USA are not able to overcome S-300 air defense system

USA are not able to overcome S-300 air defense system

Hii thread imetulia sana.

Kuna watu wana mahaba na USA lakini wanashindwa kuonyesha japo kwa uchache superiority ya marekani over her all time rival the mighty Russia.

Nilichojifunza hapa pia ni kwamba mmoja yuko offensive mwenzake yuko defensive. Pia hizo warships atutishie kina sie huku lakini kwa Russia ataomba poo maana hakuna aliyeonyesha data kusema USA can overcome the S-300 Russian Air defence system .

Juu ya yote tumeona vile Russia ali jam mfumo wa kiulinzi wa warship yake kwenye Black Sea. so far hakuna anayepinga hii taarifa from the American side.

Wakati Dotworld anaweka kitu zenye kushibisha bongo wengine wana bwaya bwaya tu kwa maneno ya mtaani. Typical tanzanian, wana majibu hata kwenye maswala ya taaluma za watu.
 
Last edited by a moderator:
ni wapi hapo walichora redline? nyakati waliyotaka kupigana makonde ni kwenye cuban missiles crisis. ni US ndiyo ali surrender hii kitu (kama unafuatilia mambo kiundani). kwenye 6 days war US alitaka kuingilia lakini alimuogopa mrusi. jiangalie, isije kuwa wewe ndiyo mswahili unaeleta porojo!

Mswahili huyo Mag3. Ukiona mtu anagusia gusia mambo na hana ufafanuzi wa kina ndo uswahili wenyewe huo.......LOL
 
Last edited by a moderator:
mkuu[MENTION][/MENTION]DOTWORLD.HUYU Jamaa inabidi afahamu pia ni nini kilichosababisha USA wakapendekeza mkutano wa kupunguza matumizi ya nuclear wa SALT1 pamoja na SALT 2 lakini pia kujengwa kwa mtambo wa mawasiliano kati ya kremlini na whitehouse uliokuwa umelenga kurahisisha mawasiliano kati ya Kremlini na Whitehous. hapa ni kiashiria tosha kuwa kuna makubaliano yalifanyika kati ya Kennedy na Nikita Kruschev kuzuia vita vya tatu visitokee kwa sababu wakati huo dunia ilikuwa inategemea kusikia neno moja tu kutoka upande wowote vita vingeanza.

Makombora ya Urusi kule Cubya yalimuogopesha Kennedy hali ingekuwa mbaya zaidi kama yangeweza kulipuliwa na kufika katika miji iliyokuwa imelengwa ndiyo maana ilikuwa rahisi sana kwa Kennedy kukubali Ultimatum za Urusi na kupendekeza waingie Mkataba wa SALT 1 na baadae SALT 2
 
mkuuDOTWORLD.HUYU Jamaa inabidi afahamu pia ni nini kilichosababisha USA wakapendekeza mkutano wa kupunguza matumizi ya nuclear wa SALT1 pamoja na SALT 2 lakini pia kujengwa kwa mtambo wa mawasiliano kati ya kremlini na whitehouse uliokuwa umelenga kurahisisha mawasiliano kati ya Kremlini na Whitehous. hapa ni kiashiria tosha kuwa kuna makubaliano yalifanyika kati ya Kennedy na Nikita Kruschev kuzuia vita vya tatu visitokee kwa sababu wakati huo dunia ilikuwa inategemea kusikia neno moja tu kutoka upande wowote vita vingeanza.

Makombora ya Urusi kule Cubya yalimuogopesha Kennedy hali ingekuwa mbaya zaidi kama yangeweza kulipuliwa na kufika katika miji iliyokuwa imelengwa ndiyo maana ilikuwa rahisi sana kwa Kennedy kukubali Ultimatum za Urusi na kupendekeza waingie Mkataba wa SALT 1 na baadae SALT 2
26May1972-SALTI-signed.jpg
PTER
 
Last edited by a moderator:
this is the second time you've written the same information in the same thread without providing any information to back it up. Of course any one can do a google search, but you should be explaining what you mean when you make a broad statement, because by now it seems like you're only trying to discredit Dotworld and nothing more.!!
Mkuu .Maziku Masunga Jr. mimi nipo tayari kuwa challenged or criticized - I welcome that! ... after-all at the end of the day kila mmoja wetu atajifunza kitu zaidi as we are exchanging knowledge & ideas na wala si ushindani.

