Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,864
- 141,433
kwani clinton kawa endorsed na wangapi??mbona hiyo hamfanyi issue!! officials wa CT karibu wote wali-endorse Hillary na akaweka ile yake ya kulialia,lakini bado alishindwa!! ama kweli "nyani sio ngabu lol haoni............." ninyi ni kusema wenzenu, lakini ushabiki wenu wa "ki-yanga na simba" hamuoni!!. Check facts zako vizuri, kabla huja-post.....kuna kitu kinaitwa super delegates, halafu njoo kesho saa kama hii sema nani anaongoza kwa delegates!!!
Ni kweli Hillary naye ana endorsements kibao. Tofauti hapa upande wa Hillary ukipata endorsement haufanyi kuwa ni big deal kwa sababu unaelewa kuwa endorsements hazimaanishi kura. Lakini Bakaka Hussein Osama akipata endorsement tu inakuwa nongwa....
sasa kama hillary hafanyi big deal na obama anafanya big deal, tatizo liwapi?? come on dawg, kila mtu na uamuzi wake wa jinsi ya kuendesha kampeni. Hizi ni kampeni mbili tofauti zenye staili tofauti...........mie hata sielewi tatizo lenu ni nini!!?
Dont fool urself, Americans arent ready for Rais M-matumbi mwenye arabic middle name Hussein na Baba Mkenya. Hata huyo mvaa sketi nae msindikizaji tu....
Dont get me wrong I would love Obama to win not because he is african/american rather bcoz he is smartest and capable candidate. But its very unfortunate the afore-mentioned things will prove to b difficult to overcome.
Haya jaluo kachukua Nebraska na Washington, mwendo mdundo!!
leo hatoki, anapigwa sweep kote. jumanne kwenye so called chesapeake/potomac primaries anapigwa sweep nyingine, akitoka sana siku hiyo labda ME lakini kwa kuwa ni caucus sidhani kama atapona!!! wanaosema endorsements hazi-tlanslate kuwa votes, waendelee na yengele hilo la "sizitaki mbichi hizi."
watu wana-stand for change tena toka kwenye rainbow....status quo out of touch!!!.
Icadon,
sweep!!? yes it is! good, clean and sweet sweep! Potomac hatoki na dalili si nzuri kule Maine.
hope yake ni hiyo march 4th wakti wa PA na OH primaries, lakini ni mbali sana.....mzee change huwaga ana-close gap!! hasa OH, yetu macho.
clintons kissers mpo wapi??. "Nyani Ngabu and the band" tunasubiri spin ya yaliyojiri usiku huu.
Icadon,
sweep!!? yes it is! good, clean and sweet sweep! Potomac hatoki na dalili si nzuri kule Maine.
hope yake ni hiyo march 4th wakti wa PA na OH primaries, lakini ni mbali sana.....mzee change huwaga ana-close gap!! hasa OH, yetu macho.
clintons kissers mpo wapi??. "Nyani Ngabu and the band" tunasubiri spin ya yaliyojiri usiku huu.
Ahahahahahahaha....sweep? Yes...delegate count...still Clinton in the lead (of course, depending on who's count you look at)
PA,OH,& TX....that's where it will go down. I'm not so concerned about these little silly wins in states like Nebraska that in the general election always go Republican. So hey...you can have those little wins to make yourself feel good....and have false hope
..kawivu hapo tuu na subirini huo moto huko mnapojiona ni chosen one,tunahamia OH na mtashangaa kitakachowafika na hizo states zote alizoshinda mama ikija general election yeyote upande wa Democrats lazima achukue,si unajua NY & Cal republican hata campaign hawapigi huko maana ni sweep tuu,sio vibaya ukimsifu Obama kidogo tuu maana najua hata wewe mwenyewe huamini
Hakuna wivu bali nazungumza ukweli kama niuonavyo. Kama unabisha Mama bado anaongoza kwenye delegates bonyeza hiki kiunganishi: http://www.cnn.com/ELECTION/2008/primaries/results/scorecard/#val=D
Ni kweli kampeni ya Obama imeshangaza wengi lakini ikija kwenye beef, jamaa ni mweupe. Ana uwezo mzuri wa kuhamasisha watu kwa kutumia maneno yasiyo dhahiri (vague phrases) kama hope, change, and blah blah blah...Hakuambii ataleta vipi hayo matumaini au hayo mabadiliko. Being a community organizer in the slums of Chicago won't cut it in the general election. He'll need to come up with formulas on how he will attain hope and change and etc....
Bibi angekubali basi angekuwa Mgombea mwenza na Obama kuwa Nominee!
Je Bibi atakubali awe running mate wa Obama?
Je wanapendana na kuheshimiana?
Au bado kuna kuoneana donge?
Nyani: kuhusu watoto wa Obama na Chelsea Clinton kutumika katika campaign naomba nitofautishe: watoto wa Obama wanaonekana na wazazi wao like Chelsea in Bill's campaign. Chelsea mwaka huu anawapigia superdelegates? Big difference! Watoto wa kerry na Bush hawakuwapigia superdelegates. Hiyo naomba usibishe! Superdelegates huwa wanatafutwa na surrogates yaani wapambe kama ilivyokuwa kwa Kennedy na Kerry kwa Obama. sasa Bill naye kajisahau kuwa ni ex-president kawa surrogate! Kazi kwelikweli - huu ujasiriamali wa kifamilia unanikumbusha u-lowassa! I agree that the mainstream media cannot use terms like 'pimping' na hata Obama campaign wamelaani MSNBC commentator, but kuna ukweli mwingi in that.
Kuhus endorsement ya NY times kuna mpambe wa kiBibi kasema eti walimendorse Obama, yet Bibi alishinda, naomba nimsahihishe, New York Times endorsed Hillary! New York Post ndiyo ilimendorse Bibi!
Kuhusu delegate count - zipo nyingi sana out there, but all agree that now Clinton can no longer claim to be ahead, kwa sababu hata advantage yake ni precarious if any exists! Hata Clinton News Network (CNN) imebidi wabadilike na wakubali. The worse news for Hill-Billy ni kwamba more and more establishment speakers wanamwona Obama as the viable candidate after many polls showed that Obama convingingly beats McCain, while in Hillary's case it's even au McCain beats her! Superdelegates want to win the election! In the case of pledged delegates yaani who are appropriated according to the popular vote, Obama ameshampita Hillary. So that's where the debate is!
Speech ya HIllary at Virginia mimi nimeona kama kiBibi ameshaanza kuwaza life after the election that she might not get the nomination.I think kama anataka kuendelea kupata heshima katika chama chake ni lazima a-weigh kama anataka kuaibika and fight tooth and nail and later be blamed for loosing the White House for the Democrats au anaweza kuendelea honorably not challenge seating Michigan na Florida delegates and accept the results for whoever it goes. Kumbuka Howard Dean hataki vituko katika Democratic Convention na ameahidi the nomination will be settled before the convention and I can see pressure piling on Bibi. But I admit that this is speculation on my part.
Nadhani tuendelee kuangalia primaries zilizobaki and I think tusipuuze hizi state ndogo because they are important now more than the Hillary camp thinks!
Bibi angekubali basi angekuwa Mgombea mwenza na Obama kuwa Nominee!
Je Bibi atakubali awe running mate wa Obama?
Je wanapendana na kuheshimiana?
Au bado kuna kuoneana donge?
It's silly for anynone to look at the polls now and say who will win in November. I'm not sure how long you have been following American politics but general election polls in February are meaningless. In '88, Michael Dukakis had an 18 point or so lead over George Bush. Come general election the story was different. Ok, rewind back to '04. Senator Kerry aka Flip-flopper was leading Dubbya before both conventions. After the campaign started in earnest we saw what happened and the rest is history. Anyone who looks at the polls now that show Osama beating McCain in the general election and believes in them is naive at best and imbecile at worst!!!
Kuhusu MSNBC...I really don't care about them. They are too biased. Matter of fact they are a big joke.