US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Luo Ltd its all good,acha pressure lakini obama is not yours,we're all behind him ,lakini bad news ni pale Republican machine ikianza with relentless attack sijui tutafanya nini? mungu wangu saidia maana swift boat ilichofanya kwa kelly god knows,lakini namwamini Obama knows this is coming and is ready to shoot back,whenever i remember ile coup ya supreme court against Gore naumia sana...this time is a no no no !
 
babu ataka kusema if obama is goin to win tommorrow,Hillary asahau New York & California...kule kuna watu wana make sense na wako color blind & Democrats establishment amabako ndio tegemeo la Hillary...i like obama sio kwa sababu ni mweusi lakini i've a very good memory with Illinois where is the senator(wierd but true),i love Chicago mazee,nili enjoy sana pale!
 
babu ataka kusema if obama is goin to win tommorrow,Hillary asahau New York & California...kule kuna watu wana make sense na wako color blind & Democrats establishment amabako ndio tegemeo la Hillary...i like obama sio kwa sababu ni mweusi lakini i've a very good memory with Illinois where is the senator(wierd but true),i love Chicago mazee,nili enjoy sana pale!

Swali kubwa linakuja Je Mama ana fedha za kutosha kupiga kampeni New York na California? maana mpaka sasa wanasema ana kati ya $ 15-25 Milion left on hand.Fundraiser wanakuwa wagumu kidogo kutoa.
 
down to the wire, vote kuanza kuvurumishwa in granite state in one hour twelve minutes.......tommorow this time, campaign ya clinton itakuwa kwenye "life support machine" nyang'anyang'a inapumua kwa cheyne stokes!!!
 
Wapopo dizaini watakuwa na kikorosho kwa vile hana asili ya kwao....
 
nyie vijana wa North east siamini wazungu wenu ingawaje they are considered most liberal..hebu niambieni kama mama ana chochote amebakiza!
 
Luo Ltd its all good,acha pressure lakini obama is not yours,we're all behind him ,lakini bad news ni pale Republican machine ikianza with relentless attack sijui tutafanya nini?

Koba,
1.Obama atafika mbali na safari ya mbali inaanza kwa hatua moja,mbili .. na kuendelea.

2. Mimi ni mjaluo kwa kabila kama Obama lakini siyo mmarekani wala sitakuwa wala sitaki kuwa mmarekani. Kwa hilo Obama is not mine - I do agree! La ujaluo linaongeza ushabiki tu lakini sote tuko nyuma yake kama mweusi mwenzetu!

3.Watakao mmaliza Obama watakauwa hao wanaosema he is not black enough, hao ndugu zake weusi. Republican machine itawatumia hao weusi kumchafua kama vile kina Armstrong Williams; Si unakumbuka alivyopewa pesa kiduchu kumpigia Bush debe kuhusu program yake fake ya "No Child Left Behind" akafukuzwa CNN!

Hata sasa hivi huyo jirani yako Magic Johnson yuko NH anampigia debe HRC. Weusi ndio watatumiwa kummaliza kama litatokea. Hebu ona hao ma-star weusi wanapondana ile mbaya na wanamwona Obama kama vile mimi na wewe tu - Not American Enough (NAE. Juzi kwenye kwa kuusherekea mwaka mpya kwenye restraunt moja hapa kwetu tukawa tunaongea kijaluo na tunacheka na mke wangu tukisubiri huduma, basi pembeni ndugu zetu weusi watatu wakatusalimia "Jambo" mimi nikawajibu "Jambo sana". Wakaniuliza kuwa tunaongea kiswahili kipi mbona tofauti na wanachokijua, basi nikawajibu kuwa ni Kijaluo. "What language is that" yule aliyetusalimia kiswahili; nikawajibu kuwa hiyo ni lugha ya baba yake Obama, basi ndugu yangu ikawa kama nimewamwagia maji ya barafu, jibu likawa "OK!", na mawasiliano yakaisha palepale nasi tukaendelea kukichapa kijaluo makusudi na vicheko. Hata walipoondoka hatukuagana wakati meza zetu zilikuwa jirani.

Kwa hivyo tumwombee ndugu yetu Inshallah kesho amkungute HRC na kumweka sehemu yake maanake mama mzima kachanganyikiwa, mume BC ndiye basi tena hasikiki wala kuonekana (sijui anafukuzia totos) na hadi leo jioni Obama alikuwa anaongoza kwa double digits >> 15%.

Hebu sikiliza VOA na msikilize HRC akitoa machozi .. kaishiwa points [media]http://www.voanews.com/mediaassets/english/2008_01/Audio/Mp3/LCR%20Buel%20New%20Hampshire%20Democrats%202344652%20010708%20vb.Mp3[/media]

Alamsiki

BTW Koba, Jaluo Jaluo tu; awe Kenya Tanzania au Marekani - (JJ = Jaluo Jeuri)
 
mama kwisha habari yake.......southern New Hampshire, miji kama Portsmouths, Dover, Nashua, Bedford, Derry, Rochester, Seabrooke, Salem nk technically ni suburbs za "greater metropolitan Boston".....Tuna gavana mweusi hapa Taxachussetts, wazungu wetu hapa wanaangalia "substance" na sio rangi!!!. Harvard Square inafagiliwa ile mbaya......so,toa wasi2, ndugu zetu wazungu wata-deliver. Victims in NH kesho ni Mitt na Clinton, watu wamechoshwa kutawaliwa kiukoo. Since 1982 hadi hii leo, kumekuwa na Bush au Clinton kwenye WH, why?? Mitt, m-sure alikuwa gavana Michigan na kugombea uraisi(he failed kwenye primaries), lakini why yeye kwanini sio wengine?. Umeona "political stunt" ya clinton leo?? absurd!!........na enjoy sana hii kitu!!.
 
Haya haya mambo yameanza:

Kura za mwanzo - Dixville Notch NH
Turn out 100% ambayo ni wajumbe 17
Obama 7
MaCain 4
Hilary Clinton 0 pamoja na kulia na kujidai anafanya mazoezi ...
Wengine wote waliobaki wamegawana hizo 6

Baraka ananza kufanya mambo yake!
 
Haya haya mambo yameanza:

Kura za mwanzo - Dixville Notch NH
Turn out 100% ambayo ni wajumbe 17
Obama 7
MaCain 4
Hilary Clinton 0 pamoja na kulia na kujidai anafanya mazoezi ...
Wengine wote waliobaki wamegawana hizo 6

Baraka ananza kufanya mambo yake!

Hapa Patamu!!!Political Map inakuwa redrawn

The first people to cast ballots in New Hampshire favored Republican Sen. John McCain and Democratic Sen. Barack Obama.

The results were announced at 12:08 a.m. in Dixville Notch, a hamlet of about 75 people near the Canadian border. Dixville Notch is the first community to vote in the first primary election of the 2008 presidential race.

Among Republicans, McCain received four votes compared with two for Mitt Romney and one for Rudy Giuliani.

Among Democrats, Obama received seven votes compared with two for John Edward's and one for Bill Richardson
 
Koba

Usipandishe presha bure ndugu yangu. Kila mtu ana kabila lake na kuzungumzia ukabila hata kuweka huo muziki wa kijaluo siyo ukabila. Mbona tunawasilikiza akina Awilo? Na hiyo signature isikupe homa ndugu yangu. Sisi nafurahia tu omera!

Unless una matatizo mengine pole saana maanake Obama upende usipende ni mjaluo kwa kuzaliwa na kwao ni Alego Siaya South Nyanza Kenya. Kuwa mmarekani siyo hoja tena kuna wamerakani wadigo, wazaramo, wasukuma, wamakonde!

Wana JF wengi tu wanaolitumia neno Jaluo, mjaluo repeatedly sasa mimi nikizungumzia kuwa mjaluo kosa baba yangu? Au did my message touch a soft spot? Pole sana!

OBAMA + ODINGA = Luo Ltd


No shit...yawaaaaaaaaaa itimori nadiiiiiii jayadhaaaa!

ebwana eeh nishwahi kufika huko Alego na SIaya enzi hizo mbunge alikuwa anaitwa PETER OLOOARINGO sijui kama yupo au vipi...Omera, idhi nadi?

In ja kanye?

ebwana unajua njia ile ndio ya kwendea Uganda...so you can only imagine...nishafika vijiji vya simenya, rangala, sidindi, Rangala, all the way to Siaya ambako ni mji mkubwa kidogo...halafu nilikuwa nina mshikaji alikuwa anaseoma Maseno university...jamaa alikuja kuwa Padre na kama kama hiyo haitoshi hivi James Orengo en kanye?

anyway sasa ngoja nikuachie hapo njiani nita catch up nawe baadae jaduong!
 
Nimemsikia Raila leo BBC radio world service akisema baba wa Obama ni mjomba wake na wanahusiana kwa ukaribu! Jana Obama amempigia simu mara 2 over Kenya Crisis!

Kuna mtu ana ufahamu zaidi over huu uhusiano?

Luo LtD unasemaje?
 
Koba,
....Mimi ni mjaluo kwa kabila kama Obama lakini siyo mmarekani wala sitakuwa wala sitaki kuwa mmarekani. Kwa hilo Obama is not mine - I do agree! La ujaluo linaongeza ushabiki tu lakini sote tuko nyuma yake kama mweusi mwenzetu.......
Thats the main point....
 
If that was Clinton being "emotional" she better stick to politics,Hollywood ain't her gig.

It is amazing how low the press can stoop for a "story" and even more so how the public can swallow it.

The whole hullabaloo starts too early anyway, that's why when Clinton sneezes its headlines.Isaac Asimov wrote a SF story "Franchise" in which a statistician gathers the mood of the country through a machine and later uses only one man programmed with the mood of the country to vote, somewhat Orwellian but much much simpler than this tiring megatriathon.
 
Koba,

Hata sasa hivi huyo jirani yako Magic Johnson yuko NH anampigia debe HRC. Weusi ndio watatumiwa kummaliza kama litatokea.

Walishasema mchawi wa mweusi ni mweusi mwenyewe. Ndio maana hata huku tunamalizana sisi kwa sisi lakini akitokea mzungu tunampaparikia kama hatuna akili nzuri.

Hata hivyo, sidhani kama ni sahihi kuwalaumu weusi wanaomuunga mkono HRC kwa sababu sio lazima kila mweusi atumie kigezo cha uweusi kushabikia hawa wagombea. Lazima tupende tusipende wapo watakaoangalia vigezo vinginevyo, na sidhani kama ni sahihi kuwaona hawa kama vile ni wasaliti. Binadamu tunatifautiana na taste na ndio utamu wenyewe wa maisha huo.
 
Hivi Mama Clinton leo akipigwa bao sijui atalia chozi la damu tehe tehe tehe !!!!!
 
This year has started very well.
1. The Clintonians are no longer invincible
2. Obama won Iowa soundly
3. Hillary Clinton got emotional almost broke down
4. O'Reilly forced back by Secret Service in NH
5. Sean Hannity got no love from Ron Paul supporters
6. LSU beat Ohio State to win the National title
7. Obama is to take NH this week
8. Romney and his dirty politics to be disappointed once again
 
In ja kanye?

ebwana unajua njia ile ndio ya kwendea Uganda...so you can only imagine...nishafika vijiji vya simenya, rangala, sidindi, Rangala, all the way to Siaya ambako ni mji mkubwa kidogo...halafu nilikuwa nina mshikaji alikuwa anaseoma Maseno university...jamaa alikuja kuwa Padre na kama kama hiyo haitoshi hivi James Orengo en kanye?

Taratibu jamani.. haya mambo ya kunya yametokea wapi tena?

Out of topic? yah I know but Im bored....
 
Mzalendo Halisi,Nyani,The Truth,Kitila,Gequee,Koba,Rev.Kishoka,Masatu,..

..nimefuatilia elimu ya Baraka na Hillary na nadhani wote wana elimu nzuri sana.

..Baraka alipomaliza Law School alipewa offer ya kuwa Supreme Court Clerk. Kazi hizo huwa wanapewa the best Law students in the USA. Hata Chief Justice wa USA aliwahi kuwa Law Clerk.

..Hillary naye alikuwa valedictorian kwenye chuo kikuu alichosoma. Vilevile alifanya kazi kama investigator ktk ile scandal ya Richard Nixon ZAWater Gate. Wako wanaosema kama asingemfuata Bill Clinton Arkansas angeweza kupanda ngazi ktk Judicial System na hata kuwa among the 1st women Supreme Court Justices.

VOTES vs PARTY DELEGATES vs ELECTORAL COLLEGE.

..kuna kitu kinaitwa Party Delegates ambacho inabidi kifuatiliwe. Party Delegates ni wajumbe wa mkutano mkuu wa Democrats au Republicans.

..Nadhani kila mgombea anagawiwa Party Delegates kulingana na wanachama wa wenzake waliompigia kura kwenye caucases.

..nimesoma kwamba Baraka ana Party delegates 16, Hillary ana 15, Edwards ana 13, Richardson 6!! Mara nyingine hizi caucas huwa hazitoi a clear winner hivyo inabidi mgombea apatikane ktk mkutano mkuu--National Convention.

..hizo namba nilizotoa hapo juu naamini ni za Iowa. Sasa kuna majimbo mengine ambayo yana Party Delegates wengi kuliko Iowa.

BARAKA vs MAJIC vs OPRAH vs WEUSI.

..wakina Clinton walimuita Majic baada ya Oprah kumpigia kampeni Obama kule Iowa.

..Oprah ana ushawishi mkubwa sana kwa wazungu hasa wanawake. Majic is a good person lakini hana influence kama ile ya Oprah.

..Weusi wanapomuunga mkono Hillary wanaonyesha shukurani zao kwa Bill Clinton. Reagan na Bush waliwatesa sana na walikuja kupumua wakati wa Bill Clinton.

..unajua Bill Clinton alipopatwa na scandal ya Monica mtu wa kwanza kumtaarifu alikuwa rafiki yake mweusi Vernon Jordan.

..wakati wa scandal ya Monica Jesse Jackson ndiyo alikuwa family pastor wa kina Clinton. zaidi Jesse alimsaidia sana Chelsea ktk kipindi kile.

..Bill Clinton pia alishiriki ktk kampeni ya useneta ya Baraka Obama!!

..kwa kifupi weusi wanapompigia kampeni Hillary siyo kama wanafanya usaliti kwa Obama. Bill na Hillary wamekuwa waungwana sana kwa African Americans.

OBAMA vs HILLARY vs KIKWETE

..hii kampeni inanikumbusha Kikwete na ujumbe wake wa ari na kasi mpya.

..Wamarekani wamepagawa kama Watanzania tulivyopagawa.

..by the way what is this change they are talking about? what about the experience and being ready 1st day on the job?

..katika kuwasoma hawa wagombea nimeona Bill Richardson ndiye ana rekodi ya change na experience.

..Rekodi ya maseneta iko ktk kupiga kura, wakati rekodi ya ma-govenor iko ktk kutekeleza program mbalimbali.

..inaelekea wapiga kura wa USA hawana tofauti sana na sisi wa Tanzania. Wote tunafata UJUMBE wa KAMPENI kuliko UZOEFU wa MGOMBEA.

MEDIA INFLUENCE.

..nilifuatilia kampeni ya Al Gore na nikaona kulikuwa na alot of media manipulation. ilifikia hatua Al Gore akawa anashambuliwa kwa kuwa kujiandaa kupita kiasi na kuwa too knowledgeable on the issues!!

..media pia ilikuwa inamlaumu Al Gore kwa kukosoa kila jibu alilotoa George Bush ktk debates.

..from then on siamini kabisa media ya USA when it comes to giving debate analysis.

..katika debate, jibu zuri husababisha makofi frm the audiance. vilevile jibu zuri linaweza kuifanya audience wacheke. kumbuka mara nyingi audiance huwa wanakatazwa kushangilia au kupiga makofi.
 
Back
Top Bottom