USA are not able to overcome S-300 air defense system

USA are not able to overcome S-300 air defense system

You talk and refer WAR of 1962 -75....

U.S.A ya wakati ULE sio ya LEO....koma ukomae...

Sasa hv UNAPIGWA UNASAGIKA...i can assure u...!!!



tumblr_mzv0r8tT4P1qfo1wqo1_1280.jpg


U.S. Navy SEAL armed with AK-47 - Vietnam War



MP_Inspects_Captured_AK-47_Vietnam.jpg

​

A U.S. Army M.P. inspects a Soviet AK-47 recovered in Vietnam, 1968.

ak47.jpg


Hii hapa chini ni clip ya juzi juzi tu hapa kwenye vita vya Iraq.


Wanajeshi wa Marekani walitupa bunduki zao za kimarekani wakaamua kutumia ya Kirusi ya AK 47 as ndio ilikuwa reliable!

Angalia makini dakika ya 2:10 na kuendelea




​

cc:
.Red Giant Maziku Masunga Jr. Consigliere Chasha Poultry Farm Red Giant Kimweri Aleyn kui Ngongo
 
Last edited by a moderator:
mr president hauhitaji kuwa mchumi kuchambua hiyo budget ilihali russia asilimia kubwa za military hardware ni home made maana resource nyingi wanazo basi hiyo budget ni sawa au kuzidi kidogo marekani economically, mr president hata mtu aliyemaliza form 4 anaweza kuwa pilot hela tu, na je unahisi aegis system haina anti jamming, don't be fool, muache dotworld aje na facts
mkuu namuona mr president anatoa maneno tu hakuna facts pale zaidi ya vitisho visivyo na mashiko being a pilot does not mean you know the relevant facts analeta propaganda badala ya facts kama anazomimina Dotworld. Ngoja tumsubiri kesho sijui atakuja na chuya gani.
 
Last edited by a moderator:
Hebu taja na losses za Vietnam basi. Wavietnam wangapi waliuliwa?
ni karibia 1,000,000 lakini kumbuka idadi ya casualities haiamui mshindi. wanaweza kufa watu wengi na ukashinda hasa ikiwa umekuwa attacked first. kwenye WWII allied forces walishinda il walipoteza mara mbili wanajeshi waliopoteza axis.
 
Duh , DOTWORLD Thanks for your detailed information. I have been impressed by a number of issues you have raised, discussed and presented in this thread. issue ya Cuban crisis imenivutia sana pamoja na mambo mengine kadhaa. Thanks. Hili ni darasa tosha kwa wote.
 
ni karibia 1,000,000 lakini kumbuka idadi ya casualities haiamui mshindi. wanaweza kufa watu wengi na ukashinda hasa ikiwa umekuwa attacked first. kwenye WWII allied forces walishinda il walipoteza mara mbili wanajeshi waliopoteza axis.

Sasa kama haiamui mshindi kwa nini wewe unaiingiza kwenye hoja zako?
 
Nyani ngabu Russians kwenye WWII ndo walipoteza watu wengi zaidi ila ndo walioshinda hiyo vita na maadhimisho ya v day ni may 9 hakuna anayepinga hilo, unaweza ukapigana na china na wakafa wengi kwa sababu pia wao ni wengi lakini wakashinda vita, yan nyani ngabu una leta slogan za utotoni anatakaye toka damu wakati wa kupigana na kapigwa au polisi na mwanajeshi ana pigwa polisi acha haya mawazo, number casualties hai determine ushindi wa vita
 
You talk and refer WAR of 1962 -75....

U.S.A ya wakati ULE sio ya LEO....koma ukomae...

Sasa hv UNAPIGWA UNASAGIKA...i can assure u...!!!

Haya ... kwahiyo unasema kuwa waliitumia AK47 Vietnam lakini sasa hivi hawaitumii tena?!

Haya, hii hapa anatumia soldier wa US, AK version ya MpiKMS-72

Au na hii ni zamani? .
.. wewe wenyewe wanaruhusiwa kuwa na Limited amount as AK47 ni very reliable kuliko za US!

soldier-ak47.jpg


000008e9_medium.jpeg


LCpl_Cheema_on_the_AK-47.JPG

​

Nyie mnabisha eti leta ushahidi, wakati US Soldiers wenyewe wameikubali kuwa in the best assault rifle inthe world & durable na hata wenyewe wanaitumia

cc: .
PTER
 

Haya ... kwahiyo unasema kuwa waliitumia AK47 Vietnam lakini sasa hivi hawaitumii tena?!

Haya, hii hapa anatumia soldier wa US, AK version ya MpiKMS-72

Au na hii ni zamani? .
.. wewe wenyewe wanaruhusiwa kuwa na Limited amount as AK47 ni very reliable kuliko za US!


LCpl_Cheema_on_the_AK-47.JPG

Ha ha ha jamaa atatoa sababu na visingizio mpaka atachoka ila kila kisingizio kitapanguliwa mwishowe atabaki mdomo wazi.
 
Sasa kama haiamui mshindi kwa nini wewe unaiingiza kwenye hoja zako?
ni factors nyingi zinaamua.haiamui mara zote ila kwa US iliamua. hawakuwezi vumilia watu 50,000 kufa wakati wenzao walivumilia 1,000,000.
 
Bado uhajanishawishi labda kesho ukija.



It depends what type of BRAIN u hv...!!! Kama una kichwa type ya Nape/Mrema, i can't convince/pursuade/prove to you.....seek help to who brought you in the WORLD...!!!👎👐👐
 
Mswahili huyo Mag3. Ukiona mtu anagusia gusia mambo na hana ufafanuzi wa kina ndo uswahili wenyewe huo.......LOL
JustDoItNow, hebu nipe jibu moja tu...Mmarekani ni nani? Kwangu jibu lolote utakalotoa ni sababu ya pekee kuitazama Marekani kwa jicho tofauti kabisa na mataifa mengine. Chukua mfano mdogo tu wa jimbo kama California. Wachina walifika pwani ya Magharibi ya Marekani miaka mingi tu kabla hata Christopher Columbus kuvuka bahari la Atlantic akitokea Ulaya, wao walivuka wakipitia bahari la Pacific.

Ninalotaka kusema hapa ni kuwa Warusi wanabakia Warusi lakini Wamarekani wanakuwakilisha wewe, mimi na yule au kwa kifupi wahamiaji na hadi Waswahili wamo. Leo hii jimbo la California peke yake linao watu wenye asili ya China karibu milioni mbili na wanaongezeka kila saa, siku na mwaka! Nikikutana na mtu anasema haipendi Marekani kwa sababu yoyote ile, namtazama halafu nabaki tu nikitikisa kichwa.

Whether you like it or not, US is currently the world police, you wanna know why? They seem to be, they claim to be and they prove to be. USSR ilisambaratika yet the world moved on but, on the other hand, USA ikisambaratika the bottomline is the world will come to a standstill. Kila taifa, kila rangi, kila dini, kila kabila na kila utamaduni...vyote vinawakilishwa ndani ya Marekani and you can take that to the bank!

Nondo zote unazozisoma humu chanzo chake kikubwa ni Marekani na data zote zinazotolewa humu chanzo chake kikubwa ni Marekani. Sina haja ya kutoa za kwangu...any Tom, Dick and Harry can come up with the said data; all one needs ni macho, vidole na computer competency na bahati nzuri panya (mouse) ipo, unahitaji kugonga tu. Kwa kumalizia, kingine kinachoifanya Marekani iwe tofauti ni uhuru wa kutoa mawazo, asanteni.
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa na watu wanne (4) tu nchini Tanzania wa aina ya DOTWORLD na ukawafanya kuwa ndio 'think tank' ya Tanzania hakika nchi hii itakuwa mbali sana kwa kila kitu
 
ni factors nyingi zinaamua.haiamui mara zote ila kwa US iliamua. hawakuwezi vumilia watu 50,000 kufa wakati wenzao walivumilia 1,000,000.
Mkuu ..Red Giant naona unabishana na Nyani Ngabu ... huyo hutamuweza .. niachie mimi ... huyo Mkuu mbishi sana & huwa hakubali kushindwa hata kwa jambo ambalo lililo na ukweli ... ngoja ntamjibu muda si mrefu!
 
Russia ipo mbele ya US kwa military hardware technology mara zote ambazo US alijaribu kuingilia russia kwa military tech ambazo yeye anaamini ni cutting edge technology alijikuta kwa mrusi ni ya nyuma na anapata instantly defeat kwa mfano tu ni ile ndege ya MIG 25 interceptor ambayo ilikuwa ndege ya siri kbs kwa upande wa russia wamarekani walikuwa hawaijui yule rubani alivyo hasi westwalikuwa wanishangaa tu uwepo wake, hebu pitieni hii story na mkitaka event nyingine nitawaletea
BROUGHT A SECRET WARPLANE TO THE WEST

Jul 19 2013---29 Comments

By Jacek Siminski

Viktor Belenko is a Mig-25 pilot who defected to the United States via Japan on Sept. 6, 1976.

The then Lieutenant Belenko was a pilot with the 513th Fighter Regiment, 11th Air Army, based in Chuguyevka, Primorsky Krai, in the east of the country.- When he brought his-Mig-25 “Foxbat”-to Hakodate he gave the Western intelligence officers the opportunity to give a first close look at one of the most secret airplanes of those years: a supersonic interceptor featuring a powerful radar, four air-to-air missiles and a top speed above Mach 3.

In order to assist the American experts in evaluating the aircraft, Belenko brought with him the pilot’s manual for the MiG-25 “Foxbat”, expecting to assist American pilots in evaluating and testing the aircraft.

Even if the Japanese government didn’t originally give full access to the plane, the Americans were later invited to examine the aircraft extensively: the Mig was dismantled for such purpose and later returned to the Soviet Union.

In his “Mig pilot” book (1983) John Barron claims that Viktor Belenko’s defection was completely voluntary and was the result of Belenko’s distrust on communist regime.

The MiG was delivered to Japan without the missiles, which were to be introduced in the Belenko’s training later on.

The mission was launched earlier than initially planned, because the KGB was about to stop-Viktor Ivanovich Belenko-from defection.

(image)

Image Credit: testpilot.ru

Although pilot defections during the Cold War were not a rarity, what made Belenko’s defection unique was the fact that the-MiG-25-was completely unknown in the West.

This is the main point to bear in mind when thinking about Belenko and, unfortunately, this fact is often forgotten.

The ideological background for the events which took place in 1976 is deeply rooted in the beginnings of the post-war period.

As the Cold War was in progress there-were many incidents and crises-which closely led to a confrontation of the two superpowers.

One of these events was Francis Gary Powers’ U-2 spy flight on of May 1, 1960.

Power’s U-2 took off from USAF Peshawar Air Base in Pakistan for a-GRAND SLAM-mission, to investigate the Soviet missile and plutonium production plants.

Targets were Sverdlovsk, Plesetsk (ICBM sites) and Mayak – a plutonium plant.

The-U-2-was a plane designed to fly well above the Soviet air defense Surface to Air Missile systems.

Its operational ceiling was out of the range of the Soviet interceptors and missiles but Powers’ flight was expected, all of the units and surface-to-air defenses were put on alert.

The MiGs pilots were ordered to ram the aircraft if necessary. The U-2 was eventually shot down by an S-75 Dvina missile near Degtayrsk in the Ural region.- Because of high g-force Powers had no chance of reaching the airplane’s self-destruction button and had to eject.

What is interesting is the fact that SAM-crews did not know that the plane had already been shot down because MiG’s’ IFF transponders were not updated (May 1st is a national holiday), therefore several MiG’s were also shot down by S-75 rockets.

The political consequences of the spyflight were severe.

Shortly after the incident the Americans created a cover up story for Powers’ failure. NASA had announced in a very specific press relase that the pilot, having lost consciousness due to the problems with the oxygen equipment, had strayed into the Soviet territory with his autopilot engaged while doing a weather flight.

On May 7, Khrushchev announced that Powers has survived the crash and, nine days later, on May 16, 1960, during a Four Powers Paris Summit meeting with Harald MacMillan, Charles de Gaulle and Dwight Eisenhower- he called the U-2 incident an act of a “deliberate aggression.”

Eisenhower refused to apologize for the incident, claiming that the U-2 flight was not of aggressive nature, having only a purpose of ensuring US safety. The meeting collapsed.

At the time, Eisenhower was a proponent of so calledOpen-Sky Policy, according to which both sides would allow for reciprocal reconnaissance flights over their territories. Khrushchev did not agree. Powers was sentenced to 7 years of hard labor in a Gulag, but he was exchanged for a Russian spy Rudolf Abel on the famous Glinecke Bridge in Potsdam, connecting West and East Germany.

(image)

Image Credit: allaccess.com

Gary Powers incident sparked the development of the American Oxcart programme, with the goal to design the SR-71 spy plane, which in addition to flying high, also flew very fast, out of the range of the Soviet missiles’ operational envelope.

What is more, a D-21 drone reconnaissance system was created, to be carried by SR-71 as a parasite. The drone would be dropped, fly over the Soviet Union, return over the Pacific and drop the reconnaissance materials on a parachute.

Both these designs led to the development of a Soviet countermeasure – the MiG-25, known in NATO code as the-Foxbat

Written with David Cenciotti
 
Be human and understand in modern way....!!!

AK....is a BRAND NAME..ok...AK of old times si za sasa hv....AKs are modernised these days...zipo aina tofauti tofauti...!!! AK is a Brand name,, unaelewa...!!? So hata ikituka hadi sasa, sio ile ya wakati ule...ni modernised AK...

Hv BMW let's say X5 ...ya mwaka 1980 sio BMW X5 YA MWAKA 2014/15....BUT THE BRAND NAME REMAINS.....BUT KILA KITU NI TOFAUTI....jua hilo...!!!
ila BMW X5 si zipo kibao zinatumika..!!? Silaha nazo ni hivyo pia..

Brand name itabakia to carry the market value, but UNAKUTA UHALISIA WAKE TOFAUTI KABISA NA MWANZO...so AK KUBAKIA HADI SASA UNASHANGAA nn..!!? au uelewa..!!

PWC...Pratt and Whitney Canada engines or GE engine....zinatumika hadi leo majina hayo hayo..
ILA ZA 1980 PW engines sio za LEO 2014...JUA HILO...

THINK OUTSIDE THE BOX...!!!


Haya ... kwahiyo unasema kuwa waliitumia AK47 Vietnam lakini sasa hivi hawaitumii tena?!

Haya, hii hapa anatumia soldier wa US, AK version ya MpiKMS-72

Au na hii ni zamani? .
.. wewe wenyewe wanaruhusiwa kuwa na Limited amount as AK47 ni very reliable kuliko za US!

soldier-ak47.jpg


000008e9_medium.jpeg


LCpl_Cheema_on_the_AK-47.JPG

​

Nyie mnabisha eti leta ushahidi, wakati US Soldiers wenyewe wameikubali kuwa in the best assault rifle inthe world & durable na hata wenyewe wanaitumia

cc: .
PTER
 
Kijeshi Marekani haikushindwa huko Vietnam.

Hiyo vita ndani ya Marekani ilianza kukosa mashiko. Watu kibao walikuwa wanaipinga tena kwa sababu za msingi kabisa.

Marekani haikuwa na sababu zozote zile za msingi za kujiingiza katika hiyo vita.

Muhammad Ali aligoma kwenda vitani na akafungwa jela. Martin Luther King Jr. alikuwa anaipinga hiyo vita.

Secretary of State John Kerry naye aligeuka kuwa mpingaji wa hiyo vita. Jane Fonda and the list goes on and on.

Kwa kifupi ni kwamba Marekani haikuwa na political will ya kuendelea na hiyo vita.

Ni vigumu kwa nchi kwenda vitani kama wananchi wengi wanaipinga hiyo vita.

Sasa watu watoto zao, ndugu, jamaa na marafiki zao walikuwa wanakufa huko Vietnam bila hata sababu ya msingi, ya nini sasa kuendelea na vita tena ambayo haiwahusu kabisa?

Sasa watu mnashindwa kutofautisha sababu za kisiasa na zile za kijeshi.

