US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

Koba,

Hasira za nini kaka huku ni ukweli usiopingika? Kumbuka Florida 2000 kisha Ohio 2004.

Hizi kelele za kina Rove kama alivyotupa Capital Hill ni danganya toto, siwaamini hata kidogo.

Nitakuwa Thomaso mpaka nipokee ile Kavwasiye kutoka kwa Nyani, otherwise sishangilii najianda kwa reality!

Whaaaat!!!!!???? Why is your confidence eroding......? Si nasikia Obantu tayari keshaandika "inaugural speech".....sasa wewe mbona una sound kama umekata tamaa?
 
Wazee lets not have our emotions get too ahead of ourselves and then out of hand. Inawezekana Rev. Kishoka anaona kitu ambacho sisi wengine hatukioni. Vile vile tuelewe kwamba anything can happen from now to the election day. Lakini kwa Obama supporters don't get down...this fight is still going ingawa tunaongoza kwenye hili pambano na mpinzani wetu kwenye red kona japokuwa anaonyesha "miguu ina give up" lakini hana sign ya kuanguka anytime soon, na anaweza kutumia njia nyingine ku to knock out kama referee haangali kwa karibu. Mpinzani wetu amejaribu kurusha viti, visu, sinki, nk, lakini tumeweza kukwepa...Lakini ni muhimu tuwe focused maana anaweza kutupiga kwenye "nuts" with one blow na aka tu knock out completely na yeye kuibuka mshindi in the final round. So don't give up and don't take them for granted.
 
Hahahahahaaaa...this election is over and Obama already has written his "inaugural speech"....ahahahahahahahaaaa.....I've never seen such arrogance in my life!!!! Un-fcuking-believable.....the entire so called mainstream media has already called the election.....so why are y'all fretting about? Heheheheheheheheeeee
 
"I think you may have noticed that Senator Obama's supporters have been saying some pretty nasty things about western Pennsylvania lately. And you know I couldn't agree with them more. I couldn't disagree with you, I couldn't agree with you more than the fact that western Pennsylvania is the most patriotic, most god loving."
 
Republicans tried to asasinate Obama today. 16 people were arrested and jailed but not one word has been mentioned in the news.The information came out to all the local police departments this morning.These are the kind of people that we have in the Republican party.They are mostly criminal with the gullable following along.We do not need any more corruption in the White House.This news will probably be out to the public in a day or two if the Republicans don't somehow block it from being made public.

link:Kansas City Articles Comments
 
Alaska newspaper endorses Obama
BBC News Online

The paper praises Alaska Governor Palin's passion and charisma
The top newspaper in the home state of Republican vice-presidential candidate Sarah Palin has endorsed Democratic candidate Barack Obama for president.

Alaska's largest-circulation paper, the Anchorage Daily News, said state governor Mrs Palin was "too risky" to be one step away from the presidency.

In an editorial it says her nomination "captivated" Alaskans but that must not "overwhelm all other judgment".

The focus should be on John McCain, it said, calling him the "wrong choice".

'Stumbled badly'

The newspaper said many Alaskans were "proud to see their governor, and their state, so prominent on the national stage".

It also described Mrs Palin as a "force to be reckoned with".

Obama has a "cool, steady hand", the Alaska newspaper says

"Passionate, charismatic and indefatigable, she draws huge crowds and sows excitement in her wake," the editorial reads.

However, it says that Republican presidential candidate John McCain has "stumbled and fumbled badly" in dealing with the economic crisis.

"[John McCain] embraces the extreme Republican orthodoxy he once resisted and cynically asks Americans to buy for another four years", it says.

By contrast, the Daily News suggests, Mr Obama "brings far more promise to the office".

It says: "In a time of grave economic crisis, he displays thoughtful analysis, enlists wise counsel and operates with a cool, steady hand."

In other endorsements over the weekend the Times-Despatch in Richmond, Virginia, backed Mr McCain, saying he was "the clear and unambiguous choice" at a time when national security was the key issue.

The Grand Rapids Press in Michigan supported Mr McCain for his "sheer depth of experience, principled courage and unassailable independence".

But the Baltimore Sun said Mr Obama's "steadiness and thoughtful approach to issues show he has the judgment and depth of knowledge to lead the country".
 
Obama camp,

Uongo mbaya, with 8 days to go, natoa tamko langu la mwisho kutokana na hali halisi iliyoko sasa hivi.

John McCain atashinda uchaguzi kimizengwe! Hizo electoral college votes atakazoshinda itakuwa ni margin ndogo sana. Kutakuwa na voters and voting irregularity ya hali ya juu na wale ambao ndio tunaambiwa ndio council of America, watampa McCain uraisi kama fundisho la kujifanya yeye ni Maverick ili wamnusuru aibu na kumfanya McCain awe mtumwa wao na kibaraka.

So McCain wins but all the maverick talk, country first and straight talk express will be flushed into Potomac river. Kazi itakuwa kudindiana na Democrats ambao watakuwa wameshikilia Bunge zima!

Nyani Ngabu na The Truth hongereni!

Mimi wasi wasi wangu ni wizi wa kura, voting machine kutokufanya kazi halafu wale wabaguzi ambao kwenye opinion polls wanasema wanamuunga mkono Obama, lakini kwenye chumba cha kupigia kura wakabadilisha mawazo. Obama akishindwa itakuwa siyo pigo tu kwa Marekani bali kwa dunia nzima. Let's hope for the best
 
Hebu toka hapa na pumba zako wewe...eti Obantu akishindwa itakuwa pigo kwa dunia nzima....that's insane!!!! You seriously need help if you truly think like that. Yaani nilidhani ni utani kuwa baadhi ya watu wanamwona Obantu kuwa ni "Messiah" kumbe si utani na wewe Bubu ni mmoja wao. Unatia kinyaa kabisa and you have no mind of your own. What the ***? What makes you think itakuwa ni pigo kwa dunia nzima as if the whole entire wide world revolves around him. Nyinyi wapenzi wa Obantu wajinga kweli....
 
Mimi wasi wasi wangu ni wizi wa kura, voting machine kutokufanya kazi halafu wale wabaguzi ambao kwenye opinion polls wanasema wanamuunga mkono Obama, lakini kwenye chumba cha kupigia kura wakabadilisha mawazo. Obama akishindwa itakuwa siyo pigo tu kwa Marekani bali kwa dunia nzima. Let's hope for the best

Ni kweli Obama kapagawisha watu. Lakini ni matusi sana kwa wamerika na raia wa dunia hii kusema kwamba eti akishindwa itakuwa pigo duniani kote. I hope wenye nchi hawatakusikia, maana wakikusikia wanaweza kubadili kabisa mawazo. Huu ni ujinga uliotukumba Tanzania mwaka 2005. Media ilijenga mazingira kwamba hakuna aliyefaa kuwa rais kwa nchi yetu isipokuwa JK. Ukweli ni kwamba bila Obama au MacCain, Marekani itakuwepo na dunia itakuwepo.

Mwenzako pia nilikumbwa na uwenda uwazimu mwanzoni kwamba Democrats wasingemsimamisha Fighter Hillary wasingeshinda, lakini ona leo Obama anavyotesa. With hindsight, naona ni sawa kabisa wana democrats kumpitisha huyu ndugu yetu agombee maana amewarudishia nyota yao.

Ifike mahala tuelewa kwamba mchango wa mtu mmoja ni mmoja tu, na ukiuondoa dunia haiwezi kugeuka!!
 
Mtanikasirikia sana lakini ukweli ni kuwa baada ya kumtazama McCain jana kwenye meet the press na kuangalia kinachotokea kama hii irregularity iliyotokea Georgia na kwingineko, mashaka niliyokuwa nayo awali yakawa yanatimia.

Aidha historia ya kumfahamu McCain na ngekewa yake ni muhimu tusiipuuzie. ukiondoa kampeni yake ya 2000, huyu kibabu ni ki-survivor fulani na kina kujaga na comeback za ajabu.

Angalia republican primaries alikuwa akikwatua mkia akarudi kiajabu ajabu.

Angalieni propaganda za kusema kuwa nchi itaongozwa na maliberali, Serikali kuu, na Bunge, zote pamoja na kuwa nilizifurahia, watu wengine hawapendi na hawaamini serikali ya upande mmoja.

Njoo kwenye suala la ubaguzi wa rangi na kutumia rangi hata udini, Focus in Family ya James Dobson, jumapili ya wiki iliyopita walianza kusambaza matangazo kuwa eti Obama si mkristo, atarudisha umasikini na kuondolea neema watu, ni rafiki wa waarabu na waislamu, Israeli itaangamia, ataruhusu ndoa za watu wa jinsia moja na utoaji wa mimba. Huyu binti aliyepigwa muhuri si mmoja tu wenye dhana kama zake.

Kun aclip ya mkutano wa Sarah Palin ambako karibu watu 10 waliokuwa wakihojiwa nje ya mkutano walitoa sababu za kuwa eti Obama ni muislamu, mkomunisti na ni mweusi kuwa ni sababu watampigia kura McCain.

malizia na majigambo ya Democrats. Kwenye Bunge, kweli watachukua viti vingi, lakini tatizo lingine ni watu kutokwenda kupiga kura. Hapa kazini kwangu Idara yangu in awatu 30, tangu early voting zilipoanza, nimekuwa nahamasisha watu waende kupiga kura kabla ya November 4, lakini mpaka leo, hakuna hata mmoja ambaye kapiga kura, kisa wana confidence Obama atashinda au hawaoni wajibu au sababu ya kwenda kupiga kura.

Unapoona vitu kama hivyo, waswahili wanakuambia kuwa dalili ya mvua ni mawingu!
 
Ni kweli Obama kapagawisha watu. Lakini ni matusi sana kwa wamerika na raia wa dunia hii kusema kwamba eti akishindwa itakuwa pigo duniani kote. I hope wenye nchi hawatakusikia, maana wakikusikia wanaweza kubadili kabisa mawazo. Huu ni ujinga uliotukumba Tanzania mwaka 2005. Media ilijenga mazingira kwamba hakuna aliyefaa kuwa rais kwa nchi yetu isipokuwa JK. Ukweli ni kwamba bila Obama au MacCain, Marekani itakuwepo na dunia itakuwepo.

Mwenzako pia nilikumbwa na uwenda uwazimu mwanzoni kwamba Democrats wasingemsimamisha Fighter Hillary wasingeshinda, lakini ona leo Obama anavyotesa. With hindsight, naona ni sawa kabisa wana democrats kumpitisha huyu ndugu yetu agombee maana amewarudishia nyota yao.

Ifike mahala tuelewa kwamba mchango wa mtu mmoja ni mmoja tu, na ukiuondoa dunia haiwezi kugeuka!!

Nakubaliana na mengine uliyosema lakini sikubaliani na hayo yenye rangu nyekundu. Obama hatesi mtu. Labda unambie anatesa watu kama kina Bubu na Susuviri. Nakwambia Kitila Novemba 4 mtalia ubaguzi hadi machozi yawakauke....McCain si going to win this thing, period.
 
Iam joining your side from today onwards my friends, I am no longer Supporting Obama , i don't want to cry on November 4. Count me on Babu's side because Obama is Liberal,Black, Uppity, Socialist, muslim, messiah. I don't wanna support him any more you have changed my mind Nyani I Hope you did so for 20% of Obama supporters who are going to vote. But i hope McSame will start talking about what he's going to do for the country within these 8 days to solidify my supports for him before I go back to "CHANGE WE CAN BELIEVE IN" on Nov 4
 
Nakubaliana na mengine uliyosema lakini sikubaliani na hayo yenye rangu nyekundu. Obama hatesi mtu. Labda unambie anatesa watu kama kina Bubu na Susuviri. Nakwambia Kitila Novemba 4 mtalia ubaguzi hadi machozi yawakauke....McCain si going to win this thing, period.

Ok..."nabii" Nyani Ngabu...tunasubiri matokeo. What you are talking about is da wishful thinking.
 
