Kitila ndugu yetu politics za US sio typical za kibaguzi kama unavyofikiria,ubaguzi upo lakini not to that extent,na yanayoendelea kwenye nyumba za wamarekani sasa hivi kutokana na policy za GOP mungu anajua,Clinton ni very strong na ni mzungu,kwanini asimmalize Obama basi? unachoona sasa ndio hiyo hiyo pattern utakayoona Nov,Obama is fine na atashinda na akishindwa ni kama election nyingine tuu na wala hakuna cha ajabu.
Nyani Ngabu,Kitila Mkumbo,Field Marshall ES,Koba,
..kuna wanaodai kwamba mara nyingi candidates hawana ugomvi baina yao. wenye matatizo, na wanaochukulia mambo personal, ni staffers na wapambe.
..kina Clinton wali-fundraise for Obama na hata Duvall Patrick. actually Duval alikuwa appointed na Clinton kwenye ofisi ya US-AG. kuna wanaodai alikuwa very controversial[sikubaliani nao] ktk masuala ya affirmative action.
..kwa kipindi kirefu Democrats wamekuwa wakimtegemea Bill Clinton ktk kuchangisha fedha. Bill kwa kipindi kirefu amekuwa kama ndiyo King Maker wa Democrats.
..CLINTON MACHINE ni dhana inayotokana na kipengele cha hapo juu; kwamba Bill Clinton na Hillary wana nafasi nzuri ya kurudishiwa fadhila na watu ambao wamekuwa wakiwasaidia KISIASA kwa muda mrefu sasa.
..Vilevile Hillary anapodai ana uzoefu wa miaka 35, ni pamoja na kufanya kazi ktk campaign za wagombea wengine wa Democrats. Bill na Hillary wameanza zamani sana shughuli hizi. toka wakiwa college.
..pamoja na hayo inaelekea kulikuwa na MACHINES nyingine zaidi ya hii ya Clinton. Kwa kila Democrats aliyefadhiliwa na kina Clinton, basi kuna mwingine aliyeukosa msaada wao. tena inawezekana alistahili zaidi.
..wale ambao hawakusaidiwa na kina Clinton ndiyo sasa wanamsaidia Obama. wengi hatukujua wako wengi kiasi gani.
..wengi tulibweteka kuamini kwamba kila Democrat anampenda Bill na Hillary. ukweli ni kwamba wako Democrats wengi tu, tena well established, ambao wanatofautiana na kina Clinton in a very fundamental and personal way. they just needed the right opportunity to come out their 'closets.'

Kitila,
..siyo wote wenye chuki binafsi na kina Clinton. wengine wana tofautiana nao kiitikadi.
..mfano mdogo: Clinton alipoingia madarakani Democrats walipoteza majority ktk Congress. hii ni kipindi kile Newt Gingrich na kundi lake. sasa wapo democtrats wanaolaumu tukio hilo la kwa siasa na sera za Bill Clinton.
..kumbuka kwamba chama kikipoteza majority ktk congress na senate, basi kimepoteza nafasi ya ku-advance its political and social agenda.
..pia kuna liberals ambao walikuwa disappointed na Bill Clinton na tactics zake za kisiasa. kuna mambo ambayo aliyafanya yalikuwa kinyume na itikadi za ma-liberal wa US.
NB:
..kilichonishtua mimi ni FAULO zinazotumiwa na wale wasiomtaka Hillary Clinton.
..specifically, nilichukizwa na jinsi walivyompakazia Bill Clinton ati ni RACIST. yaani wali-ignore his whole record and body of work na weusi wa Marekani.
..Bill Clinton akiwa Raisi alianzisha Commision ya ku-encourage a constructive dialogue on race. sasa media networks ku-distort na kuanza kumshambulia ati ni racist ilinishangaza sana.
..Vilevile Clinton ndiye Raisi aliyeomba radhi kutokana na ile experiment ya syphilis kwa watu weusi.
..mwisho wa sakata hii ni Hillary Clinton kwenda ku-plead mbele ya mkutano wa weusi in New Orleans.
Shukrani kwa shule hiyo Joka kuu, nimekupata vema.
Shukrani Nyani, kwa kuraise hiyo point ya Michelle Obama, yeah ni kweli that wasn't the smartest thing to articulate, and there might be many who have the same thinking, may I also point out that on the flip side there are those who've said they would vote GOP if Obama gets the nomination. Infact, someone in JF actually said they would "switch" camps if Obama got the nomination instead of Hillary, no need to name names now!
....? I don't like the way Mama has been vilified and demonized. I don't like her and her husband being branded 'racists'. That is uncalled for no matter which way you spin it.
Nyani mkuu,
I think the media has been unfairly critical of Hillary in an attempt to ensure Obama wins the nomination, since the GOP perceives(or perhaps, perceived?) him to be less of a threat as compared to the good senator from New York, again this is just me and what I think!
Nyani Ngabu,Kitila Mkumbo,Field Marshall ES,Koba,
..kuna wanaodai kwamba mara nyingi candidates hawana ugomvi baina yao. wenye matatizo, na wanaochukulia mambo personal, ni staffers na wapambe.
..kina Clinton wali-fundraise for Obama na hata Duvall Patrick. actually Duval alikuwa appointed na Clinton kwenye ofisi ya US-AG. kuna wanaodai alikuwa very controversial[sikubaliani nao] ktk masuala ya affirmative action.
..kwa kipindi kirefu Democrats wamekuwa wakimtegemea Bill Clinton ktk kuchangisha fedha. Bill kwa kipindi kirefu amekuwa kama ndiyo King Maker wa Democrats.
..CLINTON MACHINE ni dhana inayotokana na kipengele cha hapo juu; kwamba Bill Clinton na Hillary wana nafasi nzuri ya kurudishiwa fadhila na watu ambao wamekuwa wakiwasaidia KISIASA kwa muda mrefu sasa.
..Vilevile Hillary anapodai ana uzoefu wa miaka 35, ni pamoja na kufanya kazi ktk campaign za wagombea wengine wa Democrats. Bill na Hillary wameanza zamani sana shughuli hizi. toka wakiwa college.
..pamoja na hayo inaelekea kulikuwa na MACHINES nyingine zaidi ya hii ya Clinton. Kwa kila Democrats aliyefadhiliwa na kina Clinton, basi kuna mwingine aliyeukosa msaada wao. tena inawezekana alistahili zaidi.
..wale ambao hawakusaidiwa na kina Clinton ndiyo sasa wanamsaidia Obama. wengi hatukujua wako wengi kiasi gani.
..wengi tulibweteka kuamini kwamba kila Democrat anampenda Bill na Hillary. ukweli ni kwamba wako Democrats wengi tu, tena well established, ambao wanatofautiana na kina Clinton in a very fundamental and personal way. they just needed the right opportunity to come out their 'closets.'
Nyani Ngabu,
..Nina mashaka makubwa kama Hillary atashinda hii nomination.
..Lakini nadhani wengi tutakubaliana kwamba media imekuwa very critical and unfair kwa Hillary.
..may be the liberal media is doing its "duty." kwamba Obama sasa ndiyo mrithi wa uongozi na torch bearer wa Democrats, hivyo wanapaswa kumuandika vizuri.
NB:
..naona hata kutamka jina Hussein imekuwa kama taboo. mbona kuna King Hussein wa Jordan alikuwa akiingia white house kama msalani?
..au lile vazi la Kisomali. they report it as an "african garb."
..ukikuta charges dhidi ya Hillary hakuna aliyeko tayari kumtetea.