!!? Ur cheating ur own MEDULLA...& those of Mental hysteria...!!!

Did u know STEALTH WARPLANES kabla mm SIJASEMA MWANZO HUMU...!!? Bado still hata hujui ni nn, naona unaelezea KUZIDI MM MTAALAMU WA AVIATION...uko 50% from truth...!!? Unaongelea mambo ya ndege kama ww EXPERT while ur out of point...!!? big joke..!!

I came here to SHOW U...Russia ni KITOTO kidogo kwa U.S sana tu...wala hukujua UCHUMI wa RUSSIA unazidiwa na MARA 2 NA CALIFORNIA STATE PEKEE...unazidiwa na TEXAS...unazidiwa na NEW YORK....umekurupuka toka wapi sijui, UNASEMA UNATAKA KUNIJIBU MM...WAKATI ULIKUWA HUJUI...UNANIJIBU NN SASA...!!? Ur too far away FROM TRUTH....only slogans...MATHEMATICS NEVER LIE.....i give datas, data za KISAYANSI ZIKO KILA MAHALI, unamjibu nani..!!? wajibu wengine NOT ME... Ooohh..!!!

Wala hukuwa unajua U.S.A ndio INAONGOZA KWA MAFUTA NA GAS Duniani, tokea 2013 onwards...UTANIJIBU NN..!? Hao UNAOWADANGANYA SIO MM...ww huwezi nijibu...huna datas za kisayansi...U.S.A ndio DUNIA KWA SASA...hutaki utake...period..!!! We are WESTNIZED AUTOMATICALLY, uko una type na ku search na kuringa, HUJUI INTERNET ya nani...!!? na hiyo search engines, Google, Yahoo, HowStuffWorks za nani..!!? UR automatically westnized, NOT EVEN A BIT EASTNIZED...so KAJIBU WATU UNAOWADANGANYA...i am not here again...sbb hujui kitu....Ww unafuata u communist while PUTIN unaemuona kiongozi ni BEPARI MKUU...Rais Dictactor, muuaji na TAJIRI kuliko all Presidents...ndio U communist huo...!!? UNAFUATA na KUTETEA usicho kijua...Wadanganye wapuuzi tu..hujui kitu..
Never tag me...!!! Coz i don't follow this plz...!!!
unaweza kuta ni rubani wa cesna.
 
unaweza kuta ni rubani wa cesna.
au hii .. lol

maxresdefault.jpg
 
Aah umekutanA na kigingi Kaka, utang'oa mguu ukikazana kupiga mashuti,

Kigingi gani? Na kiko wapi hicho kigingi?

kubali tu kwenye mjadala huu ushindi haujawa kwako na ndo uungwana huo mjomba

Mimi sishindani na mtu hapa na sikujiunga ili kushindana.

Sasa hayo mambo ya ushindi sijui wewe unayatoa wapi.

Kama kuna anaye au wanaoshindana na mimi basi wanafanya hivyo bila utanabahi wangu na kusema kweli wala sijali.

Nachangia mawazo yangu vile nionavyo yafaa.

Baada ya kusema hayo, wewe endelea kuwa mshabiki tu maana yaelekea ndicho unachokiweza.

Mengine yapo juu ya bichwa lako.
 
Back
Top Bottom