Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,516
- 1,404
Una matatizo ya akili wewe!Mkuu, ni vigumu sana kwa mtu kama huyu kujizuia kububujikwa machozi, jamani naanza kulia sasa...!:shock:
Una matatizo ya akili wewe!Mkuu, ni vigumu sana kwa mtu kama huyu kujizuia kububujikwa machozi, jamani naanza kulia sasa...!:shock:
Ni masikitiko makubwa kwa wale waliopenda na wanaopenda nyimbo za bibie W. Houston hatunae tena.
Source:Singer Whitney Houston Found Dead | Fox News
RIP whitney...bobby alichangia lakin ndio hivyo tena mwenyewe alipenda boga na uwa lake ...RIP W.Houston.Bobby alichangia sana kuharibu maisha yake huyu nguli.
Rutashubanyuma... This is a wonderful thread... Pleeeeease naomba nitoe opinion, If you don't mind stick to pics na short comments and don't post long posters radher basi uweke link na kwenye mabano usema link ina habari gani.... I love the pics... napenda mpangilio wako from since she was young for twaona the transformation as time swept by.... Thank you for the wonderful Pics...