USA are not able to overcome S-300 air defense system

USA are not able to overcome S-300 air defense system

Us is far away in technology compared to russia/soviet.
 
Ushahidi kuwa ilitunguliwa uko wapi?

iliyopigwa yugoslavia ama serbia ilikua ni F-117,kidogo kimuundo iko kama B-2,ina muundo kama popo,baada ya hapo marekani wali iretire,ilikua inatisha
 
iliyopigwa yugoslavia ama serbia ilikua ni F-117,kidogo kimuundo iko kama B-2,ina muundo kama popo,baada ya hapo marekani wali iretire,ilikua inatisha

Lete ushahidi kuwa kweli ilitunguliwa.
 
Hiyo B - 2 bomber ilitunguliwa kwenye vita ya ya Yugoslavia sasa nashangaa kuna watu wanasema hakuna nchi inaweza kuitungua kuna watu wanamahaba na USA kuliko wamarekani wenyewe.

Umeona eeh Tatizo kuna watu hawataki kusikia kwamba kuna mataifa yana teknolojia ya kijeshi kuliko Marekani.
Jitu linatokwa na povu unafikiri limarekani kumbe m-bongo tu.
 
You..#Dotworld ...i was busy flying...am a Pilot as wel an Aircraft Engineer...with all due RESPECT...stop being arrogant...MAHABA UNAYAJUA WW...i hv concrete reasons to SHOW US.A is BIGGEST BY FAR COMPARED TO RUSSIA!!" secondly, i wasn't aware this thread is still going on...so acha KUJISIFU HAPA ETI kuna Mr. President ana mahaba....this is kiddish, babish, childish mind...unaona umesifiwa humu....i am coming with HOTTEST ISSUES kukuonyesheni Russia ni mtoto mdogo sana to kwa U.S.....Na nikwambie NOTHING U KNOW ABOUT U.S.A....wadanganye wapuuzi tu..kwa posts zako za RT....esp. U.S Millitary ww ni kinda..u know NOTHING...!!! WIKIPEDIA/Internet news it is just OVERVIEW, SECRET issues huzijui...ila ukitaka kujua NGUVU YA JESHI ...ANGALIA BUDGET...!!! utapata jibu...!!!

I told u unajitapa bure....U.S.A military budget is 50 times RUSSIAN BUGDET per year...( fiscal year)

U.S military budget per year = $ 3.9 trillions dollars

Russian Military budget per yr = $ 68.3 billions dollars

Unaongea nn ww...!? 50 times....acha utoto na mahaba unayosema ni yako...i am busy kesho nitajibu with scientific reasons posts zako, kaa kitako....to show U.S.A ni kitu kingine....Russia ni mchumba tu...Cold War unadanganya ilikuwa compromise...while USSR ilisambaratika na kufa....UNASEMA U.S.A haija win...ur lying...!!!!

USSR ilikufa in COLD WAR....coz U.S.A iliizidi kete.....

So hv patient,...naona umejaa kichwa unasifiwa hulu kwa POSTS ZA RT....u read RT news daily ur illusioned urself....kwanza U.S hawapost post their technology hovyo hovyo....WW unasoma RT news and news papers UNAJAA KICHWA....wait for me....UKIWA NA AKILI KIDOGO TU...UTAJUA MAANA YA HIYO BUDGET NI NN...maana yake ni budget ya jeshi la U.S.A ya mwaka mmoja ni budget ya RUSSIA kwa miaka 50 ijayo.....unajiboost kwa kutokujua...hizi si data zangu ingia ktk google utazikuta..

So acha kujitutumua huku, unapata sifa unajiona...U.S.A ni kichaa tu wa type yako ataweza ilinganisha na RUSSIA kwa kila kitu.....

I hv been to Miami, Orlando, Texas, NC, SC, DC, LA, seattle BOEING cmpny...Portland, Nevada, Atlanta Georgia, ...i hv gone in U.S.A several times for my initial Flight training, and flight recurrent, I know what i speak...but I know Russia...i went only St. P etersburg.....I AM TELLING HAKUNA NAMNA YOYOTE UTALINGANIASHA U.SA na RUSSIA.......Those ROCKETS ENGINES, unazosema do you its POWERS...!!? i can show u in calculations for different rockets...Nukes fuel Engines used in military submarines..!!? It can stay 20 yrs without adding nukes....tena wanaweka kidogo tu...Those are Engines we want in WORLD TODAY....HYDROCARBONS Fuels sio deal....!!!

Russia is just a KID....U.S.A ikisema inapiga nchi yoyote Russia itabaki kuongea tu....Saddam kapigwa, Gadhaffi kauawa, wote hao walikuwa wana support ya Russia...na hazikusaidia chochote...!!! Russia kabaki kulaumu tu....in terrorist combat, RUSSIA kakaa kimya tu...hajajitokeza hata sehemu yoyote DUNIANI kupambana na ugaidi wowote....PUTIN NI DICTACTOR.....BIGGEST THIEF...na unajua hilo....ni Rais Tajiri kuliko wooote Duniani...muuaji na dictator...

Russia ulisikia ilitoa RESCUE MISSION YOYOTE DUNIANI...!? Au misaada aina yoyote..!? I know unajigamba sbb unaona Putin labda ni SHUPAVU...but ni SHUPAVU WA KUUA viongozi wa kipinzani Russia na wanaompinga sera zake...!", His Policies and Politics are of DICTATORSHIP government....!!!! Sasa hv nakuhakikishia, U.S.A ikisema inapiga Iran, i tell u, Russia will shut up...!!! Russia hawana NGUVU za kulingananisha hata kidogo tu na USA.....ungeniambia
USSR kidogo ningekukubalia, of which tht now is HISTORY, US won COLD WAR..., sio sasa hv Russia haina huo uwezo....!!!

Ukisema electronic warfare.....ambayo mnasema Donald Cook was buzzed by Russian Sukoi jet...THT IS VERY NORMAL TECHNOLOGY....iam a COMPETENT AVIATOR....tht is JAMMING ONLY ELECTRONICS USING STRONG ELECTRONIC SIGNALS.....nothing so peculiar...

All 5th Generation Stealth warplanes, do you know them...!!? Stealth technology to absorb radars pulses to be invisible to 80 -95% to radars, it depends to radars types too...u know its types...!? all they ARE EQUIPPED with AVIONICS JAMMING TECHNONOLGY as well, for an intruder aircraft or vessels....tht we know....sio issue, ni kuongeza nguvu za signals za avionics to jam other electronics DEVICES.....nikupe mfano....Rais wa U.S.A hata akija nchi mbalimbali, SIMU eneo loote za Jirani zinakuwa hazina mtandao....kama 30 au 45 mins later ndio cm zenu zinaanza kupata NETWORK...yoote ni Electronics games.....nothing special....NSA 6 months ago, siri zao ZILIVUJA....walikuwa wanachkua calls, sms and emails za WATU WOTE DUNIANI MOSTLY WANAOWAONA wanawapekua, Marais wa Ulaya, Cancellors, Mawaziri wakuu, Russia, Australia, kila kitu WANAWAPEKUA...KUNA MTU ALIONGEA KITU...Angel Markel + Hollande vimepiga KELELE vikakaa kimya....NSA still wanawapekua, which is ILLEGAL kisheria....ILA NANI ATAMGUSA U.S.A....!!? Ww unae kaa NCHI YA 9 KWA UMASKINI DUNIANI UTAWEZA DEMEANING U.S.A...!? Unaota...!!

Nikakwambia live example, SYRIA wamepewa hiyo S- 300...wanayo mwaka karibu wa pili sasa...ILA ISRAEL INAIPIGA KILA SIKU kwa kutumia warplanes vibaya sana.. ....google uone...UNASEMA NN..!!?

I told u again..THERE IS NO COUNTRY WITH WEAK ECONOMY CAN HV STRONG MILLITARY....haiwezekani....THE STRONGER THE ECONOMY..THE STRONGER THE MILLITARY...simple, period..!!..Jeshi ni PESA....UTAFITI NA MAJARIBIO KIBAO ZA VIFAA VYA KISASA VYA KIJESHI NA KUNUNUA NI BILLIONS OF DOLLARS...!!!!

KAMA ULIKUWA HUJUI NIKUPE LEO...WAR IS THE BIGGEST BUSINESS EVER in the World...!!!

Alafu, RUSSIA imepigana VITA IPI tangia uzawaliwe unakumbuka..!!? unaongea tu

So...kesho nitakujia...

Mkuu .Maziku Masunga Jr. mimi nipo tayari kuwa challenged or criticized - I welcome that! ... after-all at the end of the day kila mmoja wetu atajifunza kitu zaidi as we are exchanging knowledge & ideas na wala si ushindani.

Kwahiyo mimi nina-welcome constructive criticism - mtu aje na facts zake alafu tutaangalia ukweli ni upi.

Mfano mzuri haya yote (hizi habari) niliyoshare na nyie ni kutokana na mdau mmoja anaitwa Mkuu Mr President, yeye kwa mahaba yake kwa US akaja na "Facts" zake kibao kuonyesha namna US ilivyokuwa juu katika masuala ya kiulinzi, kijeshi, kieleimu, kiuchumi, kisiasa, katika silaha na hata kwenye space! ...

Post yake namba 27 hii hapa https://www.jamiiforums.com/international-forum/844394-usa-are-not-able-to-overcome-s-300-air-defense-system-2.html#post12620352

Sasa kwa mahaba yake akatoa alot of details (though hazikuwa sawa & ambazo hazikuwa na sources) - sasa mimi nikaona ni vizuri nitoe my side of facts ili kumuonyesha kuwa US si hivyo kama anavyoamini - sasa uzuri wake at the end of the day JF members wamepata more info kuhusiana na mambo ambayo walikuwa hawayajui or walikuwa wanajua sivyo! - so mtazamo / elimu imeongezeka kwa members!

Sasa kama si member Mr President ina maana tusinge-share haya ... so I welcome constructive critisism as itanifanya na mimi kushare zaidi or na mimi kujifunza! - lakini atleast mtu atoe facts zake za upande wake kwa data na sio maneno ya juu juu tu!

cc: .
Bukyanagandi
 
Kijeshi Marekani haikushindwa huko Vietnam.

Hiyo vita ndani ya Marekani ilianza kukosa mashiko. Watu kibao walikuwa wanaipinga tena kwa sababu za msingi kabisa.

Marekani haikuwa na sababu zozote zile za msingi za kujiingiza katika hiyo vita.

Muhammad Ali aligoma kwenda vitani na akafungwa jela. Martin Luther King Jr. alikuwa anaipinga hiyo vita.

Secretary of State John Kerry naye aligeuka kuwa mpingaji wa hiyo vita. Jane Fonda and the list goes on and on.

Kwa kifupi ni kwamba Marekani haikuwa na political will ya kuendelea na hiyo vita.

Ni vigumu kwa nchi kwenda vitani kama wananchi wengi wanaipinga hiyo vita.

Sasa watu watoto zao, ndugu, jamaa na marafiki zao walikuwa wanakufa huko Vietnam bila hata sababu ya msingi, ya nini sasa kuendelea na vita tena ambayo haiwahusu kabisa?

Sasa watu mnashindwa kutofautisha sababu za kisiasa na zile za kijeshi.

Unajua majeshi ya Marekani yalifanya mambo gani huko Vietnam?
pamoja na kuwa siasa ziliingilia lakini hadi anaondoka ushindi haukuwa karibu. we ulitegemea waseme jamani tumepigwa tunarudi nyumbani?. lazima watafute justifications?. huwezi tenganisha vita na siasa. kwanza kwa sababu migogoro au kutaka umaarufu wa kisiasa ndiyo hupelekea kuanzishwa na kumalizika kwa vita.
 
Ni kweli kabisa Ali aligoma kwenda vitani na akahukumiwa miaka 5 jela na faini ya dola elfu kumi na kuvuliwa taji lake la ubingwa wa masumbwi wa dunia lakini hakufungwa jela. Ali alikata rufaa na kushinda kesi.

Rudia historia: Muhammad Ali refuses to fight in Vietnam war: From the archive, 27 April 1967 | From the Guardian | theguardian.com
 
wakati wa vietnam wamarekani walikuwa wanatupa m16 wanaokota kalash. ni kwa sababu AK zilikuwa bora na marekani hakuwa na counter yake.

Lete ushahidi.

tumblr_mzv0r8tT4P1qfo1wqo1_1280.jpg

U.S. Navy SEAL armed with AK-47 - Vietnam War

MP_Inspects_Captured_AK-47_Vietnam.jpg

A U.S. Army M.P. inspects a Soviet AK-47 recovered in Vietnam, 1968.

ak47.jpg

Hii hapa chini ni clip ya juzi juzi tu hapa kwenye vita vya Iraq.

Wanajeshi wa Marekani walitupa bunduki zao za kimarekani wakaamua kutumia ya Kirusi ya AK 47 as ndio ilikuwa reliable!

Angalia makini dakika ya 2:10 na kuendelea

cc:
.Red Giant Maziku Masunga Jr. Consigliere Chasha Poultry Farm Red Giant Kimweri Aleyn kui Ngongo
 
Last edited by a moderator:
pamoja na kuwa siasa ziliingilia lakini hadi anaondoka ushindi haukuwa karibu. we ulitegemea waseme jamani tumepigwa tunarudi nyumbani?. lazima watafute justifications?. huwezi tenganisha vita na siasa. kwanza kwa sababu migogoro au kutaka umaarufu wa kisiasa ndiyo hupelekea kuanzishwa na kumalizika kwa vita.

Marekani haikupigwa Vietnam.

Ngoja nikupe mfano wa mtu/ majeshi kupigwa.

Tanzania na Uganda ya Idd Amini.

Au majeshi ya Coalition katika vita vya Ghuba mwaka 1991.

Ndani ya Marekani political will ya kuendelea na vita isiyo na tija haikuwepo.

Lakini si kwamba Marekani ilikuwa inatwangwa mpaka ikasalimu amri.
 
Ni kweli kabisa Ali aligoma kwenda vitani na akahukumiwa miaka 5 jela na faini ya dola elfu kumi na kuvuliwa taji lake la ubingwa wa masumbwi wa dunia lakini hakufungwa jela. Ali alikata rufaa na kushinda kesi.

Rudia historia: Muhammad Ali refuses to fight in Vietnam war: From the archive, 27 April 1967 | From the Guardian | theguardian.com

Okay, nashukuru kwa kunisahihisha.

Na kuna wakati alinukuliwa akisema kuwa hawezi kwenda kupigana vita huko Vietnam kwa sababu hakuna Mvietnam aliweahi kumuita yeye 'nigger'.
 
Lete ushahidi.
nina sababu kama zako maana umekuwa pro US kupitiliza. Nyie wengi wenu humu mmeshajipambanua kama antI-USA hivyo hana nikileta hamtabadilisha mawazo yenu.

Sitajihangaisha na kufanya hivyo.
 
Sikilizeni hotuba ya Martin Luther King akielezea sababu zake za kuipinga vita ya Vietnam.

Last edited by a moderator:
nina sababu kama zako maana umekuwa pro US kupitiliza. Nyie wengi wenu humu mmeshajipambanua kama antI-USA hivyo hana nikileta hamtabadilisha mawazo yenu.

Sitajihangaisha na kufanya hivyo.

Basi sawa, tuendelee tu na unazi.
 
Bado uhajanishawishi labda kesho ukija.

You..#Dotworld ...i was busy flying...am a Pilot as wel an Aircraft Engineer...with all due RESPECT...stop being arrogant...MAHABA UNAYAJUA WW...i hv concrete reasons to SHOW US.A is BIGGEST BY FAR COMPARED TO RUSSIA!!" secondly, i wasn't aware this thread is still going on...so acha KUJISIFU HAPA ETI kuna Mr. President ana mahaba....this is kiddish, babish, childish mind...unaona umesifiwa humu....i am coming with HOTTEST ISSUES kukuonyesheni Russia ni mtoto mdogo sana to kwa U.S..

I told unajitapa bure....U.S.A military budget is 50 times RUSSIAN BUGDET per year...( fiscal year)

U.S military budget per year = $ 3.9 trillion dollars

Russian Military budget per yr = $ 68.3 billions dollars

Unaongea nn ww...!? 50 times....acha utoto na mahaba unayosema ni yako...i am busy kesho nitajibu with scientific reasons posts zako, kaa kitako....to show U.S.A ni kitu kingine....Russia ni mchumba tu...Cold War unadanganya ilikuwa compromise...while USSR ilisambaratika na kufa....UNASEMA U.S.A haija win...ur lying...!!!!

USSR ilikufa in COLD WAR....coz U.S.A iliizidi kete.....

So hv patient,...naona umejaa kichwa unasifiwa hulu kwa POSTS ZA RT....u read RT news daily ur illusioned urself....kwanza U.S hawapost post their technology hovyo hovyo....WW unasoma RT news and news papers UNAJAA KICHWA....wait for me....UKIWA NA AKILI KIDOGO TU...UTAJUA MAANA YA HIYO BUDGET NI NN...maana yake ni budget ya jeshi la U.S.A ya mwaka mmoja ni budget ya RUSSIA kwa miaka 50 ijayo.....unajiboost kwa kutokujua...hizi si data zangu ingia ktk google utazikuta..

So acha kujitutumua huku, unapata sifa unajiona...U.S.A ni kichaa tu wa type yako ataweza ilinganisha na RUSSIA kwa kila kitu.....

I hv been to Miami, Orlando, Texas, NC, SC, DC, LA, seattle BOEING cmpny...Portland, Nevada, Atlanta Georgia, ...i hv going in U.S.A for my initial Flight training, and flight reccurent, I know what i speak...but I konw Russia...i went only St. Petersburg.....I AM TELLING HAKUNA NAMNA YOYOTE UTALINGANIASHA U.SA na RUSSIA.......

Russia is just a KID....U.S.A ikisema inapiga nchi yoyote Russia itabaki kuongea tu....Saddam kapigwa, Gadhaffi kauawa, wote hao walikuwa wana support ya Russia...na hazikusaidia chochote...!!! Russia kabaki kulaumu tu....in terrorist combat, RUSSIA kakaa kimya tu...hajajitokeza hata sehemu yoyote DUNIANI kupambana na ugaidi wowote....PUTIN NI DICTACTOR.....BIGGEST THIEF...na unajua hilo....ni Rais Tajiri kuliko wooote Duniani...muuaji na dictator...

Russia ulisikia ilitoa RESCUE MISSION YOYOTE DUNIANI...!? I know unajigamba sbb unaona Putin labda ni SHUPAVU...but ni SHUPAVU WA KUUA viongozi wa kipinzani Russia na wanaompinga sera zake...!", His Policies and Politics are of DICTATORSHIP government....!!!! Sasa hv nakuhakikishia, U.S.A ikisema inapiga Iran, i tell u, Russia will shut up...!!! Russia hawana NGUVU za kulingananisha hata kidogo tu na USA.....ungeniambia
USSR kidogo ningekukubalia, of which tht now is HISTORY, US won COLD WAR..., sio sasa hv Russia haina huo uwezo....!!!

Ukisema electronic warfare.....ambayo mnasema Donald Cook was buzzed by Russian Sukoi jet...THT IS VERY NORMAL TECHNOLOGY....iam an COMPETENT AVIATOR....tht is JAMMING ONLY ELECTRONICS USING STRONG ELECTRONIC SIGNALS.....nothing so peculiar...

All 5th Generation Stealth warplanes, all they ARE EQUIPPED with AVIONICS JAMMING TECHNONOLGY for an intruder aircraft or vessels....tht we know....sio issue, ni kuongeza nguvu za signals za avionics to jam other electronics DEVICES.....nikupe mfano....Rais wa U.S.A hata akija nchi mbalimbali, SIMU eneo loote za Jirani zinakuwa hazina mtandao....kama 30 au 45 mins later ndio cm zenu zinaanza kupata NETWORK...yoote ni Electronics games.....nothing special....

So...kesho nitakujia...
 
Marekani haikupigwa Vietnam.

Ngoja nikupe mfano wa mtu/ majeshi kupigwa.

Tanzania na Uganda ya Idd Amini.

Au majeshi ya Coalition katika vita vya Ghuba mwaka 1991.

Ndani ya Marekani political will ya kuendelea na vita isiyo na tija haikuwepo.

Lakini si kwamba Marekani ilikuwa inatwangwa mpaka ikasalimu amri.
nchi kupigwa siyo mpaka ipigwe na mji mkuu uchukuliwe au front yako irudi nyuma. wengine kupoteza ndege 10,000 na watu 50,000 ni kupigwa. kwenye saikolojia kuna kitu tunaita frustration. ni state of mind impatayo mtu baada ya kushindwa kufikia malengo au kitu alichotarajia kwenda ndivyo sivyo. mtu aliyekuwa frustrated hureact kwa njia mbalimbali kama apathy, compensation,aggression, rationalition etc. rationalization ni kusema sizitaki mbichi hizi. marekani ghafla akasema hamna cha kupata vietnam! alienda kuzuia ujamaa usisambae na kugawa vietnam kama korea. alipoona mashamba ya mpunga yanawaka moto akasema sizitaki mbichi hizi.
 
nchi kupigwa siyo mpaka ipigwe na mji mkuu uchukuliwe au front yako irudi nyuma. wengine kupoteza ndege 10,000 na watu 50,000 ni kupigwa.

Hebu taja na losses za Vietnam basi. Wavietnam wangapi waliuliwa?
 
Mr president hauhitaji kuwa mchumi kuchambua hiyo budget ilihali Russia asilimia kubwa za military hardware ni home made maana resource nyingi wanazo basi hiyo budget ni sawa au kuzidi kidogo marekani economically, mr president hata mtu aliyemaliza form 4 anaweza kuwa pilot hela tu, na je unahisi aegis system haina anti jamming, don't be fool, muache dotworld aje na facts
 
Back
Top Bottom