USA are not able to overcome S-300 air defense system

USA are not able to overcome S-300 air defense system

Dotworld thanks for the richly detailed and compelling post above, much appreciated mkuu!
kui, source ya hizi zinazoitwa data/facts ni US hiyo hiyo...tafakari! (Dokezo: unakumbuka kabla ya Operation Desert Storm? Jinsi data kutoka US zilivyomjenga Sadam Hussein na askari wake wa jangwani? Jinsi watu walivyosema safari hii Marekani imemeza isichoweza kutafuna? In the end Iraq pulled out of Kuwait but was that the end? No, after making sure they had no further us of him, years later they got another reason to make sure his regime ended!)
 
Last edited by a moderator:
kui, source ya hizi zinazoitwa data/facts ni US hiyo hiyo...tafakari! (Dokezo: unakumbuka kabla ya Operation Desert Storm? Jinsi data kutoka US zilivyomjenga Sadam Hussein na askari wake wa jangwani? Jinsi watu walivyosema safari hii Marekani imemeza isichoweza kutafuna? In the end Iraq pulled out of Kuwait but was that the end? No, after making sure they had no further us of him, years later they got another reason to make sure his regime ended!)

So mkuu if I may,...do you mean this Uber praising/ information of Russian military power is just a western world propaganda?!, and why would they go 'that way' kuipoza Russia?!
 
Nyani Ngabu;Good lord!!!

LEO UMEAMINI HADI MUNGU,...ASEEEE KWELI WAPROTESTANT I WA MAREKANI NOMA
:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:

Nope!

Huo ni msemo tu unaoelezea hali ya mshangao na hauna maana ingine yoyote kwangu hususan katika imani ya uwepo wa mungu.

Sasa kama hujui matumizi ya tamathali za semi hutaweza kunielewa nami sina subira ya kukuelewesha.

Licha ya hivyo, sitegemei kama utakuwa mpumbavu kiasi cha kutoweza kusoma maneno pamoja na muktadha ili kung'amua maana kusudiwa.
 
ni wapi hapo walichora redline? nyakati waliyotaka kupigana makonde ni kwenye cuban missiles crisis. ni US ndiyo ali surrender hii kitu (kama unafuatilia mambo kiundani). kwenye 6 days war US alitaka kuingilia lakini alimuogopa mrusi. jiangalie, isije kuwa wewe ndiyo mswahili unaeleta porojo!




Splendid indeed mkuu, hata mimi nilikuwa najiuliza hivi huyu anazumgumzia redline hipi tena hapo!! Labda nieleze kidogo kuhusu Cuban Missile Crisis, ni hivi: Kilicho tokea pale ni kwamba Urusi ilitahadharisha Amerika kwamba hisitishe ujenzi wa vituo vya Missiles vilivyo kuwa vinajengwa huko Uturuki kwa madhumuni ya kuilenga URUSI, si unajua tena Wamerikani wakajifanya viziwi - basi Urusi nayo ikataka shauri la kupeleka Missiles,wanajeshi na ndege za kivita nchini CUBA ambayo hiko karibu sana na Merikani (90miles)

Warusi wakahanzisha ujenzi wa silos za kuhifadhi Missiles zilizo lenga Merikani, mwanzoni Merikani ilikuwa hajui kinacho endelea nchini Cuba, baadae ndege za upelelezi za Kimerikani aina ya U-2 ndizo ziligundua kilicho kuwa kinaendelea nchini Cuba, moja ya ndege hizo iliwahi kutunguliwa na makombora nchini CUBA lakini Wamerika hilo huwa awalisemi.

Baada ya Merikani kushtukia makombora hayo, Kennedy alimpigia simu Krushchev na kulalamika, Krushchev akamwambia Kennedy kwamba hataondoa Missiles CUBA mpaka Wamerikani nao wakubali kuondoa Missiles zao Uturuki - Wamerikani walipo kubali kuondoa missiles zao UTURUKI ndio na Warusi wakakubali kuodoa za kwao nchini CUBA - hicho ndio kilicho tokea, Mambo ya Kennedy kujifanya mkali na majigambo huo ulikuwa ni usanii tu wa kutaka kuwaridhisha wapiga kula wake - ukweli unabaki kwamba Warusi ndio walimchimbia mkwara Kennedy mpaka akakubali kutekeleza matakwa ya URUSi ambayo kusema kweli yalikuwa justified, lakini vyombo vya magharibi na propaganda zao zilizojaa uongo walipindisha sana ukweli wa tukio hilo.
 

Ahahahaaaaa Voltaire Network siyo reliable source hata chembe na inajulikana kwa kuwa na anti-US stances.

Huo mtandao ndo ulikuwa mstari wa mbele katika kudai kuwa 9/11 ilikuwa ni inside job.

Ila naelewa kwa nini baadhi ya watu humu wanaamini kila kinachoandikwa na huo mtandao.
 
Nyani Ngabu;Nope!

Huo ni msemo tu unaoelezea hali ya mshangao na hauna maana ingine yoyote kwangu hususan katika imani ya uwepo wa mungu.

Sasa kama hujui matumizi ya tamathali za semi hutaweza kunielewa nami sina subira ya kukuelewesha

thank you Uncle Tom nlikuwa sijui hilo

Sasa nimekuwa Uncle Tom?

Hewala bwana.
 
Oh Good - kumbe mkuu DotWorld alieza in details kuhusu CUBA Missile crisis - sikujua kama alikuwa amekwisha jibu suala hilo.
 