Kwahiyo mimi nina-welcome constructive criticism - mtu aje na facts zake alafu tutaangalia ukweli ni upi.

Mfano mzuri haya yote (hizi habari) niliyoshare na nyie ni kutokana na mdau mmoja anaitwa Mkuu Mr President, yeye kwa mahaba yake kwa US akaja na "Facts" zake kibao kuonyesha namna US ilivyokuwa juu katika masuala ya kiulinzi, kijeshi, kieleimu, kiuchumi, kisiasa, katika silaha na hata kwenye space! ...

Post yake namba 27 hii hapa https://www.jamiiforums.com/international-forum/844394-usa-are-not-able-to-overcome-s-300-air-defense-system-2.html#post12620352

Sasa kwa mahaba yake akatoa alot of details (though hazikuwa sawa & ambazo hazikuwa na sources) - sasa mimi nikaona ni vizuri nitoe my side of facts ili kumuonyesha kuwa US si hivyo kama anavyoamini - sasa uzuri wake at the end of the day JF members wamepata more info kuhusiana na mambo ambayo walikuwa hawayajui or walikuwa wanajua sivyo! - so mtazamo / elimu imeongezeka kwa members!

Sasa kama si member Mr President ina maana tusinge-share haya ... so I welcome constructive critisism as itanifanya na mimi kushare zaidi or na mimi kujifunza! - lakini atleast mtu atoe facts zake za upande wake kwa data na sio maneno ya juu juu tu!

cc: .
Bukyanagandi
 
Dotworld, any sensible person would try to avoid wars. Siamini kabisa kwamba Russia ndio kinara wa military technology in the world. Wana balance na wenzao wengine....
 
Last edited by a moderator:

USSR were mighty force...they built a strong army at their own peril. They forgot that their people needed food at supermarkets and not guns aiming at the west....as a result, they went down with smoke. The moral of the lesson is that...winning a war combines many things at disposal. If you depend on guns alone, it would bite you big time.\

Hawa warusi mbona hatuwaoni kwenye mambo mengine zaidi ya military hardware?
 
You guys, US...President clearly said, they CAN PENETRATE S - 300 without any problem....simply no problem...go and google it...!!! In Syria eg....Russia sold to Syria S - 300...but Israel war planes are striking daily...!!!!

👇👇👇👇👇👇

Just to alert u....THE TOTAL WORLD MILLITARY SPENDING COMBINED TOGETHER, IS JUST HALF OF US. DEFENCE BUDGET....!!!!

👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆

So be very sensitive once u talk of US Millitary capabilities.....it's beyond ur scope and REACH to analyse....I know ur pro- Russians...but US is a lonely MONSTER.....be aware of tht....!

Til now hamna nchi ilioweza kudetect B52 & B2 bombers kwenye radar zao neither Russia nor China.. Anaesema US hawezi penetrate S-300 air defense system ni 'hater'
 
Sana Advanced Patriot ni too mechanical yaani iko inclined at certain angle haiko huru kufire missiles kama inavoratate easily s 300 pia inahitaji muda kuiandaa ukilinganisha na s300 ambayo iko mobile ni rahisi kuhamishika, pia inapotokea mashambulizi ya surface to air, Advanced patriot ina idadi ya launcher chache na pia reload ni issue, pia radius na altitude inayokua protected na advanced patriot ni ndogo ukilinganisha na s300.. tatizo ni kwamba usa wanajua sana kuchonga...kama mnafuatilia kile kisa cha Sukhoi ya Rossiya kuidisable electronic equipment kwenye Manowari ya distroyer ya Usa...hata Hizbollah waliweza kuhit Destroyer ya Israeli iliyotengenezwa kwa ushirika usa na israelis,,, pia Hizbollah vifaa vyao vya kijeshi vinatoka iiran na Rossiya.
 
