Faida na hasara za Teknolojia

Candela

JF-Expert Member
Aug 12, 2021
628
1,648
Nimekaa nikawaza nikaona kuna mambo mengi hayako sawa.

1. Zamani antenna ya analogy ile masikio ilikuwa inajizungusha yenyewe signal zikipotea unabonyeza tu kitufe. Hizi za sasa mpaka uipandilie huko juu uzungushe mwenyewe.

2. Smartphone ukitumiwa meseji saa 4 asubuhi hauko hewani, ukawasha simu badae saa 7 mchana, itasoma muda iliongia kwako ndio muda iliotumwa, yaani sent saa 7 na recieved saa 7. Kwenye kitochi Itasoma sent saa 4 recieved saa 7.

3. Umesajili namba kwa NIDA na ukipiga customer care wanataka uthibitishe kama ni wewe. Kama sio mie huyo anaepiga kidole changu katoa wapi?

4. Weka yako

Ila point ni kuwa baadhi ya maendeleo ya Teknolojia yanapoteza vitu muhimu sana.
 
Mkuu no3 nakupinga maana kuna ma wakala sio wakweli na sio waaminifu atasema weka Tu kidole siju mtandao umekataa kumbe kuna namna yeye anafanya kusajili namba zingine kupitia namba yako ya NIDA
 
Issue sio uaminifu, unataka kusema mitandao inajua watu wanasajiliwa na NIDA za watu ndio maama wanauliza , kwa wamehalalisha
 
Hapana hiyo ni kawaida mkuu, mfano ukiwapigia wa visimbusi unatamka kila muda jina lako kamili na namba yako,ndo utaratibu
 
Nimekaa nikawaza nikaona kuna mambo mengi hayako sawa.

1. Zamani antenna ya analogy ile masikio ilikuwa inajizungusha yenyewe signal zikipotea unabonyeza tu kitufe. Hizi za sasa mpaka uipandilie huko juu uzungushe mwenyewe.
Hata kwenye digital inawezekana kuna madishi kibao yapo Automatic ni UMASIKINI wetu tu, hata zamani Antena wengi walizungusha manual ama kutengeneza za kienyeji badala ya kutumia za Automatic.
2. Smartphone ukitumiwa meseji saa 4 asubuhi hauko hewani, ukawasha simu badae saa 7 mchana, itasoma muda iliongia kwako ndio muda iliotumwa, yaani sent saa 7 na recieved saa 7. Kwenye kitochi Itasoma sent saa 4 recieved saa 7.

3. Umesajili namba kwa NIDA na ukipiga customer care wanataka uthibitishe kama ni wewe. Kama sio mie huyo anaepiga kidole changu katoa wapi?

4. Weka yako

Ila point ni kuwa baadhi ya maendeleo ya Teknolojia yanapoteza vitu muhimu sana.
No 3 anaweza mtu aka chukua simu yako akapiga customer care wasipohitaji uthibitisho si utaibiwa kirahisi rahisi tu.
 
Back
Top Bottom