Unajua majeshi ya Marekani yalifanya mambo gani huko Vietnam?
sasa nadhani umetambua kuwa kuna factors nyingi zinazopelekea ushindi wa vita yoyote ile. pamoja na pesa, teknolojia bora, jeshi kubwa bado USA hakufua dafu.
 
Ahahahaaaaa Voltaire Network siyo reliable source hata chembe na inajulikana kwa kuwa na anti-US stances.

Well it apears 2 me no matter what fact we give you you're just going to disagree and accuse those who are bold enough 2 critisize skewed American Foreign Policy - as being RUSSIAN TROLL!! Mkuu jaribu kukubali ukweli - hapa hakuna anae chukia Merikani - kinacho tukera tulio wengi ni umangimeza wa Taifa hilo lililo kubuhu katika nyanja za kuhadaa Dunia na kujifanya wao zaidi, wanatumia vyombo vyao vya habari kueneza chuki na kusema uongo mchana kweupe bila haya! Ni sites nyingi tu zilizo zungumzia tukio hilo la kuitia haya/Aibu Merikani, siyo vizuri kumpakazia FAIZAFOXY! Kwa taarifa yako this honorable lady yuko knowlegable kwenye nyanja nyigi tu - we jaribu kufatilia post zake.

Kitendo cha ndege za URUSI kuzima mawasiliano ya Meli ya Merikani iliyo seheni AEGIS DEFENCE SYSTEM walio kuwa wanaipigia debe 24X7 kwenye mainstream media za kwao na Duniani nzima as if Mataifa mengine hawana wanasayansi/Engineers walikubuhu kwenye masuala ya Instrumentation and Control Engineering, baadhi ya watu wa magharibi mpaka wanafunzi wana chuki za kijinga kuhusu Urusi, siku moja kwenye somo la Control lecturer mmoja aliwahi kutamka kwamba "I told you COMMIES are bloody stupid, just imagine they derive Control Eng. equations in (time Domain) instead of (Frequency Domain)" Nikamkumbusha but Sir, mbona moja ni inverse ya nyingine si wote wanapata results zile zile bila kujali kama muhusika ni communist(t -domain) na mwingine ni Capitalist (frequency-domain) kwani tatizo liko wapi?? - ALICHEKA sana, basi tu chuki chuki tu za kitoto. Watu wengi hawajui kwamba Warusi na Ukrain ndio wanaongoza Duniani katika masuala ya Control Engineering hata Rais Bush aliwahi kukiri ukweli huo, pamoja na mapungufu ya Bush Jr kwenye masuala mengine lakini alikuwa anamuheshimu sana PUTIN na walikuwa wanaelewana sana, Bush aliwahi kusema PUTIN ni very honest man - come mswahili mwezetu huyu OBAMA kwenye Uongozi - mtu unashindwa kuelewa ni nani hasa yupo kwenye driver's seat ndani ya White house - je ni OBAMA mwenye au ma neocon - specifically members wa BONES and SKULL, nikiangalia mambo yanavyo kwenda hasa huko Ukrain na kwingineko nafikiri the GUY is not in control ya events - yupo yupo tu.

Tukirudi kwenye mada kuhusu tishio kubwa la URUSI kwenye US NAVY- tishio hilo ni real sio utani - site nyingi zinazungumzia kwamba ni ndege moja ilihusika ku-wreak havoc kwenye the so called MEGA Hi-Tech AEGIS DEFENCE SYSTEM (PRIDE OF US NAVY and Land Based Defence System), ukweli wa mambo ni kwamba ni ndege tatu zilizo ruka kutoka kwenye nearest BASE for the mission, mbili ziliruka kwenye higher altitute, moja ndio iliruka kwenye low altitute (500 M above sea level) na kuizunguka meli ya Kimerikani mara kumi na mbili ikazima communication za meli, mobile phone satellite phone nk! Mkuu we fikiria mpaka baadhi ya wanamaji wa meli hiyo ya Kijeshi wafikie hatua ya kutoa notice ya masaa 24 ku-resign unafikili ni mchezo - waliotoa notice na fikiri ni wanajeshi wana sayansi walio kwenda shule waliona hakuna haja ya kwendela na ajila kwenye a floating coffin ambayo inaweza kuzamishwa time yoyote na mataifa kama Urusi, Uchina au India wakihamua kuizamisha - AEGIS system ambayo imeonekana dhahili haina ubavu wowote wa kushindana na teknolojia ya kisasa ya URUSI yenye uwezo mkubwa wa kuizima mitambo yote ya kujiamikushambulia ndani ya Meli za Kimerikani muda wowote wakiamua - oh yes inakuwa totally blind/deaf - harafu Warusi wakiamua kufyatua a Hypersonic Sea Skimming SUNBURN anti-Ship Missile si Meli za Kimerikani zitakuwa blown it into smithereens - ni mwanajeshi gani mwenye akili titamu atakubali kugehuzwa a CANNON FODDER - ndio maana baadhi ya wanamaji walihamua KUSEPA!! Who can blame 'em. Wewe unaweza kufikiri hilo lilikuwa ni tukio dogo tu - sikweli, kwa sisi wanasayansi tunajua fika implication yake.