Hiyo b52 inapita kwenye orbit au, s300 is the most advanced air defense system on earth sijui hiyo s400 na under construction ya s400 general wa USA basi nae atakuwa hater!
 
I got you, hawa akina Benizhev na mwenzake walikuja kumalizia kazi ambayo tayari ilikuwa imeshaanza kilichoimarisha zaidi ni kwamba sera za Benizhev zilikuwa zinalenga kuimarisha uchumi wa russia na kuimarisha uhusiano wa Russia katika international politics kupitia diplomasia na siyo vita lakini Tayari hali ya mvutano wa kivita ilikuwa imeshatulia kutokana na uwezo wake mkubwa kidiplomasia alifanikiwa kutuliza mambo

pili wakati huu USA ilikuwa imetoka kupigwa mfululizo katika vita vya Korea na baadaye Vietnam hivyo kulihitajika suluhisho la hali ya vita hasa kwa upande wa Marekani.

endelea kutupa data mkuu haya mambo yanauzito wake kila mtu anapaswa kuyafahamu vizuri.
 
Til now hamna nchi ilioweza kudetect B52 & B2 bombers kwenye radar zao neither Russia nor China.. Anaesema US hawezi penetrate S-300 air defense system ni 'hater'

Weka nondo kiongozi, hii habari ya kusema tu hamna nchi iliyoweza kudetect B52 na B2 iko kiujumla sana.

Ukiangalia hoja ya msingi hapa ilikuwa prowess ya S-300 kama air defence system, kama ungetwambia wapi hizo B2 & B52 zimetembeza kichapo huku S-300 ikishindwa ku perform.
Zaidi kuna information zimewekwa hapa kuonyesha kuwa USA sio kila kitu kama tulivyoaminishwa.
 
Til now hamna nchi ilioweza kudetect B52 & B2 bombers kwenye radar zao neither Russia nor China.. Anaesema US hawezi penetrate S-300 air defense system ni 'hater'
Wewe ndo huoni bwana dhahani ni kwa sababu unaangalia sana western main stream media, jaribu kidogo ku tune RT, wapo sehemu nyingi sana
Hiyo b52 inapita kwenye orbit au, s300 is the most advanced air defense system on earth sijui hiyo s400 na under construction ya s400 general wa USA basi nae atakuwa hater!

Weka nondo kiongozi, hii habari ya kusema tu hamna nchi iliyoweza kudetect B52 na B2 iko kiujumla sana.
Ukiangalia hoja ya msingi hapa ilikuwa prowess ya S-300 kama air defence system, kama ungetwambia wapi hizo B2 & B52 zimetembeza kichapo huku S-300 ikishindwa ku perform.
Zaidi kuna information zimewekwa hapa kuonyesha kuwa USA sio kila kitu kama tulivyoaminishwa.
Unauhakika gani na unachosema eti B52/B2 haionekani kwenye Rada? - alafu unasema eti Russia na China hawawezi kuziona!

Sasa mimi kukujibu lets forget kuhusu Russia na China - ntakujibu swali lako kupitia nchi ya Vietnam wakati akipigana na US.

Unajua during the Vietnam War, thousands of U.S. aircraft were lost to antiaircraft artillery (AAA), surface-to-air missiles (SAMs), and fighter interceptors (MiG)s. The great majority of U.S. combat losses in all areas of Southeast Asia were to AAA.

The Royal Australian Air Force also flew combat and airlift missions in South Vietnam, as did the Republic of Vietnam. Among fixed-wing aircraft, more F-4 Phantoms were lost than any other type in service with any nation.

In total,

  • The United States lost in Vietnam almost 10,000 aircraft and helicopters, excluding number of UAVs.
  • South Vietnam's army lost 2,500 aircraft and helicopters, excluding number of UAVs.
  • North Vietnam lost 150 - 200 aircraft and helicopters.

Sasa pata picha nchi ya Marekani inapoteza ndege 10,000! katika vita moja tena na nchi ndogo tu kama Vietnam! - unafikiri zilikuwa zinaangushwa kwa Manati?!

