Us embassy na vioja vya baadhi ya wafanyakazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Us embassy na vioja vya baadhi ya wafanyakazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by KasomaJr, May 3, 2011.

 1. KasomaJr

  KasomaJr JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Habari wana JF.
  Leo nakuja na story hii: Muda huu nikiandika ujumbe huu natoka Ubalozini kwa lengo la kufanya usaili (Interview) wa kazi. Ijumaa ya tarehe 29 April majira ya saa 4 asubuhi nilipokea simu ya kupewa taarifa. Taarifa ilikuwa hivi"
  Us Embassy: Are you Mr.....?
  Mimi: yes..........
  Us Embassy: Did you applied for ......job,
  Mimi: Yes i did
  Us Embassy: Your required to attend the English language test (interview) on Tuesday 2nd May around 11am, we advise to be there at least 15 minutes before time, the interview will last for 1 hrs.
  Mimi: Ok. Thank you and i appreciate for your consideration:

  Nilichofanya: Niliandika kwenye Diary yangu kwa kumbukumbu, masaa 2 baada ya simu hiyo nikastuka tarehe na siku vinatofautiana, nikajaribu kupiga simu kupata uhakika tena, bahati mbaya simu haikupatikana. Niliamua kwenda Ubalozini jumatatu kwa malengo mawili, 1. Kuhakiki tarehe, siku na muda. 2. Kama nitakuta kuna interview kwa maana ya tarehe 2 April nitafanya. Nilifika receiption nikaeleza shida yangu na walipoangalia database yao waliona jina langu na nilikuwa scheduled Tuesday 3rd April na wakasema interview ipo kuanzia saa 2 asubuhi mpaka 8 mchana. (Nili note kwamba kama interview ni ya saa 1, basi tutakuwa katika ma group tofauti na mimi nitakuwa kwenye ule muda niliotajiwa tangu mwanzo)

  Leo nimekwenda kwa maana ya kuzingatia muda ule wa saa 5 asubuhi. Nimefika hapo nikaambia nimechelewa na wenzangu wanakaribia kumaliza. Nikahoji iweje nimechelewa na muda nilioambiwa ndo huu? na hii si mara yangu ya kwanza kuitwa kwa interview hapa. Wakaomba wacheck then watanipa mrejesho nyuma (Feedback). Baada ya 5 minutes nikaambiwa tunasikitika mtu uliyewasiliana nae anadai alikwambia ufike saa 4 asubuhi na interview itaanza saa 4:15 mpaka saa 5: 15 asubuhi hivyo umechelewa.

  Observation:
  Nilipoongea na walinzi walionyesha nyuso za mashaka flani, na wakasema kuna wengine wamerudishwa kwa sababu kama hiyo hiyo-kuchelewa. Na walioingia kwa interview ni watu 12 tu.
  Swali: Hivi ule uzushi na zengwe tulilozoea huku uswahili kwetu (Private sector i.e. NGOs, Companies, na mpaka serikali) imeshafika mpaka kwa wenzetu? na kama ni hivyo, ni kwa sababu tu wanaofanya kazi huko bado ni watanzania wenzetu au kuna uzembe flani kwa baadhi ya wafanyakazi hapo Ubalozi?
   
 2. inols

  inols JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Pole sana Mr. Revolutionist, inasikitisha kama kweli hili limetokea. Kwani si mahali ambapo ungetemea kukutana na communication breakdown, wakati mwingine uwe unarekodi km wanaruhusu kuingia na simu. Kwa kuwa huku ni kupotezeana muda na mipango ya siku, na kwa hili wanawajibika kukuomba msamaha. Anyway ndio duniani tunayoishi miyeyusho hipo kila mahali as long as we are all human beings irrespective of our races we are liable to mistakes, but we ought to admit and apologize.
   
 3. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  duh... walikuwa tayari na mtu wao hawakutaka kukupotezea muda!!
   
 4. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  it depends on whom you know, not what you know.....
  TIA-this is africa, the land where civilization dies.
   
 5. KasomaJr

  KasomaJr JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Asante mkuu, ukweli immedietely ili click kwenye mind....kuna haja ya kuwa tuna record simu muhimu ambazo later tutahitaji kuthibitisha. Anyway yote maisha mkuu.
  Huwezi amini program yangu ya siku imepotea, i wasted my time, energy and financial resources....then results ndo kama hizo.
  I appreciate Inols
   
 6. KasomaJr

  KasomaJr JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ur absolutely true bro. It's very confusing. Database shows Interview was scheduled from 8pm to 2pm, at the same time at 11:20am am told they are almost done. At the same time again, i was told i will last for 1hr.i.e. from 11:15am-12:15am.....pagumu sana.
   
 7. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Dah pole,
  Si unajua pale na waswahili wapo? Ndio tatizo hilo.
   
 8. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  nchi hii imegubikwa na uzandiki, kuanzia waswahili hadi wazungu
   
 9. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  wazungu tunawaharibu sisi wenyewe waafrika tusivyopendana!! wanatoka kwao wapo safi, wakikaa nasi mwezi mmoja wanakuwa wameshajua kila kitu kinavyoonda
   
 10. Mdau Mkuu

  Mdau Mkuu JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 236
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  pole sana!
   
 11. VISIONEER

  VISIONEER Senior Member

  #11
  May 3, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Masikini pole sana,inabidi waweke utaratibu wa kupewa barua ya kukualika kwenye interview,hiyo itasaidia kuondoa usumbufu kama huo.   
 12. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,645
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  pole mkuu..
   