Mkuu Nyani Ngabu hivi unajua Taifa la Merikani baadhi ya viongozi wake ni waumini wa dini za kishetani, hata Dollar zina michoro ya picha za kishetani kwa mbali! wangapi wanalijua hilo? Kama hukubali basi mimi na DotWorld tutatoa nondo za kuthibitisha kwamba baadhi ya Marais wa Taifa hilo, mawazari wake, Wakuu wa CIA waliopo na waliopita wengi wao ni members wa dini ya keshetani - hawakupewa/teuliwa kwenye nyadhifa walizo nazo kwa kubahatisha (wakuu wa vitengo nyeti that is) kundi hili liko well organised and well connected - Dunia hisipo kuwa makini na kudi hilo ovu basi tutajikuta tunangania wote narudia kundi hilo ni la kijambazi yasiyo na kifani.

Ni watu wachache Duniani who knows the brains behid matra ya New World Order - basi hiyo ni moja ya doctrine za kundi hilo la keshetani ni mpango wao wa siku nyingi wako-determined kuitawala Dunia kwa kutumia mbinu tatu za kutimiza malengo yao na ni wasiri sana majority in Anglo-Saxon descendants: Chunguza walio soma Chuo Kikuu cha Yale mfano Bush Sr, Bush Jr, John Kerry just to mention a few - chunguza Members wa BONES and SKULL iliyoanzishwa mwaka 1832 Chuo Kikuu cha Yale - chunguza wana ushawishi gani i.e how influential are they ndani ya Serikali ya Merikani na wameshikilia posts zipi ambazo ni mission critical katika kuendeleza ndoto zao za kishetani, usione mimi, DotWorld, Malcom Lumumba, Elungata na wengine tunawajia juu Wamerikani ukafikiri hatuwapendi - hapana, tunawajua sana mbinu zao wanazotumia kuvuruga Dunia kwa maslahi yao, na Merikani ikiendeleza choko choko zake za the so called "orange revolution sijui regime change" wakaja wakajisahau wakaguza masharabu/claws za SIBERIAN BEAR au Great Wall/Bruce LEE basi wakae wakujua kwamba wenzao wamejipanga kuipa Merikani fundisho la mwaka na safari hii watadundwa back to stone age ndani ya Taifa lao na kuwakata kilimi limi.

Huo mtandao ndo ulikuwa mstari wa mbele katika kudai kuwa 9/11 ilikuwa ni inside job.

Mkuu huki analyse tukio zima kiundani bila ya kuwa biased kuna kitu kimekaa ndio sivyo - utekaji ndege na kuzibamiza kwenye majengo kuna kitu Wamerikani wanaficha kwa nini nasema hivyo: Taifa hili ndilo ujigamba Duniani kwamba lina intelligence ya kufa mtu, wana air defence system allover, wana ndege za vita nyingi tu, ndege zilizo bamizwa kwenye majumba majority zimehundwa huko huko Merikani which mean wana uwezo wa kuziongoza remotely na kufanya watakalo wakihisi kuna tatizo la kuhatarisha usalama wa Taifa lao, sasa ilikuwaje ndege zinatekwa zinazimwa transponders zinavuka jimbo zaidi ya moja bila ya kushtukiwa na waongoza ndege wanao ona ndege kwenye rada lakini hakuna radio communication, cha kushangaza zaidi ni kwamba ndege hizo zilitumia masaa mengi angani sio kwamba zilikuwa zinafuatana in a single file au tuseme zinajibamiza kwenye targets at the same time, kulikuwa na time lag nyingi tu - swali ni kwa nini Air force, Air Defence System haikushtukia ndege ya kwanza ilipo bamiza jengo la kwanza, fighter planes zilikuja kuwa scrambled baadae kabisa -WHY? kitu kingine kwa nini Rais Bush aliyekuwa kwenye shule ya chekechea akiwasomea adithi watoto, alipo pewa taarifa kuhusu tukio hilo hakuonekana kushtuka, niliona binti anamunong'ozea sikioni lakini Bush hakushtuka lolote - body language yake ilionyesha he knew what was cooking - yeye na Chenney walionekana wako composed kabisa!!!

Kitu kingine 99.9% ya watekaji nyara/pilots Walikuwa wanatoka Saudi Arabia, sasa kwa nini Merikani hakumwijia juu Mfalme wa Saudia.

Kwa nini siku ya tukio hakuna hata Muyahudi hata mmoja aliye kuja kazini/kuwa kwenye majengo hayo pacha.

Tuna uzoefu wa kuona wanavyo demolish majengo ya ghorofa Ulaya wanatumia mbinu kwa kuring high explosives kwenye columms za jengo in a controlled explosion - actually kitendo hicho u-simulated an implosion sequence, binafsi ndicho nilicho kiona wakati majengo hayo yanaporomaka in a domino effect manner. Swali ni je kuna watu waliweka H.E kwenye nguzo kuu za majengo hayo, I am just curiuos - there are more questions than......

Binafsi nilichukulia tukio hilo kama ni njama za kutafuta kisingizio cha kuhanzisha vita mashariki ya kati mtu ungetegemea wangevamia Afghanistani kwanza alafu na Saudi Arabia - badala yake Wanavamia Saddam Hussein ambaye hakuhusika na njama hizo kama zilikuwepo kweli.

Kwa nini si amini sana Wamerika kuhusu tukio hilo za kubamiza ndege kwenye majengo pacha. Ni hivi: miaka ya nyuma Merikani iliwahi kupanga njama kama hizi dhidi ya CUBA, walitaka kutafuta sababu ya kuingia vitani moja kwa moja na CUBA forget about mapigano ya Bay of pigs ambayo yalihusisha wakimbizi wa Cuba walio kuwa wamekimbilia Merikani na kupewa silaha na Merikani kuvamia CUBA, kuna mpango mwingine kabambe iliyo kuwa umesukwa kuisingizia CUBA ili Merikani ipate kisingizio cha kuivamia CUBA na kumuondoa Castro Madarakani, pango wa kwanza ulikuwa kuzamisha meli ya kimerikani yenye abiria wa Kimerikani alafu wasingizie CUBA (hawajali uhai wa wamerikani wenzao!!), mpango wa pili ulikuwa ni kuua Wacuba wengi wanao ishi Maimi Florida ili baadae wasingizie ma Commando wa CUBA!! Mpango wa tatu ambao ulikuwa weird ni hule wa kusema ikiwa rocket iliyo kuwa imembeba mwana anga John Glenn ikihungua wakati wa re-entry phase ya kurudi duniani basi tuwasingizie wa CUBA kwamba ndio walihusika na ajali hiyo! Watu wa ajabu sana hawa - hata Kambarage aliwahi kutamka hivyo.

Nizungumzie kidogo kuhusu John Glenn, mwana anga huyo alikuwa fighter pilot(au test pilot sikumbuki vizuri) sasa Wamerikani walipo anzisha kitengo cha NASA wali-recruit Astronauts saba mmoja wao alikiwa ni huyo John Glenn - walikuwepo wenzake wakina Gus Grissom, MacDivitt, Shirra nk kama nakumbuka vizuri wote hao walikuwa kwenye Project ya Gemmni lakini Glenn kiumri alikuwa anawazidi hivyo katika kuchagua ni nani kati ya hao saba awe mwana anga wa kwanza wa Merikani kwenda kwenye outer space na kuizunguka Dunia akiwa kwenye rocket capsule - katika kinyanganyilo hicho aliteuliwa John Glenn. Sasa nini kilicho tokea baada ya Glenn kurushwa na Rocket kwenda kwenye outer space - Glenn alizunguka Dunia orbits alizo kuwa amepangiwa, lakini katika zunguka yake Telemetry Sensors/transducers zikaonyesha kana kwamba heat shield inakaribia kubanduka hivyo haitaweza kuhimili plasma (HEAT) wakati wa re-entry, kwa hiyo Waongoza chombo huko Houston Texas walijua fika kwamba John Glenn hatapona (atahungua) kama kimondo wakati wa RE-ENTRY, ingawa walikuwa wanawasiliana na John Glenn kwa njia ya Radio hawakumueleza lolote kuhusu hatari inayo mkabili wakati wa ENTRY PHASE. Kwa bahati chombo hicho hakikuhungua John Glenn alitua salama baharini.

Viongozi wa Serikali ya Merikani walipo pata taarifa ya uwezekano wa Glenn na Chombo chake kuhugua angani ndio wakasuka mpango wa kuisingizia CUBA kwamba ndio inahusika na kuhungua kwa chombo cha kwanza cha kumpeleka mwamerika wa kwanza Anga za juu - walijuwa wazi kwamba tukio hilo lingewasikitisha/kasirisha sana wapiga kula wa Merikani, hivyo Serikali yao ikivamia CUBA wapiga kula watawaihunga mkono: kumbuka njama za kutaka kuzamisha meli iliyojaa abiria wa Merikani ili wapate kisingizio cha kuivamia CUBA, kutaka kuwaua Wacuba wengi wanao ishi Miami Florida ili baadae wasingizie Serikali ya CUBA - wanajotafuta ki kufanya VITENDO vya kuwatia hasira wapiga kula wa Merikani ili wakihanzisha vita wahungwe mkono kwa matendo yao ya kidhalimu bahati nzuri Glenn alirudi salama na mipango mingine ya kuivamia CUBA ilikwama kutokaan na URUSI kuingilia kati. Sasa ndugu Nyani ya Ngabu kama rafiki zako hao waliwahi kusuka mipango ya ajabu niliyo taja hapo juu, kwa nini tusiamini kwamba na hili la kubamiza ndege kwenye majengo wenda ikiwa ulikuwa na lengo hilo hilo - wapigane vita fidia ya majengo itapatikani kutokana na wizi wa mafuta ya IRAQ na kuwahuzia silaha Saud Arabia, Quatar, Kuwait nk. Wakina Bush Jr, Coddi Rice, Dick Cheney (former Halliburton CEO - kawapa macontract lukuki huko Iraq na Afghanistani)

Ila naelewa kwa nini baadhi ya watu humu wanaamini kila kinachoandikwa na huo mtandao.
Mkuu mbona na wewe una-quote habari za mtandaoni, kama uamini kwa nini unazinukuu? Mbona watu wanaweke mpaka video clip kutoka CNN, FOXNEWS, AL JAZEERA, RT NK, hata Wamerika wenyewe wamekili kuhusu meli yao kuwa kiziwi na kipofu kwa muda wa dakika ishirini kama sikosei, je hao majenerali na Wanasayansi hawajui walisemalo?

C.C DotWorld
 
Marekani haikupigwa Vietnam.

Ngoja nikupe mfano wa mtu/ majeshi kupigwa.

Tanzania na Uganda ya Idd Amini.

Au majeshi ya Coalition katika vita vya Ghuba mwaka 1991.

Ndani ya Marekani political will ya kuendelea na vita isiyo na tija haikuwepo.

Lakini si kwamba Marekani ilikuwa inatwangwa mpaka ikasalimu amri.
Nyani Ngabu nadhani wewe ni mbishi kwa asili. unapoazisha vita dhidi ya nchi alafu ukarudi nyuma, kwa sababu yoyote iwayo, ni kwamba umeshindwa! yawezekana political will usemayo pia ilichangiwa kwa kiasi kikubwa na matokeo ya loss kubwa kwa US.
 
Back
Top Bottom