Hizo unazozisifia B-52 Stratofortress - zimeangushwa zaidi ya 19 total ingawa Marekani wanadai eti zilikuwa 16 tu! - wanaficha aibu - sasa Vietnam kwa kutumia Antiaircrafts za Warusi (ambazo walipewa Inferior) waliweza kutungua B52 19 pamoja na ndege nyingine 10,000!

Boeing_B-52_dropping_bombs.jpg

Matukio yaliyoyahusisha hizo B52 zako ni kama 2 B-52F 57-0047 and 57-0179 (441st Bomb Squadron, 320th Bomb Wing)na hii ilikuwa tarehe 18 June 1965, South China Sea ingawa Marekani wanajitetea kuwa eti shambulio lilitokea wakati wa air refueling ambapo jumla ya Wanaanga 8 kati ya 12 walikufa.

Kuna tukio lingine la B52 ambapo ndege ya B-52D 55-0056 (307th Bomb Wing Provisional) ilitunguliwa na SAM mnamo 4 January 1973, katika hili tukio walifanikiwa kuwaokoa Wanaanga wao, tukio/B52 ilitunguliwa katika Gulf of Tonkin

%D0%A1%D0%92%D0%A1_%D1%83_%D0%BE%D0%B1%D0%BB%D0%BE%D0%BC%D0%BA%D0%BE%D0%B2_%D1%81%D0%B1%D0%B8%D1%82%D0%BE%D0%B3%D0%BE_%D0%91-52_%D0%B2_%D0%BE%D0%BA%D1%80%D0%B5%D1%81%D1%82%D0%BD%D0%BE%D1%81%D1%82%D1%8F%D1%85_%D0%A5%D0%B0%D0%BD%D0%BE%D1%8F_23.12.1972_%281%29.jpg

Soviet specialists inspect the wreckage of the B-52 Stratofortress was shot down near Hanoi December 23, 1972

B-52_Memorial_Lake.jpg


b-52-lake-hanoi-1-1024x768.jpg


SA-2 SAM’s that were used against US bombers over North Vietnam


b-52-air-defence-museum-hanoi-sa-2-sam-5-1024x768.jpg

SA-2 SAM’s that were used against US bombers over North Vietnam

syria.jpg




Haya angalia hii Video ya kutunguliwa kwa B52 yako huko Vietnam




Sasa wewe jiulize kama Vietnam alizitungua B52 kwa old tech tena kwa kutumia SA-2 SAM, je kama angekuwa na hizi s-300! na je alizionaje hizo B52 kwenye Rada wakati huo? kwa old tech na sasa kuna New tech ashindwe kuziona na kuzitungua ndege zile zile kwa kutumia New Tech?!

Sasa umeona, jibu la swali lako linajibiwa na Vietnam tu wala hatujishughulishi na China wala Russia! -

Unafikiri US kukimbia Vietnam ilikuwa kwa kupenda?! - wewe ukifungua hata Wikipedia watakuambia kuwa US walipoteza ndege 10,000 (nimekuwekea link hapo chini)... imagine ndege tu 10,000! - sasa hiyo ni tech ya zamani ya Mrusi ... Je sasa? - au unafikiri kila nchi ni Iraq?!.


Read More:
. Aircraft losses of the Vietnam War - Wikipedia, the free encyclopedia
. First B-52 shot down over North Vietnam - Nov 22, 1972 - HISTORY.com
.
cc:
Bukyanagandi Elungata mng'ato Extraterrestrial Gagnija JustDoItNow Bongolander 2013 sodoliki mnyikungu MALCOM LUMUMBA Maziku Masunga Jr. Consigliere Chasha Poultry Farm Red Giant Kimweri Aleyn kui Ngongo mnyikungu Viva89 GAUTAMA PTER RealMan FaizaFoxy SirChief Maswala 1954 PHILE1879 kui 2013 The mountain lion Phillemon Mikael Mr ceragem Ndahani Kimweri Red Giant yonga Bill Cosby Aleyn Bulldog MBULAMATALI Mr. President ze kokuyo Chasha Poultry Farm Ngaramtoni Pianist gwijimimi Dragoon Noel 2014 Mdau TUJITEGEMEE
.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom