Wewe mwenyewe umejichanganya, ile post yako ya mwanzo (kama hujai edit bado) ilikuwa hovyo hovyo, kwa msingi huo, sijui nani atakupa kazi. Uwe makini kwa unayo yaandika, ndio yana reflect ulivyo. Halafu ubalozi wa Merekani unaweza uka complain kwa maandishi na yakasikilizwa, fanya hivyo.
Bila shaka u mfanyakazi wa ubalozi, mbona hii ishu umeivalia kaptula?:biggrin1: