Sasa kuna ubaya wowote hapo kama Koba anavyotaka tuamini?
Koba,
NB:
kwa kweli weusi ndiyo wameonyesha mfano mbaya ktk uchaguzi huu. wamefikia mpaka kutishiana maisha kwa wale wasiom-support Obama.
Wao wanachoona ni ngozi tu. Sisi tunasema mtu asihukumiwe au kupewa sifa kwa sababu ya ngozi au upendeleo mwingine wowote. Sasa kuna watu wanamkataa Hillary kwa sababu tu mume wake aliwahi kuwa Rais, sasa yaani mtu akose haki zake kwa sababu ya mume, ebo!
Unajua aliesema hiyo issue ni mtu kutoka Clinton Camp ambaye ni Latino Pollster, yeye alisema kutokana na kuongea na Latino wengi, Inaonekana wengi wao hawako tayari kuwapigia kura black candidates na akasema hii ni kutokana na Black and Brown rivalry. Latino wanasema wao wako wengi kwenye kundi la Minority hapa US lakini priority huwa wanapewa Blacks kwenye US politics.
Koba,Masanja,Nyani Ngabu,
..when it comes to POLICIES Mama na Obama hawako tofauti sana. tofauti yao iko kwenye presentation/delivery ya message zao.
..kwanini watu wanakuwa na JAZBA na USHABIKI wa kupindukia ktk mjadala wa wagombea hawa wawili? hii hali ya KUKAMIANA kupita kiasi inashangaza kwelikweli.
..pamoja na kujidai wana-campaign on issues, kwa namna moja au nyingine Hillary na Obama wanatoa kauli zitakazowaumiza mbele ya safari.
..pia kauli na majibizano yao yanapunguza nafasi ya kupatana, na kushirikiana, ktk general elections, and beyond.
Geeque,
..California ndiyo kuna msuguano kati ya Latinos na Blacks.
..Maeneo mengine msuguano huo haupo. Hizi communities zina PRIORITIES tofauti kabisa.
..McCain yuko liberal kwenye masuala ya immigration. sasa sijui Dems watashindana naye vipi come November. Usishangae wakimpigia kura McCain.
Ohh McCain anachukua kura ya Latino kiulaini...kumbuka anatoka border state....na kuna Latino kibao Arizona
jokaKuu,Geeque,
..California ndiyo kuna msuguano kati ya Latinos na Blacks.
..Maeneo mengine msuguano huo haupo. Hizi communities zina PRIORITIES tofauti kabisa.
..McCain yuko liberal kwenye masuala ya immigration. sasa sijui Dems watashindana naye vipi come November. Usishangae wakimpigia kura McCain.
....naona sasa fact pembeni kilichobaki ni kusema chochote,nafikiri hujui kinachoendelea Arizona sasa!
Nyani,
Kama mama anasema ni yeye na McCain tu ndio walio na experience, si afadhali basi tumchague McCain kwani experience yake ni kubwa zaidi ya Mama? Theme ya Obama ni change na hawa wawili wanataka kuendeleza yale yale. Mc Cain anataka kubaki Iraqi kwa miaka mia na Mama vile vile. Kwa hiyo kwa wapiga kura choice ni wazi. Mnataka kuendelea na yale yale wachagueni Mc Cain au Mama. Mnataka mabadiliko Obama is the man.
"I think that I have a lifetime of experience that I will bring to the White House. I know Senator McCain has a lifetime of experience to the White House. And Senator Obama has a speech he gave in 2002."
soma: http://www.huffingtonpost.com/2008/03/05/dems-fret-over-prolonged-_n_90023.htmlParty chairman Howard Dean recently told House Speaker Nancy Pelosi and Senate Majority Leader Harry Reid that he was concerned about the possible impact of a nominating campaign that stretched through the end of the primaries in early June.
Some superdelegates are bracing themselves to intervene on Obama's behalf if necessary.
"If these attacks are contrasts based on policy differences, there is no need to stop the race or halt the debate," Brazile said. "But, if this is more division, more diversion from the issues and more of the same politics of personal destruction, chairman Dean and other should be on standby."
Kuna hii anti HILLARY petition mnaombwa musign
http://www.petitiononline.com/wontvote/petition.html
Mmh! Mimi naona mama kajiweka tayari kwenye self destructive mod! BTW hivi mme-note kwamba Bill Clinton was NOT on stage last night? Mpaka sasa hajawahi kumiss. That's interesting....
How so..?
...and you are reading to much into Bill Clinton not being on stage with her last night..as if he has to be everywhere she goes. Either way you Obama-maniacs will just find something to criticize, talk, or wonder about. She is the candidate and Bill is not...