Hiyo B - 2 bomber ilitunguliwa kwenye vita ya ya Yugoslavia sasa nashangaa kuna watu wanasema hakuna nchi inaweza kuitungua kuna watu wanamahaba na USA kuliko wamarekani wenyewe.
Ahsante DOTCOM kwa kuendeleza darsa maridhawa ambalo kusema kweli kwa data unazomwaga asiyeelewa basi huyo ana genes za ujinga na si shule iliyomfundihsha ujinga.
kui, source ya hizi zinazoitwa data/facts ni US hiyo hiyo...tafakari! (Dokezo: unakumbuka kabla ya Operation Desert Storm? Jinsi data kutoka US zilivyomjenga Sadam Hussein na askari wake wa jangwani? Jinsi watu walivyosema safari hii Marekani imemeza isichoweza kutafuna? In the end Iraq pulled out of Kuwait but was that the end? No, after making sure they had no further us of him, years later they got another reason to make sure his regime ended!)
kui, source ya hizi zinazoitwa data/facts ni US hiyo hiyo...tafakari! (Dokezo: unakumbuka kabla ya Operation Desert Storm? Jinsi data kutoka US zilivyomjenga Sadam Hussein na askari wake wa jangwani? Jinsi watu walivyosema safari hii Marekani imemeza isichoweza kutafuna? In the end Iraq pulled out of Kuwait but was that the end? No, after making sure they had no further us of him, years later they got another reason to make sure his regime ended!)
Dotworld, any sensible person would try to avoid wars. Siamini kabisa kwamba Russia ndio kinara wa military technology in the world. Wana balance na wenzao wengine....
By Mag3kui, source ya hizi zinazoitwa data/facts ni US hiyo hiyo...tafakari! (Dokezo: unakumbuka kabla ya Operation Desert Storm? Jinsi data kutoka US zilivyomjenga Sadam Hussein na askari wake wa jangwani? Jinsi watu walivyosema safari hii Marekani imemeza isichoweza kutafuna? In the end Iraq pulled out of Kuwait but was that the end? No, after making sure they had no further us of him, years later they got another reason to make sure his regime ended!)
Bado pamoja na unayoyasema, Urusi sio Iraq mkuu.
Huyo Mkuu niliona comment yake ... jibu lake ninalo nilikuwa busy tu nkashindwa kumjibu - ila ntamjibu tuIt wasn't "reason" it was a lie, tell the truth.
Unauhakika gani na unachosema eti B52/B2 haionekani kwenye Rada? - alafu unasema eti Russia na China hawawezi kuziona!
Sasa mimi kukujibu lets forget kuhusu Russia na China - ntakujibu swali lako kupitia nchi ya Vietnam wakati akipigana na US.
Unajua during the Vietnam War, thousands of U.S. aircraft were lost to antiaircraft artillery (AAA), surface-to-air missiles (SAMs), and fighter interceptors (MiG)s. The great majority of U.S. combat losses in all areas of Southeast Asia were to AAA.
The Royal Australian Air Force also flew combat and airlift missions in South Vietnam, as did the Republic of Vietnam. Among fixed-wing aircraft, more F-4 Phantoms were lost than any other type in service with any nation.
In total,
- The United States lost in Vietnam almost 10,000 aircraft and helicopters, excluding number of UAVs.
- South Vietnam's army lost 2,500 aircraft and helicopters, excluding number of UAVs.
- North Vietnam lost 150 - 200 aircraft and helicopters.
Sasa pata picha nchi ya Marekani inapoteza ndege 10,000! katika vita moja tena na nchi ndogo tu kama Vietnam! - unafikiri zilikuwa zinaangushwa kwa Manati?!
Hizo unazozisifia B-52 Stratofortress - zimeangushwa zaidi ya 19 total ingawa Marekani wanadai eti zilikuwa 16 tu! - wanaficha aibu - sasa Vietnam kwa kutumia Antiaircrafts za Warusi (ambazo walipewa Inferior) waliweza kutungua B52 19 pamoja na ndege nyingine 10,000!
![]()
Matukio yaliyoyahusisha hizo B52 zako ni kama 2 B-52F 57-0047 and 57-0179 (441st Bomb Squadron, 320th Bomb Wing)na hii ilikuwa tarehe 18 June 1965, South China Sea ingawa Marekani wanajitetea kuwa eti shambulio lilitokea wakati wa air refueling ambapo jumla ya Wanaanga 8 kati ya 12 walikufa.