 13. Jaxx

  Jaxx Senior Member

  #13
  May 3, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana kaka,,in short huo ni ubongolism, hata mm nimewahi kuomba kazi Co. flani hapa bongo tena online baada ya 5 days nikapata email hii... Thank you for your recent application for the role of ....... at ...... I am now reviewing your application with the relevant Line Manager and will be back in touch shortly.

  Yours sincerely,
  ...baada ya cku 9 nikapata email hii..
  Thank you for attending for interview for the post of ........ with ....... .
  The calibre of the interviewees was very high on the day, which made making the final decision very difficult. It is with much regret that I must inform you that you were unsuccessful on this occasion.
  Many thanks.....for your interest in the position and I would like to wish you every success in your future career.
  Kind Regards,

  ......
  Wakati mm ckuwahi kuitwa kwenye interview na wao hata cku moja
  Haya yatakwisha lini???
   
 14. Nyami2010

  Nyami2010 JF-Expert Member

  #14
  May 3, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pole sana Mhe na hongera sana!. Umshukuru Mungu kwa maana amekuepusha mabaya. Binafsi sipendi kufanyia kazi eneo ambalo muda wote unakuwa monitored! Kuna nyakati baadhi ya wafanyakazi wanasindikizwa bila kujua!
   
 15. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #15
  May 3, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha kwa hilo nitaku PM kuhusu hapo mie nilipatwa na kisanga cha kutisha sana hapo
   
 16. s

  sirmudy JF-Expert Member

  #16
  May 3, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35

  Kama ubalozi huu uko bongo, basi utaendeshwa kibongo kibongo tu...., na hiyo ni moja ya supporting evidence, Thanks mdau kwa kutufahimisha, siku nikiitwa mie nitawahi saa 12 asubuhi pale, hlf wajue kama uchakachuaji si mzuri!
   
 17. kasitile

  kasitile Member

  #17
  May 3, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana mkuu,naamini liziki yako iko palepale.
   
 18. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #18
  May 3, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kulikuwa na breakdown ya communication hapo. Walipokupigia simu walikuambia interview itakuwa "Tuesday 2nd May around 11am" which is wrong because tarehe 2 May ilikuwa Jumatatu. Kuna possibilities mbili hapo. Either wewe hukusikia vizuri or aliyekupigia simu alikosea kwa kukusudia au kutokusudia. Aliyekupigia simu alikuwa anaongea Kiingereza chenye accent ya kimarekani au ya kibongo? At the end of the day, only records of the conversation will enable us to know who made the blunder. Lakini kuna issue nyeti zaidi which need to be explored.

  Unasema ulipoenda ubalozi walikuambia kuwa interview itakuwa Tuesday 3rd April. Ina maana mwezi mmoja nyuma? Au ulimaanisha Tuesday 3rd May? Whatever the date, pia walikuambia interview itakuwepo kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 8 mchana. Nilivyoelewa hapo ni kwamba huo ndio muda uliopangwa siku hiyo kwa ajili ya interview. Kila mtu hapo atakuwa alipangiwa muda wake.

  Wakati ulipokwenda ubalozini kwa mara ya kwanza kwa nini hukuwaliza pia interview yako itakuwa saa ngapi? Kama tarehe waliokupa mwanzo ilikuwa imekosewa, then it is also likely that muda wako wa interview utakuwa ulikosewa pia. Inaonyesha ulichofanya wewe baada ya kupewa tarehe mpya, ulidhani muda wa interview utakuwa ule ule uliopewa mwanzoni kwenye simu (11am). Kwa nini uliuamini huu muda uliotajiwa mwanzoni kama ni sahihi? Why did you only verify the date but not also the time for the interview? Pia umesema uliambiwa interview intaanza saa "11:15am-12:15am"? Una maana kuanzia saa tano asubuhi mpaka saa sita za usiku? I am lost here.

  Na huyo mtu ambaye wanasema aliwasiliana na wewe kukuambia ufike saa 4 asubuhi na kuwa interview itaanza saa 4:15 mpaka saa 5: 15 asubuhi ni yupi? Ni yule aliyekupigia simu au ni yule aliyekupatia tarehe mpya ulipokwenda ubalozini?

  My observation ni kwamba kama ulienda ubalozini kuverify tarehe sahihi ya interview (ambayo ulipewa) lakini hukuverify pia muda wa interview (ukidhania kuwa muda uliombiwa mwanzoni kwenye simu ni sahihi) then, you should also carry the blame.

  Posts zako nyingine pia zinanichanganya. Umesema kuwa the "Database shows Interview was scheduled from 8pm to 2pm, at the same time at 11:20am. am told they are almost done. At the same time again, i was told i will last for 1hr.i.e. from 11:15am-12:15am" Una maana kuanzia saa mbili usiku mpaka kesho yake saa nane mchana? Hata kama ulikuwa unamaanisha from 8am to 2pm, still huo ndio muda waliokuwa wameutenga kwa ajili ya interview ya watu wote, na sio wewe tuu. Interviews zinawezwa kumalizwa kabla ya muda uliopangwa kulingana na idadi ya interviewees waliohudhuria.

  Pia nashangaa watu wanatoa pole tuu bila hata kusoma jinsi mtoa mada anavyojichangaya kwenye posts zake. Kama interview yenyewe ingekuwa na maswali ya kuandika saa kwa kingereza, then kwa mantiki hii sidhani kama ungepita. I am sorry for sounding so cruel but I am responding to what you wrote. Otherwise, you need to clarify what you said above especially the times.
   
 19. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #19
  May 3, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 738
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  mmh! Good observation.
   
 20. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #20
  May 3, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Hah haa haaaa! Ulifanya mkuu hapo?
   
Loading...