Hivi si nyie ndio mliokuwa mna m count Obama out from that day aliposhinda Iowa Caucus? Oh hataenda popote, hafiki mbali, Oh Wamarekani hawatachagua mtu mweusi kuwa nominee wa Democrat, oohh...blah blah kibaao...Obama has proven you wrong not once not twice.
Kama vile Tiger Woods alivyosema "Hello World" na watu wakawa wanamuona chizi...matokeo yake..akaanza ku blow out his competitors..
Lets sit and wait...because this part of the story is so sweet. Na kwa wale mnaofikiria Bradley affect...Don't count on it...haitatokea this time.
 
Nyie kina nani? Mimi sikusema hatapata nomination....nilisema atapata...na primaries hazikuwa superbowl....na nilijua atapata uteuzi kwa vile primaries zimejaa leftists kibao.....Novemba 4 ndo superbowl.....and we will see...
 
Jumatano nasikia McCain anarudisha Theme za C-in-C(Screw economy na health care)... plus Bill Clinton atacampaign na Obama in Florida.
 
Mimi wasi wasi wangu ni wizi wa kura, voting machine kutokufanya kazi halafu wale wabaguzi ambao kwenye opinion polls wanasema wanamuunga mkono Obama, lakini kwenye chumba cha kupigia kura wakabadilisha mawazo. Obama akishindwa itakuwa siyo pigo tu kwa Marekani bali kwa dunia nzima. Let's hope for the best

Wala usiogope mzee. For the first time huu uchaguzi una turn out kubwa vibaya mno. Wengi wao ni minorities na "youth". Kingine...youth wengi generation ya cell phone iko in the tank for Obama....hii group ambayo majority yake iko kwenye college campuses across America haijawa tapped kwenye hizi polls kwa sababu..most of them don't have land line services. I believe kama hili group lingekuwa limejumuishwa kwenye hizo samples..tungeona tofauti kubwa zaidi ya 5 points on avarege sasa hivi.
Obama's got resources...money, ground crew (both paid and volunteers) wengi kuliko wa McCain. Pia Obama ana ofisi nyingi mpaka kwenye red states kuliko McCain. Vile vile ana mu outspend yeye (McCain na GOP in total) kwenye matangazo.

McCain yeye na Palin wake...wana appeal more to their own base. Hawa ni wale ambao wata vote Republicans no matter what. Watakaosaidia mgombea yeyote kushinda uchaguzi huu ni first time voters na independents.
Tunaona crowds kubwa kwenye rally za Palin lakini online contributions za Republicans hazi match enthusiasm yao.
Factor nyingine, Independents wengi are not happy with Sarah Palin's selection. Na wanaporusha "red meat" ndio kabisaaa!
Vile vile kuna issues ndani ya McCain camp kwa sababu hawana "strategy". Campaign yao ina run on a day to day events...leo wana dandia issue hii, kesho wana dandia issue nyingine. They are less organized than the Obama campaign.

Sikatai kwamba McCain hawezi kushinda huu uchaguzi, lakini to me it will have to come down to a very big event tena atakayosababisha Obama mwenyewe...eg a new, major scandal...such as sex scandal.
La kuibiwa uchaguzi silioni kwa sababu Obama ame dispatch more than 500 lawyers kwenye sehemu ambazo wanafikiri kuna "potential" ya vote irregularities.
Kwa hiyo...I am just sitting back and waiting for that fine hour..
 
Ahahahahahahahahah.....haki ya Mungu hawa washabiki wa Obama sasa wanavuka mstari......

SANTA FE, New Mexico (CNN) – For The New Mexico Sun News it is either a major scoop or "Dewey Beats Truman" déjà vu 60 years later.
"Obama Wins!" is the headline of the edition on newsstands now, complete with "special collector's edition" in red bold typeface.
The Sun News is a bi-monthly newspaper and its Oct 26-Nov 8 issue had to hit the streets, and the newsstands, before the election. So the editors decided to make a leap of faith and declare Democrat Barack Obama the winner.
In an article explaining their choice, the editors unabashedly wrote, "When it comes to calling the winner of a presidential election, everyone wants to be first. The New Mexico Sun News hereby claims that achievement."
 
Back
Top Bottom