Dude, let me gentleman then, may be i over used words. Or may be i have been insensitive towards your feelings...So u take back my race-ism word.

Next time you decide to throw allegations at someone make sure you can back them up with ironclad proof.
 
Ahahahaaaaa Voltaire Network siyo reliable source hata chembe na inajulikana kwa kuwa na anti-US stances.

Huo mtandao ndo ulikuwa mstari wa mbele katika kudai kuwa 9/11 ilikuwa ni inside job.

Ila naelewa kwa nini baadhi ya watu humu wanaamini kila kinachoandikwa na huo mtandao.

Oohh, na hawa jee?

Pentagon Worries That Russia Can Now Outshoot U.S. Stealth Jets - The Daily Beast

Bolton: Iranian Jamming Technology Could Be Worse News Than Downed Drone | Fox News

Â-Report: Iran 'Blinded' CIA Spy SatelliteÂ- :Â- Information Clearing House
 

Hata hao sijaona yeyote aliyekuja na kitu kilicho definitive.

Angalia tu hata modal verbs walizotumia.

Kama unajua tofauti, maana, na matumizi ya modal verbs utagundua kuwa hakuna chochote kilicho definitive hapo zaidi ya possibilities tu.

Na possibilities zipo kwa pande zote.
 
Eastern propaganda ndo imetawala hapa
 
Ha! ha! ha! ... ni kweli hawalingani! ... hivi Mkuu unawafahamu Spetsnaz au unawasikia tu! ... hao Navy Seals hawafui dafu kwao ... walishawahi kufanya Training pamoja .. na US wenyewe waliwakubali kuwa they are extraordinary

4056302-spetsnaz_training.jpg


4056303-14.jpg


PKrI0.jpg


​
.Mr. President
.

Dude can u explain kidogo kuhusu hawa jamaa?am real interested kuna vitu siijui kuhusu hawa spetsnaz aisee
 
US, EU space missions depend on Russian tech

If Russia were to boycott space missions due to the Ukraine crisis, the results would be dramatic for the United States and Europe.

The US relies heavily on Russia to furnish the engines that power rockets that deliver both military and civil payloads into space.

This includes GPS systems in cars and cellphones, and even systems that allow ATMs to function. Weather satellites are launched into space via Russian-powered rockets, and military systems such as early missile detection also depend on Moscow.

In addition, since NASA scrapped the space shuttle program in 2011, the US has to rely on Russian Soyuz capsules to get its astronauts to the space station and to bring them back home.

As the crisis over Crimea deepens and tit-for-tat sanctions go into effect, conventional wisdom has held that the US is holding all the cards. Given the relatively small amount oftrade the US conducts with Russia each year, and its pre-eminent position as the world’s largest economy, Washington has projected confidence as it moves to isolate Moscow diplomatically and economically.

But Russia is unlikely to take it lying down. As Stephen Walt, professor of international affairs at Harvard’s Kennedy School of Government, warned in a talk at Harvard recently, “They have ways of responding [to sanctions] that … we’re not going to like.”

One of the things Americans may dislike very much indeed is a possible ban on the sale of RD-180 engines to the US under a contract with Russian manufacturer NPO Energomash.

The RD-180 powers the Atlas V rocket, the main launch vehicle used to get US military and civil payloads into space.

“The Russian rocket engines are the best in the world,” said Royce Dalby, a space systems expert and managing director of Avascent, an aerospace and defense consulting firm in Washington, DC. “RD-180 provides the most efficient and least expensive means of getting our national security payloads into space.”

Sasa wewe Mr Pres ... yaani mpaka ulinzi wa US unamtegemea Russia wewe unasema nini?.

Without Russian technology, Western countries' missions couldn't get off the ground.

​

Six people are currently on board the International Space Station (ISS): three Russians, one astronaut from Japan and two Americans.

They each headed up by way of the Russian Soyuz spacecraft, launched from the Baikonur Cosmodrome.

Currently, there is no other way to reach the ISS zaidi ya kumtumia Russia! .. alafu unakuja na story zako hapa zisizokuwa na kichwa wala miguu

NASA Is Paying Russia $71 Million for a Ride to Space

Wewe unadai kuwa US ina-dominate Space wakati hao hao US kwenda kwenye space wanategemea Russia! .. unafurahisha sana.


Alafu sio hivyo tu hata zile space vehicles zinazoruka kutoka US zinategemea Russia Rocket engines! as ndio reliable! ... so who is master of Space?! ... je unajua kuwa Military Satellite za US zinarushwa juu angani na Russia?!





​


Read More:
.US, EU space missions depend on Russian tech | Sci-Tech | DW.DE | 30.04.2014
. Why Does the USA Depend on Russian Rockets to Get Us Into Space? - The Daily Beast
.NASA Is Paying Russia $71 Million for a Ride to Space - The Wire

.


Trust me mkuu pipo always fear what they do not understand so t doesn't suprise me any how so called #mr .president to hate what the can not conquer(russia)
 
Last edited by a moderator:
u.s anaspend more sababu y new tech,military bases na current wars...nothing else
hujajibu why s-300 zipo syria na israel anastrike daily?
Ishue ya us kununua scientists....hapo mkuu umechemka...u hav to admit that honestly

Deal was cancelled so syria hana s-300
Kua updated mkuu
 
Humu JF kuna wengine inabidi tuwaheshimu kwa issues za military. Nawaongelea watu kama Dotworld. Ni hatari kwa knowledge ya vita na military tacknology.

Much respect to him
 
Majibu ya maswali yenu yote ingieni
Militaryfactory.com
 
Back
Top Bottom