YNIM
JF-Expert Member
- Aug 29, 2007
- 2,247
- 122
Hiyo hiyo media ikianza kum-scrutinize Obama utaona watu wanaanza kusema iko biased against him. Kwa kweli mpaka sasa hajapata scrutiny kama aliyopata Mama..tena kwa miaka mingi tu....
wewe na huyo mama 'ako mna-whine too much.........kama umeangalia debate ya juzi, ulichoona ndio miongoni ya mambo yanayofanya mama anakuwa na maadui wengi!!
ile rant yake in Cincinatti, "the sky will open and blah bla..." in DC na kile kituko kwenye ile factory............anapata bad coverage, kwasababu ni yeye mwenyewe anajitakia!!!. blame billary for billary's misfortunes with the media
kimsingi anakuwa too "animated," kusema robot linaloweza ku-switch emotions kama negative feedback yeyote!!! she is unreal.....i truly believe, she is a psycho case!!!.
.