Kama nimekusoma vyema, una maanisha huo nao tayari ulikuwa ni mtihani....Ukweli mkuu nipo kwenye game muda mrefu tu wa kutosha, nimeitwa kwa interview kibao na hata zingine zikiwa ni phone conversation na i did well. Iweje leo tu, wakati huo huo nimeshawahi kuitwa na watu hawa hawa nikafanya nao interview?.
Pia iweje wachelewe watu wengine kama mimi waliokuja on the same interview? Walinzi wamethibitisha hilo.
Faizafoxy nafikiri mtazamo wako ni finyu. Kama uko Tanzania na umewahi kuomba kazi serikalini, sekta binafsi ama hata katika mashirika ya kimataifa utakuwa na mtazamo tofauti na ulichomjibu Revolutionist.
Kwa mtazamo wangu kama umeshawahi kuitwa "kwa interview kibao" na bado unajisifu kuwa you "did well", nadhani una matatizo. Wanaofanya "well" kwenye "interview" sioni sababu ya wao kufanya "interview kibao", moja tu inatosha na wanakuwa wapo kazini, sasa hizo "kibao" za nini tena. Hukufanya "well" katika "interview kibao" ndio maana zikawa "kibao". Nadhani nimeeleweka.

Nilipata kazi sehemu fulani baada ya yule waliyemuaanda kuikataa,japokuwa nilifanya 'well' katika usaili kumzidi.,nilielezwa na kigogo mmoja wa hapo..
Kwa mtazamo wangu kama umeshawahi kuitwa "kwa interview kibao" na bado unajisifu kuwa you "did well", nadhani una matatizo. Wanaofanya "well" kwenye "interview" sioni sababu ya wao kufanya "interview kibao", moja tu inatosha na wanakuwa wapo kazini, sasa hizo "kibao" za nini tena. Hukufanya "well" katika "interview kibao" ndio maana zikawa "kibao". Nadhani nimeeleweka.
Huyu anayejiita fox ni zezeta kwani hayo si majibu ya kumpa revolutionist kwani wewe hujawahi kufanya interview zaidi ya moja au wewe ni yale mazezeta ambayo yamekaa tu. nasema hivyo kwa sababu interview nyingi kwa sasa hivi does not depend how bright your but whom you know ndio maana nilikwambia inawezekana wewe ni zezeta ambalo lipo nyumbani hivyo ujaface hizo challenge pole revolutionist
NANU: Kuna vitimbi sana asikwambie mtu, nchi hii inahitaji overhaul ya system yote, na hii inahitaji mtu mwenye moyo wa kidikteta kuweza kuyafanya haya. Unapoambia system imekuwa corrupt its everywhere, hapa tunahitaji neema ya sir God mwenyewe tu. Kuna uozo mwingi sana kwenye hizi ofisi. Siku hizi wanamsemo" its is not a matter of what you know but who knows you" sasa ukishasikia hilo unategemea nini hapo. Sisi wenyewe tumekuwa mashahidi, pale unapopokea simu toka kwa rafiki, ndugu anakupa taarifa ya kazi/ajira kabla hata haijatangazwa, sasa tell me kwa HR ambaye anahusika moja kwa moja inakuwaje?
Note: Kutokana na hoo post niliyoweka hapa, kwa taarifa tu ni kwamba tumegundua vitu vingi sana katika ofisi niliyotolea malalamiko haya, watu ambao wamewahi kufanya huko wametupa habari za ndani na upuuzi unaoendela na kuendelezwa na Watz wenzetu.