Kuna tukio lingine la B52 ambapo ndege ya B-52D 55-0056 (307th Bomb Wing Provisional) ilitunguliwa na SAM mnamo 4 January 1973, katika hili tukio walifanikiwa kuwaokoa Wanaanga wao, tukio/B52 ilitunguliwa katika Gulf of Tonkin
![]()
Soviet specialists inspect the wreckage of the B-52 Stratofortress was shot down near Hanoi December 23, 1972
![]()
![]()
SA-2 SAMs that were used against US bombers over North Vietnam
![]()
SA-2 SAMs that were used against US bombers over North Vietnam
![]()
Haya angalia hii Video ya kutunguliwa kwa B52 yako huko Vietnam
Sasa wewe jiulize kama Vietnam alizitungua B52 kwa old tech tena kwa kutumia SA-2 SAM, je kama angekuwa na hizi s-300! na je alizionaje hizo B52 kwenye Rada wakati huo? kwa old tech na sasa kuna New tech ashindwe kuziona na kuzitungua ndege zile zile kwa kutumia New Tech?!
Sasa umeona, jibu la swali lako linajibiwa na Vietnam tu wala hatujishughulishi na China wala Russia! -
Unafikiri US kukimbia Vietnam ilikuwa kwa kupenda?! - wewe ukifungua hata Wikipedia watakuambia kuwa US walipoteza ndege 10,000 (nimekuwekea link hapo chini)... imagine ndege tu 10,000! - sasa hiyo ni tech ya zamani ya Mrusi ... Je sasa? - au unafikiri kila nchi ni Iraq?!.
Read More:
. Aircraft losses of the Vietnam War - Wikipedia, the free encyclopedia
. First B-52 shot down over North Vietnam - Nov 22, 1972 - HISTORY.com
.
cc:
Bukyanagandi Elungata mng'ato Extraterrestrial Gagnija JustDoItNow Bongolander 2013 sodoliki mnyikungu MALCOM LUMUMBA Maziku Masunga Jr. Consigliere Chasha Poultry Farm Red Giant Kimweri Aleyn kui Ngongo mnyikungu Viva89 GAUTAMA PTER RealMan FaizaFoxy SirChief Maswala 1954 PHILE1879 kui 2013 The mountain lion Phillemon Mikael Mr ceragem Ndahani Kimweri Red Giant yonga Bill Cosby Aleyn Bulldog MBULAMATALI Mr. President ze kokuyo Chasha Poultry Farm Ngaramtoni Pianist gwijimimi Dragoon Noel 2014 Mdau TUJITEGEMEE
.
Pamoja Mkuu MBULAMATALI ... lakini wakati una-reply Post ndefu - Usi-quote post nzima! - inakuwa ndefu sana...
Mkuu Dotword hakika hili sio jukwaa lako,ww ni levo nyingine kabisa!
Nimependa the way unavyoshusha data!
Ila kama kawaida yetu Wabongo hatuachi kubisha tena bila mifano!
Tunazisubiri articles zako ambazo zimeandikwa ama na 'pro -US' ama na 'neutral ground'....
Tatizo watu humu wanaleta articles zinazoandikwa na watu walio anti-US na kudhani huo ndo ukweli pekee.
...
Habari gani zinifikie?
Nishasema humu ikija kwenye conventional warfare hakuna aliye karibu na Marekani hata kidogo.
Zilizobaki ni porojo za kinazi tu.
Wewe ndo huoni bwana dhahani ni kwa sababu unaangalia sana western main stream media, jaribu kidogo ku tune RT, wapo sehemu nyingi sana
wakati wa vietnam wamarekani walikuwa wanatupa m16 wanaokota kalash. ni kwa sababu AK zilikuwa bora na marekani hakuwa na counter yake.Urusi siyo kinara wa teknolojia ya zana za kivita.
Kwangu Marekani ndo kinara na sababu ziko wazi kabisa.
Tatizo watu humu wanaleta articles zinazoandikwa na watu walio anti-US na kudhani huo ndo ukweli pekee.
Ni sawa na ukutane na mtu ambaye source ya habari zake ni gazeti la Uhuru na anaamini mazima kila asomacho kwenye gazeti hilo.
Hivi mtu kwa akili yake kabisa anaweza kudhani kwamba Urusi wanaweza kuwa na zana ambazo US hana counter yake?
Seriously?
mbona conventional war ya vietnam ilimshinda hadi akaanza kufikiria kutumia tactical nuclear weapons? mkuu Dotworld sikujua kama jamaa walipoteza ndege nyingi hivyo! 10,000!. sasa walitaka wapoteze ngapi ili waamini nothern vietnam ni no fly zone kwao?.
wakati wa vietnam wamarekani walikuwa wanatupa m16 wanaokota kalash. ni kwa sababu AK zilikuwa bora na marekani hakuwa na counter yake.
Tunazisubiri articles zako ambazo zimeandikwa ama na 'pro -US' ama na 'neutral ground'.